Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Russia hana uwezo hata wa kupigana hata na Poland, ndio iwe NATO...
Yaani kama Ukraine tu Hadi anawaharibia Meli zao itakuwa Poland
Viwanja vya posta kijitonyama...Vip maandamano yanaanzia wapi?View attachment 2162505
Warusi wa kwa Mtogole wanakwambia vikwazo havina impacts
Porojo hizi tungeshaziona huko Ukraine 😁😄😄😁Russia ndo nchi pekee duniani yenye first and second nuclear strike hivyo hata ukimvizia na kuwaua warusi wote bado ana uwezo wa kukuangamiza kabisa kupitia mfumo wake ambao unaitwa perimeter au dead hand au silo ambao ukidetect tu moshi au radioactive basi mfumo huo utaruhusu makombora kuachiwa automatic
Kwa muda mfupi bei zitapanda, bila shaka. Kwa muda mrefu si vile. Uchumi wa kibepari, au tuseme uchumi unaoongozwa na soko unabadilika haraka. Si idara ya serikali fulani. Meli zinaongezwa, meli zinakuwa kubwa zaidi, gharama za kubeba gesi kwa meli zitashuka (jinsi zilivyoshuka tayari).
Kusafirisha gesi kwa bomba ni ghali pia, maana unahitaji kukadiria gharama ya bomba na utunzwaji katika kila m³ ya gesi inayopitishwa. Kadri bomba ni ndefu una gharama za vituo vya kuongeza shinikizo ndani ya bomba. Kuanzia umbali fulani gharama zinaanza kulingana. Hivyo kuna nchi nyingi zinazopata gesi yote au asilimia kubwa kwa meli.
Kansela wa Ujerumani kasema Hawawezi bila gesi ya Urusi alafu wewe unawafundisha namna ya Kusafirisha gesi kwa Meli....?
View attachment 2162450
Si kwa sababu leo majeshi ya Russia yanaishiwa chakula na silaha shosti...BBC walitangaza hivyo juziNipo,nashangaa oparation imekuwaje ndefu sana
Yaani gesi iwe bei ndogo kwenye meli kuliko kwenye bomba inaingia akilini mzee.?
Pro Putin wamepigwa na kitu kizito,wakali hao Kama pilipili😂😂😂Ukibishana na Pro Putin sasa hivi utaishia kutukanwa,achana nao washavurugwa na kushindwa
😂😂😂😂Msiwasingizie BBC hayo Ni maandiko toka Kremln kuelekea uchina kuomba shehena ya vyakula,,, unfortunately Jinping kamkaushiaSi kwa sababu leo majeshi ya Russia yanaishiwa chakula na silaha shosti...BBC walitangaza hivyo juzi