Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huwa sipendi kudeal na petty issues za hawa wanaotumia neno moja tu la propaganda ila sometimes nalazimika.

Jana Russia walifungua stock market baada ya kuifunga tangu wapigwe sanctions, wiki tatu hizo. Superpower wao hadi alifunga stock market na hati fungani lazima asuesue ila mashabiki wanasisitiza kuna BRICS, mafuta na gesi.
Last time Marekani anafunga stock exchange ni baada ya September 11 alifunga wiki. Alifunga pia 1914 baada ya WW1 kuanza.
Bricks bado hawana ubavu wa kuchukua nafasi ya mashirika makubwa ya kifedha, isitoshe hata nchi hizo bado zinategemea mifumo ya kifedha za nchi za ulaya magharibi na Marekani.

Ila sijajua nchi za ulaya magharibi (hasa Ujerumani) kama wataweza kuishi bila utegemezi wa gesi ya Urusi....hapa bado wataumia.
 
Tizama vizuri kisha ujibu tena.

Wapi marekani ametoa msaada wa kibinaadamu kwa nchi aliyoivamia tena wakati vita vinaendelea!?
Keyword: 'wakati vita vikiendelea!!!'

Mfano; Marekani & co. Wameivamia Iraq au Afghanistan wakati mapambano yamepamba moto atengeneze 'humanitarian corridors' kuruhusu raia kuondoka huku anapunguza mapigano wakati huo huo kwenye miji mingine anatoa misaada ya chakula na matibabu tena mpaka kwa wanajeshi pinzani waliosalimu amri na wakati huo vita havijashusha mizigo yake chini! Jeshi/Nchi inayofanya hivi ndio mnasema wanajeshi wake wanakufa njaa!?? Hamna hata aibu nyie watu [emoji2369]

Huko google umekosa!? Kwa nnavyokujua ungeshajaza mapicha hapa.

Unaposema hakuna mtu asiyejua utoaji wa msaada wa marekani, unaongopa! Mimi mbona sijui? Au mimi sio mtu!? Hahaha

US & co. Hawajali raia tena kama sio raia wao ndio kabisaaa. Watu milioni wafe ili wapate kufanikiwa maslahi yao wao hawaoni shida. Wakati USSR wanaweka makombora yake cuba almanusura vita iinuke. Mwishoe wasovieti walikubali kuingia makubaliano na US na kukubali kutoa zana zao hizo ili kuepusha vita ambayo zaidi ingewaathiri wacuba kuliko kwa wasovieti wenyewe. Kwa nini leo US asikae na mkubwa mwenzake wakubaliane ili kuzuia vita ambayo kwa kiasi kikubwa inaiathiri UKr. Wao wenyewe kupigana na Urusi hawataki wanahofia, lkn wamemuacha UKr apigane na urusi huku wakijua kbs hatashinda.

Kama lengo lao ni kumdhoofisha Mrusi kijeshi na kiuchumi (which of course maight be a very good strategy) lakini kwa nini iwe at the expense of Ukrainians!? Yaani waukraine wote wafe kama itakuwa na positive outcome kwenye interest za west ni sawa tu.

Poor Ukraine.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Natamani jamaa akuelewe
 
Russia has foreign exchange funds to service its external debt, said the deputy head of the IMF.

The IMF also believes that the Ukrainian economy could shrink by a third as a result of current events.
 
Participants of the special operation in Ukraine will be considered combat veterans

Such a bill was submitted today to the State Duma by the United Russia faction and United Russia senators. It is also known that the project provides access to the social security system - monthly payments and various benefits. Earlier, the document was supported by the Russian government.
 
Huu ni ujuaji uliopindukia

Kombora linafukua andaki na kuwazika wanajeshi wa ukraine zaidi 300 hapo hapo
Ile Kinzhal ina warhead ndogo unless waipe nuclear warhead. Mlipuko inayotengeneza ni wa kawaida sana hata video clip waliotoa Warusi wenyewe inaonyesha. Alafu missile yenyewe ni very expensive
 
Danone and Heineken are warning of supply disruptions due to truckers' strike in Spain.

Danone said today it will be forced to temporarily shut down operations at four dairies and three mineral water facilities "unless an agreement [with carriers] is reached."

Heineken also reported that if the situation does not change, then the supply of products to retail outlets, bars and restaurants will stop, the El País newspaper writes.

Truckers in Spain have already blocked the highway in protest. The transport strike began in Italy on 14 March. Drivers are protesting against rising fuel prices: they have risen several times due to restrictions on oil and gas supplies from Russia.
Galip SV Liwagu

View attachment 2160551
Tukiwaambia RUSSIA sio ZIMBABWE hawaelewi
 
Poland has frozen 140 million zlotys (about $33 million) in its accounts as part of sanctions against Russia, the country's government said.
Galip SV Liwagu
20220322_130616.png
 
Let me save you from embarrassing yourself, United States of America is among if not the biggest donor country in the world. Am sure you've seen many things written 'USAID' in tz.

USA is also the biggest donor to the United Nations in 2019 contributing a whooping 11bn$ and we know how deeply UN is involved in wars. So technically even without USAID they already helped iraq people.

The only reason Russia allegedly donated food is to try to try and win the hearts of Ukraine people in captured city of Kherson. If they are soo kind how comes ive never even heard of Russian Aid.View attachment 2160615View attachment 2160617
Ungewakumbusha kuwa huyo Russia hata kwenye nchi zinazotoa misaada hajulikani. Wako humu wanatusumbua kisa kapeleka tulori tungapi sijui twa vyakula, wanaona kama msaada kutoka mbinguni wakati kina Sweden wanatoa mabilioni.

Ni ushamba kupeleka tugari tuchache twa vyakula unapiga kelele mashabiki wako wanatangaza wakati kuna wenzako wanatoa chanjo, huduma ya mama kwa mtoto, vituo vya afya, elimu, scholarships nyingi na misaada lukuki isiyohesabika miaka nenda rudi.
 
Daahhh ..[emoji20][emoji20][emoji20].nahisi presha inanipanda....africa .....na asia yote tuamke tupambane na hawa majangili ...hata kama hatuna pesa ..za kuendesha vita tutumie rasilimali tulizo nazo .....ili dunia iwe kwenye uwiano .....kwamba ukiinigusa ...ujue na wewe hautapona ...............
1647964373087.png

1647964395060.png

1647964522111.png
 
Hata China na Japan wana mzozo wa visiwa.

Korea Kusini na Japan pia wana mzozo huo huo wa kisiwa.

Kwanini Japan ana mizozo mingi ya visiwa na nchi za hilo eneo?
Labda kwa sababu ni nchi ya visiwa, haina bara? Na mipaka baharini vigumu kutaja kuliko kwenye nchi kavu?
 
Back
Top Bottom