Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nawafuatilia kwa ukaribu sana na michango yenu inanipa na kinielimisha sana kuhusiana na huu mzozo na dunia kwa ujumla ila kwa hii komenti ni wazi umetoa boko
Mkuu nimetoa boko kuendana na boko alilotoa. Sio mara ya kwanza kunisahihisha kauli ila uache kuona makosa yangu tu. Mara zote nafanya reaction, cause huioni unaona jibu nililotoa tu ndio baya. Unalaumu pa kudondokea pekee na unaacha pa kujikwaa
 
The negotiation process between the delegations of Russia and Ukraine is slower and less meaningful than we would like, Peskov said.
Galip SV Liwagu
20220322_130616.png
 

Split opens in EU over Russia energy sanctions​

Hungary said its energy supply is not an “ideological question” after it declined to back potential embargoes on Russian oil.

“An agreement on possible EU sanctions against Russian energy supplies or their interruption will most likely not be reached,” he said, adding that “We will not support any sanctions that could pose a risk to energy supplies to Hungary.”
 
Acha propaganda. Hakuna mwanajeshi wa Urusi ambaye ana njaa hata mmoja.

Urusi anatoa misada ya chakula na matibabu huko Ukraine alaf awe yeye hapohapo wanajeshi wake wana njaa!?

Wapi uliwahi kuona marakani kavamia alaf akawa anatoa misada ya kibinaadamu kwa raia wa nchi aliyoivamia tena wakati vita vinaendelea!?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wanajeshi frontline hawali vyakula vya kawaida mara nyingi. Hawapiki hovyo kuna vyakula vya haraka, vya nguvu nyingi na quantity ndogo kupunguza logistics ndio wanakula. Kutoa supplies kwenye battleground wakati kuna adui magari yako yanapigwa, mzigo haufiki mbele. Ni tofauti na kupeleka vyakula mjini pasipo na vita.

Misafara ya magari na mafuta inapigwa. Mfano wewe battlegroup yako imekosa chakula kisa convoy imepigwa kama kwenye hizi picha utakula nini. Video ipo unaona kabisa alafu unasema propaganda. Au pale walikuwa wanafanya nini?
anBn.jpg
20220322_135316.jpg
 
Una "Ushoga wa akili we jamaa" nazan ntakuwa nimeku'adress vizuri kwa hiyo kauli [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]... Endeleeni kuzodoana uko kwenye issue za kivita ila Uchumi hauihitaji mahaba ko kaa kwa password utulie tuliii...

Hukijui kilichokuwa kinazungumzwa unakurupuka ku'qoute...

Hyo GDP ka uliambiwa ni ela mkonononi kaoge maji ya mchele utoe huo uzuzu ulionao...

Af kwanza imetokea baada mbaya tu kukujib uzuzu wako...

View attachment 2160321

Hyo list juu ina nchi Tatu ndani ya BRICS, China, Brazil na India.... Nje ya Top 10 yupo number 11 apo n Russia na South Africa ambae ni number kwa Africa nyuma ya Nigeria...

Kwasabab una akili za kushikiwa hujui na huezi kujiongeza lengo haswa la Russia kuokota mmoja mmoja tokka mabara tofauti na haswa wahusika wakiwa top kwenye nchi hizo...

South America Brazil ndo number 1. Ukichukia soko la Brazil umepiga, North America hawezi kwasabab wapo "Adui Zake" USA na Canada...

Asia soko adhim ni India na China... Kwasabab huna akili unawaza GDP ni ela mfukoni hujiongezi kwann kaweka urafiki na hao viumbe...

Kwa Africa masoko makubwa ni Nigeria kisha South Africa... Na penyewe kwasab huna akili hujiongezi kwanini kaweka urafiki hapo...

Ukitaka kueleweka njoo na Hoja za kiutu uzima so hiz story za GDP na ugoro mwingine ilhal walau in detail unachokizungumza hukijui...
Umeanza matusi mapema sana hio inaonyesha umepanic, wacha nikupeleke pole pole,

India is currently world poverty capital 👇👇👇
India has surpassed Nigeria as the nation with the highest number of extremely poor people. The World Poverty Clock (WPC) said this in its recent update, considering the COVID-19 pandemic economic effect

India is only good on paper but on the ground its a shithole literally, India inaongoza duniani kwa kunya hadharni 👇👇
India has been deemed the world capital of 'open defecation'. In a statement the Drinking Water and Sanitation Minister Jairam Ramesh has plans to install 100,000 "bio- toilets" in 300 backward gram panchayats in the next two years.

India Gdp is big but if look at per capita and HDI, its not even in top 100 countries.
👇👇
India's HDI value for 2019 is 0.645 which put it in the medium human development category. India has been positioned at 131 out of 189 countries and territories, according to the report.
 
Hali ilivyo kwenye mji wa Mariupol.jeshi la Urusi mpaka muda huu lina udhibiti wa asilimia 90 ya mji wa Mariupol.uwanja wa ndege wa Mariupol, Hospital kuu ya Mariupo, bandari ya Mariupol na majengo ya manispaa ya Mariupol yote yapo chini ya Majeshi ya Urusi
IMG_20220322_140203.jpg
 
View attachment 2160356

Kiwanda cha kutengeneza vifaru urusi kimesimasha uzalishaji kutokana na upungufu mkubwa wa malighafi.
Kiwanda gani hicho. Ularvagonzavod ndio watengenezaji wakubwa wa vifaru ila Russia huwa wanakuwa na design bureaus na manufacturing plants kama KnAAPO na OKBs. Sasa kiwanda gani ungetaja jina.

Hizo malighafi likely zinaweza kuwa microchips ambazo Warusi hawaziwezei sana. Hata hivyo kuna global supply shortage ya chips
 
HAWA JAMAA WANAIOGOPA RUSSIA KWELI KWELI (Naona NATO imeshindwa)

EU approves creation of European military force


The EU has approved a common defense strategy that involves the creation of a 5,000-strong deployment force - the so-called “Strategic Compass” plan - for the first time in the bloc’s history.


Latvian FM Edgars Rinkēvičs said the initiative provides a “necessary toolbox for the EU to become a real geopolitical defense and security player together with NATO,” and is only the “beginning of the journey”.


The plan, first mentioned in 2020, is aimed at improving cooperation between existing European militaries and NATO, cyber-defense consolidation, and facilitating joint R&D programs.
 
Huku ulikohamia ndio hujui kitu mzee, kwanza aliyekwambia lazima uwauzie USA na UK nani?? Mkuu tuje uwanja wa VITA eeeh ant tanks zimefanyaje sasa??
Judgements zenu hata dogo wa miaka 6 anaweza washinda. Hakuna sehemu nimesema ni lazima uuze dhahabu kwa UK au US. Kumbe mnaona ulazima sana wa kuziuzia dhahabu hizo nchi mbili, mbona mnalalamika sana na kulia hayo si ni maamuzi ya nchi mbili tu duniani, na nyie si ni superpower? Yeyusha dhahabu muifanye iwe fedha au wauzie BRICS.

Vifaru sijui vimekuwaje naona picha kama hizi
20220318_090121.jpg
 
Back
Top Bottom