Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiyo ya vyakula vya vitani kwa wapiganaji inajulikana na russia wanaijua zaidi kwa sababu hawajaanza kupigana vita jana wala juzi. We unafkiri kipi kirahisi kusupply jeshi liliokuwa vitani na silaha kila mara au kusupply chakula!?

Sihitaji kuangalia picha/video kujua kuwa hizo sio propaganda bali kwa kutumia uelewa tu nimeng'amua.

Kushambuliwa gari za chakula haimaanishi ndio urusi ina njaa na itaacha kupigana kama ambavyo unaona ukraine wanazidi kupigana na hali ya kuwa kambi zao na 'military infrastructure' nyingine zinapigwa na makombora ya urusi.

Ukraine maghala yake mengi ya silaha yamepigwa lkn husikii wamerun 'out of weapons' ila msafara mmoja wa chakula wa urusi kushambuliwa tyr mshakimbilia kuwa urusi wana njaa [emoji1787]

Haihitaji kuwa jenerali Alexander suvarov kujua kuwa chakula ni muhimu kwa wapiganaji. Kwa mafanikio ambayo warusi wameyapata kwenye operation hii mpaka sasa ni ngumu kuamini kwamba wanapigana na matumbo matupu. Na lau ukisema hivo bado utakuwa umewapa heko maana ukakamavu ulioje kupigana na njaa na bado ukafanikiwa!

Kuhusu uvumbuzi wa vyakula vya vitani sijui nini na nini bado haujanishawishi. Yaani Russia kwa level yao ya 'military technology' kuanzia kwenye mandege, mavifaru, manyambizi, makombora ya hatari, ma-air defences, na silaha nyinginezo yaani waweze kugundua yote hayo na kuyatengeneza ila washindwe kuwa na style ya mre zao!?

Hujanitajia bado ni wapi US ametoa msaada wa chakula na afya kwa nchi aliyoivamia tena wakati vita bado vinaendelea.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mafanikio gani sasa wamepata, kuua raia wasio na hatia pamoja na kubomoa majengo. Hivi jeshi la Russia pamoja na sifa zote hizo unazowamwagia bado ni watu wa kulenga tu the soft targets.!!

Uwezo wa hili jeshi limekuwa exaggerated mno na inaonekana walikuwa hawajapata upinzani wa kweli, mwezi mzima wameteka kamji kamoja tu pale ambapo wakazi wanaandamana kuwapinga na wanaishia kuwapiga na mabomu ya machozi.

Russia imeisha kabisa na wametafuta anguko lao wenyewe kwani hawatakuwa na rasilimali za kuendeleza hivi vita vyao kwa muda mrefu ujao.
 
"Sanctions have turned the dollar and the euro into rubbish currency."

The EEC Minister for Integration and Macroeconomics Sergey Glazyev spoke on the @SputnikLive video bridge about the future of world currencies.

▪️Rejection of settlements in dollars, euros and pounds between the EAEU countries was predetermined by the countries of the West themselves.

▪️Sanctions have accelerated the transition to a "new world economic order" and stimulate the flow of resources, trade and cooperation in the Asian direction.

▪️"We need to think about switching to national currencies."

▪️ An international treaty is needed, including all states that do not want to depend on the country that has appropriated the emission of the world currency.
 
The exchange of prisoners between the DPR and Ukraine has been put on hold, said the Commissioner for Human Rights in the DPR Daria Morozova.

“Unfortunately, the exchange of prisoners of war is currently at a standstill, since the Ukrainian side categorically does not get in touch,” she said.
Galip SV Liwagu
20220322_130616.png
 

NATO member scrambles fighter jets over incursion from Ukraine​

The unidentified aircraft incident reported by the Defense Ministry was deemed safe for Hungary

Hungary scrambled Saab JAS 39 Gripen fighter jets on Monday in response to an unidentified aircraft entering its airspace from Ukraine, the Defense Ministry reported.

The mission was ordered by NATO’s Joint Air Operations Center, a Monday evening report said. At around noon, radars detected the aircraft moving through eastern Hungarian airspace towards Slovakia, which borders Hungary in the north.
 
"Sanctions have turned the dollar and the euro into rubbish currency."

The EEC Minister for Integration and Macroeconomics Sergey Glazyev spoke on the @SputnikLive video bridge about the future of world currencies.

▪️Rejection of settlements in dollars, euros and pounds between the EAEU countries was predetermined by the countries of the West themselves.

▪️Sanctions have accelerated the transition to a "new world economic order" and stimulate the flow of resources, trade and cooperation in the Asian direction.

▪️"We need to think about switching to national currencies."

▪️ An international treaty is needed, including all states that do not want to depend on the country that has appropriated the emission of the world currency.
Kwa hiyo sasa hivi US$ 1 ni TZS ngapi ili tufahamu kama imeshuka.
 
China picks up void left by US - sells fighter jets to Pakistan


China has delivered the latest versions of its J-10 multirole fighter jet to Pakistan in a bid to boost the country's air defense capabilities.


As Pakistan moves for closer cooperation with China, it is also in negotiations to buy the longer-ranged Chinese HQ-9 system analogous to the Russian S-300 long-range SAM.


For decades Pakistan has been receiving armaments from the US, but recent restrictions imposed by Washington has seen Islamabad’s reliance for US military equipment decline.
Hii kitu mwisho wa siku atakayepoteza ni mmarekani labda kama atabadili namna ya kudeal na wasiomtii.
Hizi nchi anazoendelea kuziwekea vikwazo mwisho wa siku zitakuwa nyingi na zitashikana mikono na maisha yatasonga kivyao vyao.
leo kuna uturuki,venezuela,rusia,pakistan,iran,korea kaskazini,n.k lakini itafikia mahala hawa wataunda muunganiko na watajitoa kwenye makucha yake moja kwa moja.
 

Zelensky offers 'compromise' to Putin: No NATO membership for Ukraine in exchange for ceasefire​


Ukraine's President Volodymyr Zelenskyy said late Monday he's prepared to discuss a commitment from Ukraine not to seek NATO membership in exchange for a cease-fire, the withdrawal of Russian troops and a guarantee of Ukraine's security.

Outlining what he called "a compromise for everyone", he made clear the first step had to be a halt to the fighting.
 
Hii kitu mwisho wa siku atakayepoteza ni mmarekani labda kama atabadili namna ya kudeal na wasiomtii.
Hizi nchi anazoendelea kuziwekea vikwazo mwisho wa siku zitakuwa nyingi na zitashikana mikono na maisha yatasonga kivyao vyao.
leo kuna uturuki,venezuela,rusia,pakistan,iran,korea kaskazini,n.k lakini itafikia mahala hawa wataunda muunganiko na watajitoa kwenye makucha yake moja kwa moja.
Marekani anatumia mbinu zilezile katika kipindi tofauti. Tunapoelekea kuna nchi zitajiondoa UN.
 
Back
Top Bottom