Kingine am just kidding tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sote tunakubaliana kua Nishati ndio uti wa mgongo wa uchumi popote duniani. Bei ya nishati imekuwa ikitumika kama moja wapo ya factor inayotambua "Urahisi wa Maisha"...
Kwa mfano nazan kila mtu anafaham bei ya mafuta ikipanda kile ambacho kinatokea. Nauli hupanda bei, usafirishaji hua juu na gharama ya vitu mtaani pia hupanda vile vile.
Dunia yetu hii sehem ambapo bei ya nishati nikiwa na maana ya Oil and Gas ni Hongkong ambapo bei ya Gallon ni about 10USD hivi. Sawa na kama dola 2.64 hivi kwa litre. Hiyo ni kama 6,000+Tsh hivi.
Lakin leo hii kuna nchi flan tunaambiwa ni matajiri sana Raia wake bei ya Mafuta imepanda mpaka wastan wa 4.5USD per Gallon Sawa na kama dola 1.19 hivi kwa litre... Hiyo ni kama 2,975Tsh hivi. Wameanza kupeana elim ya kuishi kwa kubana budget kwamba waanze kutumia public transport n.k [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ikoje [emoji23][emoji23][emoji23] kwani hawana pesa za kumudu hizo mambo au [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]