Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Kuna sehemu nimesema wao ndio wanunuzi pekee. Sasa kama sentensi za Kiswahili nyepesi hivi unashindwa kuelewa uko RT unasoma nini utakachoelewa?
Unajua una mihemuko dogo
Kuna sehemu nimesema wao ndio wanunuzi pekee. Sasa kama sentensi za Kiswahili nyepesi hivi unashindwa kuelewa uko RT unasoma nini utakachoelewa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeenhe haya bn... Ka umeboreka sorry... Lakin bado tu nakukumbusha kua we ni ndezi... Sio tusi bali nakusifia tu.Umeanza matusi mapema sana hio inaonyesha umepanic, wacha nikupeleke pole pole,
India is currently world poverty capital [emoji116][emoji116][emoji116]
India has surpassed Nigeria as the nation with the highest number of extremely poor people. The World Poverty Clock (WPC) said this in its recent update, considering the COVID-19 pandemic economic effect
India is only good on paper but on the ground its a shithole literally, India inaongoza duniani kwa kunya hadharni [emoji116][emoji116]
India has been deemed the world capital of 'open defecation'. In a statement the Drinking Water and Sanitation Minister Jairam Ramesh has plans to install 100,000 "bio- toilets" in 300 backward gram panchayats in the next two years.
India Gdp is big but if look at per capita and HDI, its not even in top 100 countries.
[emoji116][emoji116]
India's HDI value for 2019 is 0.645 which put it in the medium human development category. India has been positioned at 131 out of 189 countries and territories, according to the report.
Tizama vizuri kisha ujibu tena.Hakuna mtu asiyejua utoaji misaada wa Marekani ulivyo. Hilo si suala la kuzungumza hapa, hakuna nchi inatoa misaada kuzidi Marekani wewe kama unataka kushindanisha Urusi na Marekani tafuta vitu vingine.
Afghanistan, Iraq, Japan, Germany yani kila sehemu ambako Marekani aliwahi kupiga alitoa misaada na pengine kupajenga
Yah namkumbuka, alicover headlines zote za magazeti na vyombo vya habari vyao mtandaoni....Yaani sana tu.
Unamkumbuka yule mdada iliengia chumba Cha matangazo na bango la kukataa vita huko Russia?
Eiwaaa Triga kama Triga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kunywa al Kasusu apo naja lipia kabisa....Tizama vizuri kisha ujibu tena.
Wapi marekani ametoa msaada wa kibinaadamu kwa nchi aliyoivamia tena wakati vita vinaendelea!?
Keyword: 'wakati vita vikiendelea!!!'
Mfano; Marekani & co. Wameivamia Iraq au Afghanistan wakati mapambano yamepamba moto atengeneze 'humanitarian corridors' kuruhusu raia kuondoka huku anapunguza mapigano wakati huo huo kwenye miji mingine anatoa misaada ya chakula na matibabu tena mpaka kwa wanajeshi pinzani waliosalimu amri na wakati huo vita havijashusha mizigo yake chini! Jeshi/Nchi inayofanya hivi ndio mnasema wanajeshi wake wanakufa njaa!?? Hamna hata aibu nyie watu [emoji2369]
Huko google umekosa!? Kwa nnavyokujua ungeshajaza mapicha hapa.
Unaposema hakuna mtu asiyejua utoaji wa msaada wa marekani, unaongopa! Mimi mbona sijui? Au mimi sio mtu!? Hahaha
US & co. Hawajali raia tena kama sio raia wao ndio kabisaaa. Watu milioni wafe ili wapate kufanikiwa maslahi yao wao hawaoni shida. Wakati USSR wanaweka makombora yake cuba almanusura vita iinuke. Mwishoe wasovieti walikubali kuingia makubaliano na US na kukubali kutoa zana zao hizo ili kuepusha vita ambayo zaidi ingewaathiri wacuba kuliko kwa wasovieti wenyewe. Kwa nini leo US asikae na mkubwa mwenzake wakubaliane ili kuzuia vita ambayo kwa kiasi kikubwa inaiathiri UKr. Wao wenyewe kupigana na Urusi hawataki wanahofia, lkn wamemuacha UKr apigane na urusi huku wakijua kbs hatashinda.
Kama lengo lao ni kumdhoofisha Mrusi kijeshi na kiuchumi (which of course maight be a very good strategy) lakini kwa nini iwe at the expense of Ukrainians!? Yaani waukraine wote wafe kama itakuwa na positive outcome kwenye interest za west ni sawa tu.
Poor Ukraine.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Siku zote mateka hana uhuru kwenye maoni...."Our patriotism is wrong: we don't love our country, but we hate someone else's."
The military of the Armed Forces of Ukraine, who surrendered, spoke about the state of affairs in the Ukrainian army.
He believes that the Ukrainian command did not care about the soldiers.
View attachment 2160473