Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🇱🇻Not all Latvians want to freeze their ears to spite Russia.

Latvian taxi drivers are protesting against the blocking of Yandex.Taxi in the country.

More than 400 drivers have signed an appeal to Prime Minister Karins asking them to keep competition in the market, Sputnik Latvia writes.

The appeal says that the aggregator helps them earn a living. And if it is blocked, it will negatively affect the taxi market, where only one major player will remain - Bolt.

"There will be no restraining factors. They will be able to dictate their own conditions, raise tariffs and commissions as they like, without regard to the market. It will simply become unprofitable to work as a taxi driver."

The Latvian regulator has banned the operation of Yandex Go in the country since March 23.
 
Unasema taifa kubwa duniani linaporomoka na haliwezi kuanguka hivi hivi ... .....ni marekani au urrusi ......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anha oukay na sio maneno yangu hayo bali ni tweet ya Rais wa El Salvador... Anaizungumzia America baada ya "Bloomberg News" kutoa maelekezo ya namna gani waishi kwa kukabiliana na huo mfumuko wa bei walionao...

Sawa na hapa TZ utokee mfumuko wa bei kila kitu juu kisha Gazeti flan au Clouds media hivi waanze kuelekeza Raia kupanga budget vizuri kukabiliana na huo mfumuko wa bei.
 
Italy ilikuwa inatisha lakini ilianguka kwa free fall. Ugriki ilikuwa na nguvu balaa.

Hii dunia haiwezi ikamilkiwa na kundi la familia ya watu wachache. Anguko la Marekani ni uhuru kamili kwa wamarekani.
Asante mkuu ....na waanguke tuu ..I WISH THAT ....waanguke ......wanatunyonya africa by using ma puppet wao shwain kabisa hawa......angalia africa magharibi ....libya ...somalia ...kongo ....wanakera sana...aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anha oukay na sio maneno yangu hayo bali ni tweet ya Rais wa El Salvador... Anaizungumzia America baada ya "Bloomberg News" kutoa maelekezo ya namna gani waishi kwa kukabiliana na huo mfumuko wa bei walionao...

Sawa na hapa TZ utokee mfumuko wa bei kila kitu juu kisha Gazeti flan au Clouds media hivi waanze kuelekeza Raia kupanga budget vizuri kukabiliana na huo mfumuko wa bei.
Yaani mi nikiskia kuna watu wana ipinga urusi yaani nahisi kulipuka .....kujitoa mhanga wafe hao wanao i hate moscow...
 
Asante mkuu ....na waanguke tuu ..I WISH THAT ....waanguke ......wanatunyonya africa by using ma puppet wao shwain kabisa hawa......angalia africa magharibi ....libya ...somalia ...kongo ....wanakera sana...aisee
What they care is about their families. Wanawatumia kama mua, utamu ukiisha wanawatema na kuwatupa kwenye dustbin.

Mifano ipo mingi kwa viongozi mbalimbali. They don't care. Wengi wao ni kutoka UK wanataka kuimilk dunia. Wameikamata Marekani, wanataka kumnyamazisha Urusi ili waweze kumshughulikia China.
 
[emoji779]️Japanese Foreign Ministry summons Russian Ambassador (Report)

It comes after Moscow halted peace talks with Tokyo over the Kuril Islands, and all related economic projects related to it - a response to Japan joining mass sanctions against Russia over its operation in Ukraine.
Japan na Urusi wanabishania visiwa vya Kuril mpaka leo. Pale Yalta conference hivyo visiwa alipewa USSR kama adhabu ya Japan kusababisha vita. Before WW1Japan ashaipiga Russia kabla haijawa USSR pale ilipokuwa inajaribu kuingia zaidi Asia kutanua mipaka.

Mwaka 1969 USSR na China ziliwahi vutana kwa miezi kadhaa mpakani na kuua na kuharibu kwa uchache. Mazungumzo yalifanyika kuanzia 1991 mpaka 2008 China akarudisha eneo lake
 
Unadhani nahitaji maelezo yako!? Mimi huwa sijadiliani na wapiga punyeto. Huo ushetani baki nao. Usinitie unajisi
Screenshot_20220320-085435.png
 
Leo nimeona kwenye Al Jazeera kwenye mji moja ambao ndio pekee waliouteka Warussia wananchi wa huo mji wanafanya maandamano ya kuwapinga na wanadai hawatakubali kuwekewa serikali ya kimamluki na Russia.
Sawa
 
IMG_20220322_182719_940.jpg

Features of the humor of democratic France.

Whether the French are ready to host Ukrainian refugees, the satirical publication Charlie Hebdo decided to find out. And posted a question:

"A Ukrainian knocked on your door. What will you do?"

And options:

▪️ I will answer that I already have a Kurd and an Afghan Hound.
▪️ I will send it to my aunt, she just loves animals.
▪️ I forbid my sister to open doors.
 
Hiyo ya vyakula vya vitani kwa wapiganaji inajulikana na russia wanaijua zaidi kwa sababu hawajaanza kupigana vita jana wala juzi. We unafkiri kipi kirahisi kusupply jeshi liliokuwa vitani na silaha kila mara au kusupply chakula!?

Sihitaji kuangalia picha/video kujua kuwa hizo sio propaganda bali kwa kutumia uelewa tu nimeng'amua.

Kushambuliwa gari za chakula haimaanishi ndio urusi ina njaa na itaacha kupigana kama ambavyo unaona ukraine wanazidi kupigana na hali ya kuwa kambi zao na 'military infrastructure' nyingine zinapigwa na makombora ya urusi.

Ukraine maghala yake mengi ya silaha yamepigwa lkn husikii wamerun 'out of weapons' ila msafara mmoja wa chakula wa urusi kushambuliwa tyr mshakimbilia kuwa urusi wana njaa [emoji1787]

Haihitaji kuwa jenerali Alexander suvarov kujua kuwa chakula ni muhimu kwa wapiganaji. Kwa mafanikio ambayo warusi wameyapata kwenye operation hii mpaka sasa ni ngumu kuamini kwamba wanapigana na matumbo matupu. Na lau ukisema hivo bado utakuwa umewapa heko maana ukakamavu ulioje kupigana na njaa na bado ukafanikiwa!

Kuhusu uvumbuzi wa vyakula vya vitani sijui nini na nini bado haujanishawishi. Yaani Russia kwa level yao ya 'military technology' kuanzia kwenye mandege, mavifaru, manyambizi, makombora ya hatari, ma-air defences, na silaha nyinginezo yaani waweze kugundua yote hayo na kuyatengeneza ila washindwe kuwa na style ya mre zao!?

Hujanitajia bado ni wapi US ametoa msaada wa chakula na afya kwa nchi aliyoivamia tena wakati vita bado vinaendelea.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Akikujibu unitag Mkuu
 
Huwa ninachokaga sana kumjibu mtu bado ananuka maziwa mdomoni kwa uchanga hapa JF,hebu kuwa kwanza ufikishe walau mwaka mmoja ndiyo urudi kuniquote 😉
Afu ni kweli mi nimejoin jana hapa ...kwa ajili yenu nyie mazumbukuku mnao hate super power rusia koment zenu za kuichafua ruusia zimenkera .....yaani tutapambana humu nyuma ya keyboard mpaka kieleweke [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
Japan na Urusi wanabishania visiwa vya Kuril mpaka leo. Pale Yalta conference hivyo visiwa alipewa USSR kama adhabu ya Japan kusababisha vita. Before WW1Japan ashaipiga Russia kabla haijawa USSR pale ilipokuwa inajaribu kuingia zaidi Asia kutanua mipaka.

Mwaka 1969 USSR na China ziliwahi vutana kwa miezi kadhaa mpakani na kuua na kuharibu kwa uchache. Mazungumzo yalifanyika kuanzia 1991 mpaka 2008 China akarudisha eneo lake
Hata China na Japan wana mzozo wa visiwa.

Korea Kusini na Japan pia wana mzozo huo huo wa kisiwa.

Kwanini Japan ana mizozo mingi ya visiwa na nchi za hilo eneo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeenhe haya bn... Ka umeboreka sorry... Lakin bado tu nakukumbusha kua we ni ndezi... Sio tusi bali nakusifia tu.

Hizo data za kunya hovyo zilikusanywa na nani [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] na zinahusiana na kipi katika nilichokizungumza apo?

Umehama umeingia kww GDP per Capita ukijua kabisa hii inaathiriwa na idadi ya watu. Unaitolea mfano India kwa GDP per Capita ilhl wajua fika India ina almot two times idadi ya watu waliopo bara zima la ulaya...

Uko juu umeitolea mfano Texas ambayo kwa Idadi ya watu ilonao ya Mil 29 ni sawa na Idadi ya watu iliyopo kwenye nchi kama Singapore, UAE, Qatar, Kuwait, Hongkong, na Republic of Ireland Combined.

Je ukichukua Total GDP ya kila nchi apo Combined il upate usawa katika Idadi ya watu ulinganishe na Texas vinafanana?

Kingine waitaja taja sana GDP, unaijua maana ake vizuri? Unajua njia zinazotumika ku'Calculate GDP ya eneo husika? Kati ya GDP Nominal na GDP by PPP yan Purchasing Power Parity ipi ni kipimo halisi cha eneo husika?

Ok then wajua tu kua China ana GDP by PPP kubwa kuliko USA? Japo ana GDP nominal second to USA? Ko unapozungumza na mie umeshaneleza unaelezea Pato la taifa kwa upande upi?

Is it Nominal? Is it by PPP? Hey Mr Ndezi, nakukumbusha sikutukani ila nakusifia tu... Apo juu kuna post wajidai ati thaman ya fedha enu ipo closer to Ruble ila kwasab ndo uwezo wa kufikri ushajua jua mnalingana Uchumi na Russia... What a Coward [emoji23][emoji23][emoji23]

Chinese Yuan ni Just 6.4 hv ka sikosei kwa dollar 1... But yet its the world second largest Economy dunian... Ka kweli kwenye hii field uko vizuri unaijua sabab za wao wachina kuiweka ela yao chini?

Kuwait Dinar ni zaidi ya 370 ya ela yenu Ksh kwa apa ni zaid ya 7600... Ilhal USD Moja ni sawa sawa na 114 au 115 ya kwenu apo huku TZ ni 2500 ka sikosei kwenye rate apo... Je kwa hizo akili zako kwa apo utatwambia Kuwait uchumi wao mkubwa kuliko USA?

Ndugu we twendelee tu kupiga kabobo apa Russia hana Msosi Russia kapigika Russia anajambishwa ila upande huu achana nao kbs.
Wewe nawe umeanza kupoteza nguvu zako kujibu utumbo
Achana nao ila wakumbushe UKRAINE inaangamia
 
Urusi imeshindwa kutimiza malengo yake huko Ukraine, hili lipo wazi kabisa.

Wanachofanya Sasa ni kuharibu miundombinu ya Ukraine ili kuwatia hasara ila kuangusha utawala wa Ukraine imekuwa ngumu.
 
Mkuu ninapenda ulivyokuwa focused na mjadala zaidi kuliko petty issues za hawa Pro Russia,I can see asilimia kubwa ya kile ulichokipredict two weeks ago it's happening now. Pale Kyiv pamekuwa kaa la moto
Huwa sipendi kudeal na petty issues za hawa wanaotumia neno moja tu la propaganda ila sometimes nalazimika.

Jana Russia walifungua stock market baada ya kuifunga tangu wapigwe sanctions, wiki tatu hizo. Superpower wao hadi alifunga stock market na hati fungani lazima asuesue ila mashabiki wanasisitiza kuna BRICS, mafuta na gesi.
Last time Marekani anafunga stock exchange ni baada ya September 11 alifunga wiki. Alifunga pia 1914 baada ya WW1 kuanza.
 
RUSSIA TUMIA AKILI SANA, UNAPIGANA NA MATAIFA MAKUBWA NA WATU KUTOKA MATAIFA HAYO.

The head of the British Ministry of Defense confirmed that more than 4,000 NLAW anti-tank systems were sent to Ukraine.

He told the pranksters Vovan and Lexus about this, who called him, introducing themselves as Ukrainian Prime Minister Shmyhal.

Ben Wallace also said that another large batch of ATGMs would soon arrive in Ukraine, while in the UK, according to him, "its own arsenal is running out."

In the same conversation, the minister said that Britain would support the Kiev authorities if they resumed their nuclear program.
Galip SV Liwagu View attachment 2160464
RUSSIA wanaelewa hili MKUU shaka ondoa nahao wanatoa msaada mkubwa wanajua jamaa hatoboi nawanajua UKRAINE ikibebwa jumla wamekwishaaa
 
What they care is about their families. Wanawatumia kama mua, utamu ukiisha wanawatema na kuwatupa kwenye dustbin.

Mifano ipo mingi kwa viongozi mbalimbali. They don't care. Wengi wao ni kutoka UK wanataka kuimilk dunia. Wameikamata Marekani, wanataka kumnyamazisha Urusi ili waweze kumshughulikia China.
Daahhh ..[emoji20][emoji20][emoji20].nahisi presha inanipanda....africa .....na asia yote tuamke tupambane na hawa majangili ...hata kama hatuna pesa ..za kuendesha vita tutumie rasilimali tulizo nazo .....ili dunia iwe kwenye uwiano .....kwamba ukiinigusa ...ujue na wewe hautapona ...............
 
Back
Top Bottom