Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kati ya marekani na Urusi nani ana air defences bora zaidi!? (Weka na evidence) hapo tutajua ni nani ambaye ndege zake zinaweza kuingia kwenye anga la mwenzake!!!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Swala la nchi kuona shughuli za kijeshi za adui Ni Jambo la kawaida kabisa. Soma kuhusu Kitu inaitwa Sputnik then njoo. tokA miaka ya 57 Soviet Russia walikua wakiona harakati zote za US.
Nb. Russia wakati ule wa Vita ya Kosovo walikua wakifuatilia vyema kupitia AWACS zao..
Hapa najaribu tu kukuelewesha Kwamba Russia na Us wanaonana na kujuana vizuri
 
Kwa akili yako unafikir inatosha?? Gas ilokua inasambazwa kwa bomba unacompare na ya kusafirishwa?? Unafikir cost itabak palepale??

Hao wamekanyaga moto hata leo wameongea bado wanahitaji nishati ya Russia wewe unaongea kama nani??
hakuna tanker za kutosha kusafirisha gesi na mafuta kukidhi mahitaji ya Europe,pipeline ndo njia nyepesi na nafuu
 
Ilhali watu wapo na mipango yao sie nyuma kama kawaida yetu ni ushabiki wa kipuuzi umetawala vichwa vyetu...

Tunakumbusha tu kinachoendelea Ukraine sio Uvamizi peke yake tu bali nyuma yake kuna mambo mengi yapo nyuma ya pazia na kwasababu huwa hatusikii viongozi wenyewe wanazungumza nini basi tunaingia mkenge kila kukicha...

We don't support mass killing in Ukraine na hiki (tunaamini hakifanyiki Ukraine kutoka kwa Russian Army)... Kwasababu tuko obsessed na Rusophobia basi ajenda za pembeni hatuzioni.

Mskilizeni Biden wenu vizuri... Anakwambia tena sio kwa kificho kwamba there is going to be New World Order (NWO)... And they (American) need to take the lead..



Anakwambia “You know we are at an inflection point, I believe, in the world economy — not just the world economy, in the world. Occurs every three or four generations,”

“As one of the top military people said to me in a security meeting the other day, 60 million people died between 1900 and 1946, and since then, we’ve established a liberal world order, and that hadn’t happened in a long while.”

“A lot of people died but nowhere near the chaos, and now is the time when things are shifting. There’s going to be a New World Order out there. We’ve got to lead it, and we’ve got to unite the rest of the free world in doing it,”

The world need to be free, tena ile "real freedom" with a "true sovereignty". Wake up Guys, tuitizame dunia ilipo na inapoelekea vizuri, em tuondoe hizo tongo tongo tusije kumbuka kujifunika shuka kumekucha...

I neither support Russia nor Ukraine in this conflict, but I do stand with Russia kwa mapigano yanayoendelea nyuma ya pazia. Russia need to win to end huu utumwa wa ki'capitalist. The world need multipolarity kuweka balance of power.

Tunahitaji kujiondoa kwenye hii cage tuliojiweka au kuwekwa kiasi cha kufikia kupigwa mkwara wa kunyimwa misaada kisha kuukataa ushoga. Kuekewa vikwazo vya kiuchumi kisa kupingana mitizamo.

Wapigane wengine kwa maslah yao kisha ulazimishwe kushika upande kwenye mgogoro ambao hujauanzisha na bado unajisifu una sovereignty? Unajisifu uko huru?

Any way [emoji848][emoji848][emoji848] mambo mengine basi twendelee na mapambio.
 
Swala la nchi kuona shughuli za kijeshi za adui Ni Jambo la kawaida kabisa. Soma kuhusu Kitu inaitwa Sputnik then njoo. tokA miaka ya 57 Soviet Russia walikua wakiona harakati zote za US.
Nb. Russia wakati ule wa Vita ya Kosovo walikua wakifuatilia vyema kupitia AWACS zao..
Hapa najaribu tu kukuelewesha Kwamba Russia na Us wanaonana na kujuana vizuri
Nimekupata mkuu shukrani kwa maelezo yako.

Nimeomba kujuzwa kuhusu air defence bora maana kuna mdau hapo anadai US walizoea anga la urusi kama 'uchochoro' wakati uo anga la US halijawahi kuthubutu kuguswa. Ndio nikataka nijue udhaifu na ubora wa US vs RF kwenye air defence

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Paratrooper Lyokha Dmitrichev, born in 1991 from Ivanovo died in Ukraine, left his family and a daughter 2 months old. Well, what the heck? #vsrf #will lose
We jamaa Ni muoga Sana. Kijeshi hakuna lawama kufa Vitani hata Kama una familia. Kikubwa Ni kutimiza amri halali ya kijeshi Kwamba nenda vitani, ua adui bila kujali na kumuonea huruma. Kwa maoni yako Ni Kama unawan'gon'ga warusi Kwamba wamekufa vitani.
Kufa Vitani Ni Jambo la kawaida tu kijeshi..
 
Tafuta rekodi za vita ya Iddi Amin ujue Tanzania ilikuwa na wanajeshi wangapi uone kama hiyo 40,000 ni maajabu. Kuna hotuba Kikwete alikuwa anahutubia diaspora nadhani ni London wakauliza swali kuhusu jeshi tafuta majibu aliyoyatoa. Maana kuamini hutaki sasa nikupe assignment ukatafute majibu mwenyewe
We jamaa ni kichaa
 
Wakuu, Baada ya Russia kupeleka jeshi kubwa mno kwenye mpaka wake na Ukraine, mataifa makubwa Duniani yalihamaki yakiongozwa na Marekani.

NATO ilisema wazi kwamba haitaiacha Ukraine ikiwa yatima,na tayari muungano huo wa kujihami wa Ulaya magharibi na Marekani umeimarisha vikosi vyake Poland na Estonia.

Russia imepeleka zaidi ya wanajeshi 130,000 kwenye mpaka wake na Ukraine na wakati wowote wanasubiria amri ya Rais Putin Kuivamia Ukraine.

Baada ya Russia kuimega Crimea na Dunia kukaa kimya,Putin alidhani itakuwa rahisi pia Kuivamia Ukraine na kufanya lolote sasa mambo yamekuwa Tofauti.

Uingereza imepeleka shehena kubwa mno ya silaha mbalimbali Ukraine na makomandoo wa kikosi maalumu cha SAS.

Canada nayo imesema haitaiacha pekee yake Ukraine itaipa misaada yote ya kijeshi dhidi ya uvamizi wa Russia. Kwa hiyo Russia inafikia hatua wanaogopa wakijua wazi kwamba kushinda vita kwao itakuwa ngumu mno.

Na hakika Russia ikijaribu kuivamia Ukraine haitashinda hii vita zaidi ya kuharibikiwa kiuchumi. Russia ni nani hasa hata ashinde vita dhidi ya Marekani, Uingereza, Canada na mataifa mengine mengi ambayo yanaisaidia Ukraine bila kuitangazia Dunia.

Mengine yabakie ushabiki tu, lakini Russia haitashinda hii vita na wao wameshaliona hilo.

View attachment 2119949
Hii ngonjera yako bado i[po valid?Hao waliomdanganya rais wa Ukraine hawatamwacha YATIMA bado wapo naye?Ktk hayo mataifa unayoyataja kwa mbwembwe ni taifa lipi limewahi kukabiliana ktk vita ya ukweli ukweli zaidi ya uonevu na ukandamizaji?Russia siyo Iraq,Libya,Yugoslavia.....Ona kipondo cha Ukraine hadi wanawatumia raia na makazi yao kama kinga.Mungu aepishie madhara zaidi ya vita hii lakini hao Western cowards ymewasikia mara kadhaa walichomwambia mpuuzi wao
 
Kingine am just kidding tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sote tunakubaliana kua Nishati ndio uti wa mgongo wa uchumi popote duniani. Bei ya nishati imekuwa ikitumika kama moja wapo ya factor inayotambua "Urahisi wa Maisha"...

Kwa mfano nazan kila mtu anafaham bei ya mafuta ikipanda kile ambacho kinatokea. Nauli hupanda bei, usafirishaji hua juu na gharama ya vitu mtaani pia hupanda vile vile.

Dunia yetu hii sehem ambapo bei ya nishati nikiwa na maana ya Oil and Gas ni Hongkong ambapo bei ya Gallon ni about 10USD hivi. Sawa na kama dola 2.64 hivi kwa litre. Hiyo ni kama 6,000+Tsh hivi.

Lakin leo hii kuna nchi flan tunaambiwa ni matajiri sana Raia wake bei ya Mafuta imepanda mpaka wastan wa 4.5USD per Gallon Sawa na kama dola 1.19 hivi kwa litre... Hiyo ni kama 2,975Tsh hivi. Wameanza kupeana elim ya kuishi kwa kubana budget kwamba waanze kutumia public transport n.k [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii ikoje [emoji23][emoji23][emoji23] kwani hawana pesa za kumudu hizo mambo au [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Nimeomba kujuzwa kati ya US na RF yupi ana air defences bora zaidi.


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Air defense kaidi zaidi ni za Russia S 300/S 400 na zimeonesha uwezo mkubwa kwenye field siyo Patriot ambazo zimeshindwa kuzuia mashambulizi ya waHouth kule saudia.Kuliko Patriot ambazo hata zilionekana kuwa kituko dhidi ya Scud kule Iraq bora kwa mbali Iron Dome za Israel
 
Tafuta rekodi za vita ya Iddi Amin ujue Tanzania ilikuwa na wanajeshi wangapi uone kama hiyo 40,000 ni maajabu. Kuna hotuba Kikwete alikuwa anahutubia diaspora nadhani ni London wakauliza swali kuhusu jeshi tafuta majibu aliyoyatoa. Maana kuamini hutaki sasa nikupe assignment ukatafute majibu mwenyewe
JWTZ hadi leo hii hawafiki idadi ya askari 40000.
 
Russia kwa sasa wakijadili lolote pale Kremlin wanataja nuclear weapons. Wakisema lolote wanamalizia na nuclear, sasa NATO kupitia Secretary wake imewaambia waziwazi
IMG_20220323_234745.jpg
 
Nimekupata mkuu shukrani kwa maelezo yako.

Nimeomba kujuzwa kuhusu air defence bora maana kuna mdau hapo anadai US walizoea anga la urusi kama 'uchochoro' wakati uo anga la US halijawahi kuthubutu kuguswa. Ndio nikataka nijue udhaifu na ubora wa US vs RF kwenye air defence

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sina uzoefu kuhusu Hili lakini Russia na Us mifumo yao kadha wa kadhaa , na Mara kadhaa imeonesha kufeli kufanya lengo la utengenezwaji wake, nikianza na US mifumo yao ya Patriot imeonekana kuwa Ni dhaifu licha ya sifa kibao za kibiashara zinazotolewa na US. Hizo Patriot Zina effective ya kutungua aircraft na makombora kwa [emoji817] asilimia. Lakini zimefeli Mara kadhaa katika Saudia dhidi ya drone local za kiiran.
Tukija upande wa Russia wao pia wamefeli Mara kadhaa kule Syria mfano s 300 zimeonekana kua dhaifu kwa ndege za kizazi Cha nne zilizoboreshwa Kama su 35.
Kule Syria vilevile f 16 hujipigia itakavyo
 
Back
Top Bottom