Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tunaachaje kumshangilia Simba/Yanga maana kwa dk hizo 60 tayari Man City keshaanza kuona uwezekano wa kudharirika kuwa mkubwa.
Sasa hivi anasifiwa kwa mabomu ambayo hayajawahi kurushwa popite duniani. Kuna mtu ananiambia limerushwa bomu hatari sana hata marekani hana mfumo wa kulizuia. Akiulizwa kwa hiyo operation imemalizwa na hilo bomu anapandwa hasira.
 
🇩🇪Nearly half of Germans oppose cutting off gas supplies from Russia, according to a Civey poll for Spiegel:

48% are against an embargo on Russian gas imports;
41% support a ban on gas supplies from Russia;
11% are unsure.
 
Nyie wote ni mazumbu kuku kenge nyie ....badala tuungane kujikwamua kwenye kutegemea wazungu marekani na ulaya ....mbona wao walikuwa wanamtegemea putin kwenye gesi na mafuta ....asa hivi wanatafta altenative ingine au resource za nishati kwanin na sisi afirika na asian tusiungane ...tukawa kitu kimoja tufanye ya kwetu .....yaani ....wajinga kabisa .....mnawatetemekea wazungu ......
 
Latest Updates from Russia's Defence Ministry:

▪ Russia's MoD has announced that Kiev has yet again refused to coordinate the humanitarian corridors;

▪ In Chernigov, Sumy and Zaporozhye, nationalist battalions are looting houses;

▪ Russia's Defence Ministry says that 18,000 people have been evacuated from Ukraine and Donbass to Russia in one day, 3,700 of whom were children;

▪ Ukrainian radicals in Kharkov have gunned down residents who were looking for water and food;

▪ More than 6,800 foreigners remain hostages of the Ukrainian territorial defence;

▪ Kiev has unleashed terror against its citizens;

▪ Almost 8,500 more people were evacuated from Mariupol on Wednesday;

▪ Russia has evacuated 26 Vietnamese and Jordanians from Mariupol
 
russia imesema inataka kuuza gas yake kwa HOSTILE nations kwa ruble, why ruble?? why only hostile nations???
Nazan kauli sahihi sio "inataka" bali ishaingia kwenye vitendo teari. Vizuri haujakaa kishabiki ka wengine. Kama utaweza rudi juu kwenye kuna post imewekwa hapa kwa lugha ya kirusi... Icopy kisha kai'translate kuna picha flan hivi utaipata ya kila 'move' anayokuja nayo Russia.

Kwa swali lako vizuri tuanzie pale kwanini wameshindwa kuitoa Russia completely kutoka kwenye SWIFT, why ruble imeanza kustabilize katikati ya "sanctions"... Na nini hasa wananufaika nacho kwa kuitumia ela yao....

Kwa sasa baada ya tangazo tu hilo ruble iko traded below 100 per USdollar... Ipo kwenye 97 ama 96 ka sikosei....

Nakukumbusha tena rejea kwe hiyo post juu iliyowekwa kwa lugha ya kirusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna kitu utashika.
 
Latest Updates from Russia's Defence Ministry:

▪ Russia's MoD has announced that Kiev has yet again refused to coordinate the humanitarian corridors;
Kyiv hawataki raia watoke maana raia wanatumiwa kama ngao....

Wakiondoka raia, watabaki wapiganaji wa Ukraine...hapo wapiganaji hao watakula mfululizo wa kichapo kitakachowapeleka kaburini makundi kwa makundi
 
Bwana utumie akili kidogo(angalau jinsi unavyoweza). Kupita kwa ndege juu ya nchi kwa kusudi la kupiga picha za vituo vya kijeshi ni historia ya kale kidogo. Hakuna anayeihitaji. Kuna satelaiti siku hizi. Satelaiti zinazopiga picha kwa kutumia mwanga, kwa infraredi, kwa rada....... Nusu ya satelaiti za upelelezi zinazozunguka ni za MArekani, nusi nyingine ni kati ya Urusi, China, Ufaransa, Uingereza, Uhindi, Japani, Israeli, Korea Kusini na kadhalika.
Usiwe na wasiwasi ni nani anayejenga kamera na satelaiti bora.
(ukisita kujibu - ujiulize simu, kamera na laptop bora zinatoka wapi - hata kama nyingi zinatengenezwa China lakini nani alizibuni na kuandaa pamoja na kuhakikisha ubora wa uzalishaji??)
Wee jamaa umejibu nn?
Umeleta hoja ambazo wala hamna alozileta hapa kubishania
Cjui kamera cjui nn yamekujaje soma maada ilipoanzia acha kukurupuka
Samahani kama kuna sehem nimekukwaza lakinii
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Back
Top Bottom