Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hoja yangu ni hii, zaidi ya 90℅ humu jukwaani maarifa ya vifaa vya kijeshi tunayapata mtandaoni kwa kusoma lakini mwenzetu badala ya kujifunza usiyoyajua unashupaza shingo kuona unajua kila kitu, elimu ni bahari bandugu
Sasa hili unalosema sasa ndio lilikufanya uone sina ubongo. Kisa nimeonesha ambacho NATO Secretary amesema? Sasa kati yangu na wewe asiye na ubongo nani, kauli zitolewe na NATO alafu njaa uniletee mimi
IMG_20220324_094904.jpg
 
Kwahiyo mkiwa vitani kule utasema mimi sio mwanajeshi kisa ulitokea JKT? Una silaha, kila kitu, uniform na uko uwanja wa mapambano je unataka tukuite muokota makopo au nani?

Hii Urusi si imeenda na conscripts wengi tu ambao wanapigwa risasi kama wengine na wanafanyiwa the same. Huwaoni hata Chechens?View attachment 2162507View attachment 2162509View attachment 2162510
Ukibishana na Pro Putin sasa hivi utaishia kutukanwa,achana nao washavurugwa na kushindwa
 
Dunia ipi unayoizungumzia inaangamizwa na mabomu 20? Unadhani dunia ni kijijin chenu na vijiji jirani vinavoizunguka? Ninachokuambia ni kwamba ikitokea wakajitekenya hapo NATO na kuingia vitani na Urusi hawatakuwa na uwezo wa kuvumilia
😂 😂 😂 😂 😂 Unaandika utadhani uko Kremlin.......
 
Dunia ipi unayoizungumzia inaangamizwa na mabomu 20? Unadhani dunia ni kijijin chenu na vijiji jirani vinavoizunguka? Ninachokuambia ni kwamba ikitokea wakajitekenya hapo NATO na kuingia vitani na Urusi hawatakuwa na uwezo wa kuvumilia
Kama vita vya kawaida zidi ya dhaifu aliejirani yake kabisa anaepewa msaada na hao West vinamshinda ndio ataweza kupambana kwa Nuclear na NATO sembuse Marekani?
 
Hilo ndilo wasilolijua mkuu. Achilia mbali USA na Urusi, inapokuja nyuklia hata Uk wanaweza kuimaliza Dunia.
Watapigwa conventional war ambako walidhani kupeleka misururu ya magari ndio nguvu za kijeshi wakawa proved wrong. Watakimbilia nuclear weapons ambako wanadhani ndio wana uwezo ila hawatoamini, nukes kila mtu anazo wanataka kutisha watu
 
Putin sawa na Kiduku, mikwaraaa mingiii!

Akitimba field hamna kitu.
Sasa hivi wale mashabiki wake wote wameamua kukaa kimya wamebaki watatu tuu humu nao muda si mrefu watatoweka maana sasa wamebaki na story za nuclear tuu kana kwamba anazo yeye peke yake.
 
Sio 90% tu jomba... ni 100% ya taarifa zote nje ya mipaka kiuchumi, kivita kijamii n.k...

Af kidogo flan hivi na mahaba yake baada ya kupekua page ya kwanza na ya pili anajikuta anajua kiiiiila kitu kuliko wenye nazo. Ajikuta aijua mifumo yote ya ulinzi ajab kwa kusoma articles mitandaoni.

Kama info nyeti za kiusalama ziko open kiasi hicho tungekuwa wapi mda huu? Imagine yule kamanda Orio anashindwa kutamka details kuhusu jeshi mahakaman tena chini ya kiapo. Anaweza kwenda kuzianika online?

Vitoto vingine bn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unachosema ni kweli kabisa na vilivyopo mtandaoni ni kwa uchache ya vilivyopo. Dunia ina mengi sana hii lakini kuna njemba ina smartphone anaona kaiweka dunia nzima kiganjani
 
IMG_20220324_095744_728.jpg


🇺🇦🇬🇧The British trained the Ukrainian military to handle NLAW grenade launchers long before the announced deliveries.

This is evidenced by the documents that were at the disposal of @rian_ru. They were found in a cache in the liberated Volnovakha.

According to the certificate issued by the Royal Armored Regiment of Great Britain signed by Colonel Evans, the training took place from October 17, 2018 to November 2, 2018.

Among the topics of training is "weapon training". At the same time, London announced the supply of NLAW anti-tank grenade launchers to Ukraine only at the beginning of 2022.

▪️NLAW is a cross between conventional hand-held anti-tank grenade launchers and full-fledged anti-tank systems. In NATO, the complex was nicknamed "Javelin at the minimum".
 
🇺🇦🇺🇦Britain will provide Ukraine with about 6,000 new defensive missiles and almost 30 million pounds ($40 million) to support the BBC's coverage in the region and pay Ukrainian soldiers and pilots.
 
Russia should stop this dangerous irresponsible nuclear rhetoric," NATO Secretary-General Jens Stoltenberg told a news conference. "But let there be no doubt about our readiness to protect and defend allies against any threat anytime."
15163470_dyegxjwhmbjtngfu75u2gcimve_jpegbd2d61ef679437000e2f474615da3531.jpeg
 
Back
Top Bottom