Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
Halafu wanajipa moyo eti 'Russia is adapting to sanctions"🙂View attachment 2160356
Kiwanda cha kutengeneza vifaru urusi kimesimasha uzalishaji kutokana na upungufu mkubwa wa malighafi.
Halafu wanajipa moyo eti 'Russia is adapting to sanctions"🙂View attachment 2160356
Kiwanda cha kutengeneza vifaru urusi kimesimasha uzalishaji kutokana na upungufu mkubwa wa malighafi.
Mkuu ninapenda ulivyokuwa focused na mjadala zaidi kuliko petty issues za hawa Pro Russia,I can see asilimia kubwa ya kile ulichokipredict two weeks ago it's happening now. Pale Kyiv pamekuwa kaa la motoWamepigwa upofu hawaoni. Wanaoneshwa CCTV footage wanajeshi wao wakidokoa wanaita eti propaganda
naam orthodox hawamjui papaNa ubaya Russians wao ni Orthodox hawajui habari ya Papa.
Wanajeshi frontline hawali vyakula vya kawaida mara nyingi. Hawapiki hovyo kuna vyakula vya haraka, vya nguvu nyingi na quantity ndogo kupunguza logistics ndio wanakula. Kutoa supplies kwenye battleground wakati kuna adui magari yako yanapigwa, mzigo haufiki mbele. Ni tofauti na kupeleka vyakula mjini pasipo na vita.
Misafara ya magari na mafuta inapigwa. Mfano wewe battlegroup yako imekosa chakula kisa convoy imepigwa kama kwenye hizi picha utakula nini. Video ipo unaona kabisa alafu unasema propaganda. Au pale walikuwa wanafanya nini?View attachment 2160363View attachment 2160364
Naomba niongeze volume kwa hii comment kabisaWanajeshi frontline hawali vyakula vya kawaida mara nyingi. Hawapiki hovyo kuna vyakula vya haraka, vya nguvu nyingi na quantity ndogo kupunguza logistics ndio wanakula. Kutoa supplies kwenye battleground wakati kuna adui magari yako yanapigwa, mzigo haufiki mbele. Ni tofauti na kupeleka vyakula mjini pasipo na vita.
Misafara ya magari na mafuta inapigwa. Mfano wewe battlegroup yako imekosa chakula kisa convoy imepigwa kama kwenye hizi picha utakula nini. Video ipo unaona kabisa alafu unasema propaganda. Au pale walikuwa wanafanya nini?View attachment 2160363View attachment 2160364
Let me save you from embarrassing yourself, United States of America is among if not the biggest donor country in the world. Am sure you've seen many things written 'USAID' in tz.Tizama vizuri kisha ujibu tena.
Wapi marekani ametoa msaada wa kibinaadamu kwa nchi aliyoivamia tena wakati vita vinaendelea!?
Keyword: 'wakati vita vikiendelea!!!'
Mfano; Marekani & co. Wameivamia Iraq au Afghanistan wakati mapambano yamepamba moto atengeneze 'humanitarian corridors' kuruhusu raia kuondoka huku anapunguza mapigano wakati huo huo kwenye miji mingine anatoa misaada ya chakula na matibabu tena mpaka kwa wanajeshi pinzani waliosalimu amri na wakati huo vita havijashusha mizigo yake chini! Jeshi/Nchi inayofanya hivi ndio mnasema wanajeshi wake wanakufa njaa!?? Hamna hata aibu nyie watu![]()
Huko google umekosa!? Kwa nnavyokujua ungeshajaza mapicha hapa.
Unaposema hakuna mtu asiyejua utoaji wa msaada wa marekani, unaongopa! Mimi mbona sijui? Au mimi sio mtu!? Hahaha
US & co. Hawajali raia tena kama sio raia wao ndio kabisaaa. Watu milioni wafe ili wapate kufanikiwa maslahi yao wao hawaoni shida. Wakati USSR wanaweka makombora yake cuba almanusura vita iinuke. Mwishoe wasovieti walikubali kuingia makubaliano na US na kukubali kutoa zana zao hizo ili kuepusha vita ambayo zaidi ingewaathiri wacuba kuliko kwa wasovieti wenyewe. Kwa nini leo US asikae na mkubwa mwenzake wakubaliane ili kuzuia vita ambayo kwa kiasi kikubwa inaiathiri UKr. Wao wenyewe kupigana na Urusi hawataki wanahofia, lkn wamemuacha UKr apigane na urusi huku wakijua kbs hatashinda.
Kama lengo lao ni kumdhoofisha Mrusi kijeshi na kiuchumi (which of course maight be a very good strategy) lakini kwa nini iwe at the expense of Ukrainians!? Yaani waukraine wote wafe kama itakuwa na positive outcome kwenye interest za west ni sawa tu.
Poor Ukraine.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Naona umekutana na ZUZU mwenzio mnatiana moyo huku ukraulin ...imebaki majivu .....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Utampasua bandama kwa hasira na hivi hana uwezo wa kuhimili,hasira zake anazikimbizia kuandika kwa Capital Letters ishara tosha ya kupanic kwa kiwango cha SGR [emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hawa watakuwa wanakula chips mayai na pepsi ya baridi,hizo nguvu za kupigana watatoa wapiHiyo Kamaz truck ni battlefield kitchen ilikamatwa last week imejaa viazi na vitunguu wanapelekewa wanajeshi wa Russia. Viazi vinaiva mapema ndio, ila Westerns wanashangaaView attachment 2160366View attachment 2160367View attachment 2160369
Hatua wanazochukua Rusia dhidi ya mataifa yanayofuata anachokisema au kutaka USA,inadhihirisha jamaa wakoradhi hata kuishi na marafiki 2 kuliko mamluki kibao.❗️Japanese Foreign Ministry summons Russian Ambassador (Report)
It comes after Moscow halted peace talks with Tokyo over the Kuril Islands, and all related economic projects related to it - a response to Japan joining mass sanctions against Russia over its operation in Ukraine.
CNN na Aljazeera ni watu wa propaganda, bora global TV kuliko wao. Ukraine wamepigika haswa ni suala la muda tu ndani ya hizi siku 365 Kyiv itakuwa imekuwa ya Puttin.Nini kinaendelea kwenye viunga nnje ya Kyiv,nimeangalia CNN nikajisemea hii ni "Westtern Propaganda",nikabadili station nikahamia Al Jazeera nikakuta habari ni ile ile.Kumbe Comedian Zelensikyy yuko ngangari hivi 🙂.@GANGA ZUMBA Tsh
Huwa ninachokaga sana kumjibu mtu bado ananuka maziwa mdomoni kwa uchanga hapa JF,hebu kuwa kwanza ufikishe walau mwaka mmoja ndiyo urudi kuniquote 😉Naona umekutana na ZUZU mwenzio mnatiana moyo huku ukraulin ...imebaki majivu .....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nimegota hapo kwa siku 365😀CNN na Aljazeera ni watu wa propaganda, bora global TV kuliko wao. Ukraine wamepigika haswa ni suala la muda tu ndani ya hizi siku 365 Kyiv itakuwa imekuwa ya Puttin.
Siku zinakimbia sana.😃Nimegota hapo kwa siku 365😀
Kama cha kwa Edo Chips wanashushia na mirinda baridiiii😀Wanakula kiepe
Wanalialia sasaRussia does not want mutual closure of diplomatic missions with the United States, Ryabkov said.
Galip SV Liwagu View attachment 2160323
Mkuu sijaelewa hapa...Kwa sasa Italy Gas and Diesel imefika 2.2€ kwa Litre sawa na around 5600Tsh hivi kwa litre...
View attachment 2160253
Hii chini tweet ya Rais wa El'Salvador akiwa'qoute Bloomberg wakielekeza raia namna ya kuishi ndani ya mfumuko wa bei [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2160256
Anasema "the most powerful country" dunian linaporomoka kiasi cha kukufanya uwaze tena sababu zinazopelekea... Mwisho akatoa hint kua taifa kubwa hivo haliwezi dondoka hivi hivi unless enemy comes from within...
Wastafte mchawi nje ya mipaka yao na maamuzi ya kukurupuka.. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]