umemjibu vyema kabisaa ,huyo ngirii jike!!Tizama vizuri kisha ujibu tena.
Wapi marekani ametoa msaada wa kibinaadamu kwa nchi aliyoivamia tena wakati vita vinaendelea!?
Keyword: 'wakati vita vikiendelea!!!'
Mfano; Marekani & co. Wameivamia Iraq au Afghanistan wakati mapambano yamepamba moto atengeneze 'humanitarian corridors' kuruhusu raia kuondoka huku anapunguza mapigano wakati huo huo kwenye miji mingine anatoa misaada ya chakula na matibabu tena mpaka kwa wanajeshi pinzani waliosalimu amri na wakati huo vita havijashusha mizigo yake chini! Jeshi/Nchi inayofanya hivi ndio mnasema wanajeshi wake wanakufa njaa!?? Hamna hata aibu nyie watu [emoji2369]
Huko google umekosa!? Kwa nnavyokujua ungeshajaza mapicha hapa.
Unaposema hakuna mtu asiyejua utoaji wa msaada wa marekani, unaongopa! Mimi mbona sijui? Au mimi sio mtu!? Hahaha
US & co. Hawajali raia tena kama sio raia wao ndio kabisaaa. Watu milioni wafe ili wapate kufanikiwa maslahi yao wao hawaoni shida. Wakati USSR wanaweka makombora yake cuba almanusura vita iinuke. Mwishoe wasovieti walikubali kuingia makubaliano na US na kukubali kutoa zana zao hizo ili kuepusha vita ambayo zaidi ingewaathiri wacuba kuliko kwa wasovieti wenyewe. Kwa nini leo US asikae na mkubwa mwenzake wakubaliane ili kuzuia vita ambayo kwa kiasi kikubwa inaiathiri UKr. Wao wenyewe kupigana na Urusi hawataki wanahofia, lkn wamemuacha UKr apigane na urusi huku wakijua kbs hatashinda.
Kama lengo lao ni kumdhoofisha Mrusi kijeshi na kiuchumi (which of course maight be a very good strategy) lakini kwa nini iwe at the expense of Ukrainians!? Yaani waukraine wote wafe kama itakuwa na positive outcome kwenye interest za west ni sawa tu.
Poor Ukraine.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kingwendu yuko ngangari kwelikweliNini kinaendelea kwenye viunga nnje ya Kyiv,nimeangalia CNN nikajisemea hii ni "Westtern Propaganda",nikabadili station nikahamia Al Jazeera nikakuta habari ni ile ile.Kumbe Comedian Zelensikyy yuko ngangari hivi 🙂.@GANGA ZUMBA Tsh
Makariv pamekuwa pamoto,imebidi wapaachieUrusi ana shida gani? Mbona hatulii alipokamata?
If you combine the gdps of all the countries you've mentioned they are still smaller than Texas, So your point is null and void.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeenhe haya bn... Ka umeboreka sorry... Lakin bado tu nakukumbusha kua we ni ndezi... Sio tusi bali nakusifia tu.
Hizo data za kunya hovyo zilikusanywa na nani [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] na zinahusiana na kipi katika nilichokizungumza apo?
Umehama umeingia kww GDP per Capita ukijua kabisa hii inaathiriwa na idadi ya watu. Unaitolea mfano India kwa GDP per Capita ilhl wajua fika India ina almot two times idadi ya watu waliopo bara zima la ulaya...
Uko juu umeitolea mfano Texas ambayo kwa Idadi ya watu ilonao ya Mil 29 ni sawa na Idadi ya watu iliyopo kwenye nchi kama Singapore, UAE, Qatar, Kuwait, Hongkong, na Republic of Ireland Combined.
Je ukichukua Total GDP ya kila nchi apo Combined il upate usawa katika Idadi ya watu ulinganishe na Texas vinafanana?
Kingine waitaja taja sana GDP, unaijua maana ake vizuri? Unajua njia zinazotumika ku'Calculate GDP ya eneo husika? Kati ya GDP Nominal na GDP by PPP yan Purchasing Power Parity ipi ni kipimo halisi cha eneo husika?
Ok then wajua tu kua China ana GDP by PPP kubwa kuliko USA? Japo ana GDP nominal second to USA? Ko unapozungumza na mie umeshaneleza unaelezea Pato la taifa kwa upande upi?
Is it Nominal? Is it by PPP? Hey Mr Ndezi, nakukumbusha sikutukani ila nakusifia tu... Apo juu kuna post wajidai ati thaman ya fedha enu ipo closer to Ruble ila kwasab ndo uwezo wa kufikri ushajua jua mnalingana Uchumi na Russia... What a Coward [emoji23][emoji23][emoji23]
Chinese Yuan ni Just 6.4 hv ka sikosei kwa dollar 1... But yet its the world second largest Economy dunian... Ka kweli kwenye hii field uko vizuri unaijua sabab za wao wachina kuiweka ela yao chini?
Kuwait Dinar ni zaidi ya 370 ya ela yenu Ksh kwa apa ni zaid ya 7600... Ilhal USD Moja ni sawa sawa na 114 au 115 ya kwenu apo huku TZ ni 2500 ka sikosei kwenye rate apo... Je kwa hizo akili zako kwa apo utatwambia Kuwait uchumi wao mkubwa kuliko USA?
Ndugu we twendelee tu kupiga kabobo apa Russia hana Msosi Russia kapigika Russia anajambishwa ila upande huu achana nao kbs.
Mahaba niueSwaths of Ukraine suspected to contain explosive devices
The Association of Ukrainian Sappers has said that at least 82,525 square kilometres (31,863 square miles) of Ukraine’s land area is suspected to contain explosive devices.
The organisation said in a Facebook post on Monday that it now considered the swaths of territory – which amount to an area bigger than Austria – as “dangerous”.
It did not specify how much of the area quoted was classified as containing explosive devices prior to Russia’s invasion beginning and said its calculations were preliminary, based on information calculations made jointly with the Ukrainian mine action operator Demining Solutions.
Nchi nzima ina mabomu, *****
Mariupol witnessing ‘an increasingly grim struggle’ for control: AJE correspondent
Al Jazeera’s Rob McBride, reporting from the city of Lviv, in Western Ukraine, says Mariupol remains the “focus” of the war in Ukraine as Russia’s assault moves towards the end of its fourth week.
“It is the scene of an increasingly grim struggle between Russian forces who are seemingly determined to take it at any cost, and regardless of what it looks like if and when they do take it, and equally determined Ukrainian defenders who want to deny them the city,” McBride said.
Ukraine ndio Size ya Russia wasije wakakurupuka kwa USA
Utampasua bandama kwa hasira na hivi hana uwezo wa kuhimili,hasira zake anazikimbizia kuandika kwa Capital Letters ishara tosha ya kupanic kwa kiwango cha SGR 😂hebu tuwaulize Russia Today
Na ubaya Russians wao ni Orthodox hawajui habari ya Papa.Muda mfupi uliopita zelensky kamuomba papa amkutanishe na putin. Al jazeera
Sasa hapa ndo utajua nani anapigika uwanja wa vita