Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nchi za Marekani na Argentina ambazo ni mmoja ya wazalishaji wakubwa wa ngano duniani wamesoma watangeza uzalishaji wa ngano kufidia pengo la ngano ya Urusi na Ukraine ambao wako vitani

Source: Sky news
 
WACHAMBUA AKILI YA RAISI WA URUSI
20220322_130616.png

Jasusi wa Marekani Jenerali James Clapper ambaye alisimamia CIA, FBI, NSA na aliwahi kuwa mmoja wa washauri wakuu wa Rais Barack Obama ametoa ufahamu kuhusu kazi ya kijasusi inaweza kuwa ikiendelea ili kubaini hali ya akili ya Rais wa UrusiVladimir Putin ni nini.

"Putin ametengwa kwa kiasi kikubwa, haswa katika miaka miwili iliyopita na janga hili la Corona na kuongeza hiyo ni ukweli kwamba ana watu wachache sana ambao wanaweza kumfikia - ambayo inafanya kukusanya habari za kijasusi za kuaminika kuwa vigumu sana, kwa hivyo mengi yanasomwa kwa kile anachofanya na kusema hadharani," aliambia kipindi cha Leo cha BBC Radio 4.

Maafisa wa kijasusi watakuwa wakipitia picha na hotuba katika maudhui na namna ya uwasilishaji, anasema.

Putin amefanya mambo mengi ambayo hayalingani "na tabia yake ya kitamaduni’anasema.

Alipoulizwa kama Putin ana akili timamu, "mtu anatumai kwamba ukimzungumzia mkuu wa nchi ambaye ameweka kidole chake kwenye kitufe cha safu kubwa zaidi ya silaha za nyuklia ulimwenguni, kwamba anafikiria kwa busara. Nadhani kutoka kwa mitazamo mingi, yuko sawa kiakili ... Lakini najua tabia yake imebadilika hivi majuzi kuliko ilivyokuwa."
Galip SV Liwagu
 
Ni fedheha nchi iliyokuwa na pisi 250 za S-300 air-defense systems, leo haina hata pisi moja (zote zimashaangamizwa na Russia), matokeo yake mji wa Kyiv washambuliwa kiholela kwa makombora na kugeuzwa magofu na vifusi


View attachment 2160063View attachment 2160064View attachment 2160066View attachment 2160067
....Na ushangae ndio wameshindwa kuuteka, warusi sasa kuharibu majengo na kuua raia kwao ndio ushindi.
 
IMG_20220322_142934_378.jpg


❗️In social networks and the media, the order of the governor of the Odessa region Maxim Marchenko is being distributed. As early as March 16, he ordered strong points and firing positions to be placed in schools, hospitals - including surgical departments - and even maternity hospitals.

One of the points of the cynical order is:

"Do not allow the exit of the civilian population through humanitarian corridors."

📌 On the eve of the Russian Ministry of Defense reported that nationalists are holding more than 4.5 million civilians in Ukraine as a "human shield".
 
Leo kwenye Media zote za nje sioni wakionyesha Mapambano zaidi ya story tu. Kama game imeisha tuelezwe tuondoke tukafanye mengine bhana

[emoji23][emoji23][emoji23]ingia telegram habar zote utapata
 
Marekani na Uingereza zimesema hazinunui dhahabu ya Urusi. Propaganda unazisema wewe hapo wao wamesema hawanunui wewe na Tekno yako unaita propaganda. Hizi akili hazifai hata kutumia kuvukia barabara.

Mafuta ya Urusi Marekani ananunua?

Hao marekan na uingereza ndo wanunuzi pekee? Kwamba Russia akose wateja wa gold?
 
The head of the British Ministry of Defense confirmed that more than 4,000 NLAW anti-tank systems were sent to Ukraine.

He told the pranksters Vovan and Lexus about this, who called him, introducing themselves as Ukrainian Prime Minister Shmyhal.

Ben Wallace also said that another large batch of ATGMs would soon arrive in Ukraine, while in the UK, according to him, "its own arsenal is running out."

In the same conversation, the minister said that Britain would support the Kiev authorities if they resumed their nuclear program.
 


The Ministry of Defense of the Russian Federation publishes footage of the destruction of an artillery battery of the Armed Forces of Ukraine.

The firing positions in the forest area were recorded by a UAV.
 
Wanajeshi frontline hawali vyakula vya kawaida mara nyingi. Hawapiki hovyo kuna vyakula vya haraka, vya nguvu nyingi na quantity ndogo kupunguza logistics ndio wanakula. Kutoa supplies kwenye battleground wakati kuna adui magari yako yanapigwa, mzigo haufiki mbele. Ni tofauti na kupeleka vyakula mjini pasipo na vita.

Misafara ya magari na mafuta inapigwa. Mfano wewe battlegroup yako imekosa chakula kisa convoy imepigwa kama kwenye hizi picha utakula nini. Video ipo unaona kabisa alafu unasema propaganda. Au pale walikuwa wanafanya nini?View attachment 2160363View attachment 2160364
Hiyo ya vyakula vya vitani kwa wapiganaji inajulikana na russia wanaijua zaidi kwa sababu hawajaanza kupigana vita jana wala juzi. We unafkiri kipi kirahisi kusupply jeshi liliokuwa vitani na silaha kila mara au kusupply chakula!?

Sihitaji kuangalia picha/video kujua kuwa hizo sio propaganda bali kwa kutumia uelewa tu nimeng'amua.

Kushambuliwa gari za chakula haimaanishi ndio urusi ina njaa na itaacha kupigana kama ambavyo unaona ukraine wanazidi kupigana na hali ya kuwa kambi zao na 'military infrastructure' nyingine zinapigwa na makombora ya urusi.

Ukraine maghala yake mengi ya silaha yamepigwa lkn husikii wamerun 'out of weapons' ila msafara mmoja wa chakula wa urusi kushambuliwa tyr mshakimbilia kuwa urusi wana njaa [emoji1787]

Haihitaji kuwa jenerali Alexander suvarov kujua kuwa chakula ni muhimu kwa wapiganaji. Kwa mafanikio ambayo warusi wameyapata kwenye operation hii mpaka sasa ni ngumu kuamini kwamba wanapigana na matumbo matupu. Na lau ukisema hivo bado utakuwa umewapa heko maana ukakamavu ulioje kupigana na njaa na bado ukafanikiwa!

Kuhusu uvumbuzi wa vyakula vya vitani sijui nini na nini bado haujanishawishi. Yaani Russia kwa level yao ya 'military technology' kuanzia kwenye mandege, mavifaru, manyambizi, makombora ya hatari, ma-air defences, na silaha nyinginezo yaani waweze kugundua yote hayo na kuyatengeneza ila washindwe kuwa na style ya mre zao!?

Hujanitajia bado ni wapi US ametoa msaada wa chakula na afya kwa nchi aliyoivamia tena wakati vita bado vinaendelea.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo Kamaz truck ni battlefield kitchen ilikamatwa last week imejaa viazi na vitunguu wanapelekewa wanajeshi wa Russia. Viazi vinaiva mapema ndio, ila Westerns wanashangaaView attachment 2160366View attachment 2160367View attachment 2160369
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa wanashangaa nini. Kwamba viazi na vitunguu ndivyo vinawashangaza au!? Walitaka wakute nyama na siagi au!?

Yaani mnafosi kwa kila namna urusi aonekane dhaifu lkn hamfui dafu. Mwanaume ndio kwanza anasonga mbele kimyakimya.

Nato wanamuogopa urusi kwa mujibu wa zelensky mwenyewe.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ya vyakula vya vitani kwa wapiganaji inajulikana na russia wanaijua zaidi kwa sababu hawajaanza kupigana vita jana wala juzi. We unafkiri kipi kirahisi kusupply jeshi liliokuwa vitani na silaha kila mara au kusupply chakula!?

Sihitaji kuangalia picha/video kujua kuwa hizo sio propaganda bali kwa kutumia uelewa tu nimeng'amua.

Kushambuliwa gari za chakula haimaanishi ndio urusi ina njaa na itaacha kupigana kama ambavyo unaona ukraine wanazidi kupigana na hali ya kuwa kambi zao na 'military infrastructure' nyingine zinapigwa na makombora ya urusi.

Ukraine maghala yake mengi ya silaha yamepigwa lkn husikii wamerun 'out of weapons' ila msafara mmoja wa chakula wa urusi kushambuliwa tyr mshakimbilia kuwa urusi wana njaa [emoji1787]

Haihitaji kuwa jenerali Alexander suvarov kujua kuwa chakula ni muhimu kwa wapiganaji. Kwa mafanikio ambayo warusi wameyapata kwenye operation hii mpaka sasa ni ngumu kuamini kwamba wanapigana na matumbo matupu. Na lau ukisema hivo bado utakuwa umewapa heko maana ukakamavu ulioje kupigana na njaa na bado ukafanikiwa!

Kuhusu uvumbuzi wa vyakula vya vitani sijui nini na nini bado haujanishawishi. Yaani Russia kwa level yao ya 'military technology' kuanzia kwenye mandege, mavifaru, manyambizi, makombora ya hatari, ma-air defences, na silaha nyinginezo yaani waweze kugundua yote hayo na kuyatengeneza ila washindwe kuwa na style ya mre zao!?

Hujanitajia bado ni wapi US ametoa msaada wa chakula na afya kwa nchi aliyoivamia tena wakati vita bado vinaendelea.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hakuna mtu asiyejua utoaji misaada wa Marekani ulivyo. Hilo si suala la kuzungumza hapa, hakuna nchi inatoa misaada kuzidi Marekani wewe kama unataka kushindanisha Urusi na Marekani tafuta vitu vingine.

Afghanistan, Iraq, Japan, Germany yani kila sehemu ambako Marekani aliwahi kupiga alitoa misaada na pengine kupajenga
 
Back
Top Bottom