ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Yeah that's trueNiko Moscow sasa, nimesikia taarifa za kwamba ZELENSKYY AMEKUBALI KUONDOA PENDEKEZO LA KUJIUNGA NATO vp kuna ukweli??
Yeah that's trueNiko Moscow sasa, nimesikia taarifa za kwamba ZELENSKYY AMEKUBALI KUONDOA PENDEKEZO LA KUJIUNGA NATO vp kuna ukweli??
Akili imemrudi sasa japo amechelewa lkn ni hatua nzuri hongera sana kwakeHaka kajamaa na kenyewe hakana msimamo unao eleweka mara leo Kana taka mazungumzo kesho hakataki yaani hakaeleweki huku watu wasio na hatia wanazidi kufa.View attachment 2160250
Kama ni kweli huyo Rais ni mpumbavu kwann asingekubali tangia mwanzo?? Hakufanga assesment ya hii vita?? Shirika lake la usalama ni wazembe.Yeah that's true
Sisi tumegoma tunapeleka moto tuuuuAkili imemrudi sasa japo amechelewa lkn ni hatua nzuri hongera sana kwake
Ukraine is a sovereign country, it can choose to join or not join NATO. If Putin has beef with NATO, let him start with USA their neighbour.Niko Moscow sasa, nimesikia taarifa za kwamba ZELENSKYY AMEKUBALI KUONDOA PENDEKEZO LA KUJIUNGA NATO vp kuna ukweli??
Teh na hao wana flying toilets kama kenya?What kind of nonsense is this👆👆👆 Niliwaambia huyu jamaa ni mtu useless sasa jioneeni wenyewe.
1$ = 104.12 ruble
1ruble= 1.1 kenya shilling 💪
Watafanya kama Venezuela endapo wakizidiwa. Ni kufuta zero hata mojaKwani Russia wamefanya denomination ya currency yao?
So if Tanzania joins NATO, will you support Russian invasion in dar. Stop being stupid👇👇Kama ni kweli huyo Rais ni mpumbavu kwann asingekubali tangia mwanzo?? Hakufanga assesment ya hii vita?? Shirika lake la usalama ni wazembe.
Kama ulijua utashindwa kwann usiamue mapema ili kunusuru miji, na raia wasio na hatia??.
Nakupa na data za nyongeza... Kuna kitu mashabiki Uchwara w USA hawakiangaliii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila mda tunawaambia USA atazuia kitu ambacho hakitumii kwa wingi au ambacho hakimuathiri kwa kiasi kikubwa...Huku ulikohamia ndio hujui kitu mzee, kwanza aliyekwambia lazima uwauzie USA na UK nani?? Mkuu tuje uwanja wa VITA eeeh ant tanks zimefanyaje sasa??
Soma ulichoandika ikikupendeza badilisha Ili uendelee kubishana kwenye masuala ya uchumiToa hoja kuhusu dhahabu ya Urusi kutouzwa Russia na Marekani au funga mdomo. Hoja ya dhahabu unaikimbia ya nini, kama vipi usiquote