T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Hata ungekuwa wewe sasa ungefayaje. Warusi ile wiki ya mwanzo kuna waliopewa MRE ziko expired miaka kadhaa nyuma. Kuna siku field kitchens zilikamatwa zimejaa viazi tu humo ndani.Tukiwaambia Warussi wana njaa wanatokwa povu,aibu gani hii 😳
Uingereza huwa inachekwa kwa vile main battle tank yao ile Challenger 2 ina sehemu ya kupikia chai. Hata armoured personnel carriers na infantry fighting vehicles zao zote huwa zina mashine ya kupikia chai.
"We see no good reason to let a bit of warfare and mayhem interfere with the serious business of tea. We're not barbarians". Hata pizza huwa wanapewa.
Miaka ya zamani Marekani waligundua canned foods ili wanajeshi wao angalau wawe na uhakika wa nyama wakiwa vitani. Vyakula vingi walivyogundua vitani tunatumia hadi leo. Na Marekani wanawapa chocolate bars wanajeshi, sigara quality na pombe za viwango. Vitani maadui wakikumbana na storage ya Mmarekani walikuwa wanabeba vitu vingi.
Ukiwa superpower unafanya vizuri kila sekta sio hawa hapa ukiwaambia chochote wanajibu MAFUTA, GESI!
Huwezi ona mwanajeshi wa Uingereza au Marekani anadokoa