Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
HeheheeeeUsitegemee majibu mkuu kwa
huyo jamaa ndivyo alivyo akibanwa kwa hoja huwa ana kimbia.
Juzi alikuwa anasema eti anasema silaha za Urusi vimeonesha udhaifu mkubwa dhidi ya silaha za kimagharibi nchini Ukraine.
Nikamuuliza vipi kuhusu silaha za kimagharibi ambazo zime shidwa kufua dafu mbele ya silaha za kiirani huko Yemen kwa miaka 8?
Nikamuuliza vipi kuhusu silaha za kimagharibi kushindwa kufua dafu mbele ya silaha za Urusi na Iran nchini Syria kwa miaka 10 unaziongeleaje mpaka sasa amekimbia ajanijibu.
Kama atakujibu unitag MKUU ila jamaa anahuo udhaifu nimemuona