Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Usiwe ng'ombe. Ukitrack F-35 within 60 miles utakuwa umefanya nini wakati tiyari ishakuona ishatoa anti radar missile yenye range kubwa na ushakuwa majivu.

Kwenye engagement kuna rule moja ya msingi. First to see, first to kill. Ukiwasha radar uione F-35 hizo radar zako zinaonekana hata kutokea satellite angani, ila wewe utasubiri F-35 ikusogelee maili 60 ndio uishambulie wakati inajua ulipo. Utaipata wapi.
Marekani akitumia SEAD na DEAD hizo air defence system hutoziona. Uturuki tu hapa ilipiga Patsir zilizokuwa Libya na Syria ikashambulia, Bayraktar ziko Ukraine zinapiga air defence system alafu ishindwe MarekaniView attachment 2162482View attachment 2162484
Akili zako size ya nyeto tu jomba aliyekwambia vile hakukosea... Maelezo mengj, Punic nyingi ajab zote pumba tu. Mwanzo umesema haziezi onekana tukakukanusha unadanganya.

Ukaja na neno "stealth"... ukihisi na ujuaji uchwara wako umeongea cha maana tukakueleza kua "stealth" maana ake n "difficult to trace" ila haina maana ya kuwa "untraceable"...

Sasa unakuja na pumba nyingine ati kwani ukiitrack utakuwa umefanya nn? What a coward... Tulikuwa tunazungumzia kuonekana au kuizuia...? We jamaa n Ndezi sana tena mno. Una akili za "kipunga" sana dogo.

Huo ujuaji wa kisee** haukusaidii kitu mdogo wang kaa kwa Password tu usidhihirishe ugolo mwingi uliouhifadhi kichwani.

Qoute and comment kwenye kitu ulichokielewa and be ready kuwa corrected hio ndio sifa ya educated one na si as"""le like you...
 
Warusi wa Namanyere mna matatizo nyinyi!eti"masharti yetu"wonders shall never end
Vip maandamano yanaanzia wapi?
Screenshot_20220324-092709.jpg
 
Punguza mahaba upofu kijana, vita vya urusi na NATO unadhani itakuwa ya mawe na fimbo? Unadhani Russia anahitaji kombora ngapi za Nyuklia kuiangamiza Uingereza yote ? Kwa Taarifa yako Russia anahitaji kombora 5 tu za SATAN 2 kuangamiza kila kitu Uingereza na hapo Russia INA stock ya makombora 7500
Unafurahisha sana. Kwamba kombora 5 tu kuingamiza Uingereza yote
 
BIDEN TO ANNOUNCE 'NEW WORLD ORDER' AT 'EMERGENCY' NATO SUMMIT

On March 24, the North Atlantic Alliance will discuss assistance to the Kiev regime, and the response to the case of the use of chemical or biological weapons by Russia against Ukraine (which the Russian Federation does not have).
On the eve of the US President announced his intention to establish a new world order.

On this day 23 years ago, civilians in Yugoslavia woke up to air raid sirens and NATO bombings.
The coincidence with the “extraordinary” NATO summit in Brussels on March 24, 2022 does not seem to be accidental.

Further Afghanization of Ukraine and Pakistanization of Poland are likely (a network of training centers for the Armed Forces of Ukraine and mercenaries + arsenals of Western weapons).
Only the complete and unconditional surrender of the Nazi Kiev regime will guarantee the salvation of Ukraine, Europe and the world from the horrors of a major war, which is deliberately and recklessly unleashed by the United States and NATO.
 
Washindwe tuu.Putin amepewa onyo 👇

View attachment 2162498
Russia ndo nchi pekee duniani yenye first and second nuclear strike hivyo hata ukimvizia na kuwaua warusi wote bado ana uwezo wa kukuangamiza kabisa kupitia mfumo wake ambao unaitwa perimeter au dead hand au silo ambao ukidetect tu moshi au radioactive basi mfumo huo utaruhusu makombora kuachiwa automatic
 
Huna akili, kwako wewe, mtu wa JKT akivaa KOMBATI ya JWTZ ni MWANAJESHI WA JWTZ?? Kama jibu lako ni ndio mbona walipomaliza ile vita hawakuandikishwa JESHINI??
Naendelea kukwambia huna akili kichwani, hivyo kwa akili zako ndogo nchi ikiingia vitani inapelekea wanajeshi wote huko VITANI?? Yaan TZ walipeleka wanajeshi wote huko UGANDA??
Huna akili masta.
Kwahiyo mkiwa vitani kule utasema mimi sio mwanajeshi kisa ulitokea JKT? Una silaha, kila kitu, uniform na uko uwanja wa mapambano je unataka tukuite muokota makopo au nani?

Hii Urusi si imeenda na conscripts wengi tu ambao wanapigwa risasi kama wengine na wanafanyiwa the same. Huwaoni hata Chechens?
20220324_093249.jpg
20220324_093244.jpg
20220324_093231.jpg
 
Elewa maana ya kura ya humanitarian vote against war in UN security Council usikurupuke, hivyo vitu viko technical sana
Elewa utakavyoelewa lakini kikubwa Russia kapeleka resolution la kusimamisha na limekataliwa.
 
Punguza mahaba upofu kijana, vita vya urusi na NATO unadhani itakuwa ya mawe na fimbo? Unadhani Russia anahitaji kombora ngapi za Nyuklia kuiangamiza Uingereza yote ? Kwa Taarifa yako Russia anahitaji kombora 5 tu za SATAN 2 kuangamiza kila kitu Uingereza na hapo Russia INA stock ya makombora 7500
Wakati Russia inashambulia kwa nuclear U.K kwani U.K nae hana hizo nuclear?
 
Waendelee kupigana. Maana kila mmoja anajua lengo lake katika vita hii. Ila ukraine ajitazame maana huu uvamizi inaharibu kwake zaidi.

Ili jambo linaweza dumu na kudumu kama suluhu haitopatikana. Unashangaa majeshi yanakaa hadi miezi, mwaka kama huko syria na operation za kila siku.

Hii si vita
 
Punguza mahaba upofu kijana, vita vya urusi na NATO unadhani itakuwa ya mawe na fimbo? Unadhani Russia anahitaji kombora ngapi za Nyuklia kuiangamiza Uingereza yote ? Kwa Taarifa yako Russia anahitaji kombora 5 tu za SATAN 2 kuangamiza kila kitu Uingereza na hapo Russia INA stock ya makombora 7500
Pro Russia bana,mnazani nuclear ni risasi hadi ukiwa nazo nyingi ndio unafanya totally destructions? Ukiwa na mabomu yako 20 ya nuclear yanatosha kabisa kuangamiza Dunia.
 
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. NAZANI UKUWAELEWA VIZURI PRO RUSSIA. KWAO MWEZI MMOJA NI SAWA NA SIKU MOJA. ILI WALAGHU WAKUELEWE KUWA URUSI NI DHAIFU HII THREAD ULIPASWA HUIANZISHE MWEZI WA 12 MWISHONI MWA MWAKA HUU.[emoji4][emoji4]
Umeandika nini? Hata mpangilio tu wa herufi nao ni hadithi?. Unashangaa umemaliza form four?.
 
Hoja yangu ni hii, zaidi ya 90℅ humu jukwaani maarifa ya vifaa vya kijeshi tunayapata mtandaoni kwa kusoma lakini mwenzetu badala ya kujifunza usiyoyajua unashupaza shingo kuona unajua kila kitu, elimu ni bahari bandugu
Sio 90% tu jomba... ni 100% ya taarifa zote nje ya mipaka kiuchumi, kivita kijamii n.k...

Af kidogo flan hivi na mahaba yake baada ya kupekua page ya kwanza na ya pili anajikuta anajua kiiiiila kitu kuliko wenye nazo. Ajikuta aijua mifumo yote ya ulinzi ajab kwa kusoma articles mitandaoni.

Kama info nyeti za kiusalama ziko open kiasi hicho tungekuwa wapi mda huu? Imagine yule kamanda Orio anashindwa kutamka details kuhusu jeshi mahakaman tena chini ya kiapo. Anaweza kwenda kuzianika online?

Vitoto vingine bn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Russia ndo nchi pekee duniani yenye first and second nuclear strike hivyo hata ukimvizia na kuwaua warusi wote bado ana uwezo wa kukuangamiza kabisa kupitia mfumo wake ambao unaitwa perimeter au dead hand au silo ambao ukidetect tu moshi au radioactive basi mfumo huo utaruhusu makombora kuachiwa automatic
Neno 'nchi pekee' andoa hapo.....
 
Akili zako size ya nyeto tu jomba aliyekwambia vile hakukosea... Maelezo mengj, Punic nyingi ajab zote pumba tu. Mwanzo umesema haziezi onekana tukakukanusha unadanganya.

Ukaja na neno "stealth"... ukihisi na ujuaji uchwara wako umeongea cha maana tukakueleza kua "stealth" maana ake n "difficult to trace" ila haina maana ya kuwa "untraceable"...

Sasa unakuja na pumba nyingine ati kwani ukiitrack utakuwa umefanya nn? What a coward... Tulikuwa tunazungumzia kuonekana au kuizuia...? We jamaa n Ndezi sana tena mno. Una akili za "kipunga" sana dogo.

Huo ujuaji wa kisee** haukusaidii kitu mdogo wang kaa kwa Password tu usidhihirishe ugolo mwingi uliouhifadhi kichwani.

Qoute and comment kwenye kitu ulichokielewa and be ready kuwa corrected hio ndio sifa ya educated one na si as"""le like you...
Nioneshe wapi nimesema hazionekani. Wapi?
Mnashindwa hoja mnaweka maneno yenu.

Alafu "punic" ndio kitu gani. Nasubiri hapo niliposema F-35 hazionekani
 
Pro Russia bana,mnazani nuclear ni risasi hadi ukiwa nazo nyingi ndio unafanya totally destructions? Ukiwa na mabomu yako 20 ya nuclear yanatosha kabisa kuangamiza Dunia.
Dunia ipi unayoizungumzia inaangamizwa na mabomu 20? Unadhani dunia ni kijijin chenu na vijiji jirani vinavoizunguka? Ninachokuambia ni kwamba ikitokea wakajitekenya hapo NATO na kuingia vitani na Urusi hawatakuwa na uwezo wa kuvumilia
 
Back
Top Bottom