Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila hapa nazani kuna vitu viwili mnachanganyana...

Kuna the first man in Space na The First Man to Walk/Land on Moon...

"The first Person in Space" ni Mrusi Mmoja hivi anaitwa Yuri Gagarin 1961... Na ambae hivi jana kama sikosei amevuliwa hyo "Honor" kisa huu mgogoro wa Ukraine na Russia... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anaevuliwa hyo Honor mwenyewe Marehem nikaanza kujiuliza hicho kitendo kinatatuaje mgogoro uliopo...

Ukipata mda kamfatilie...

Na "The first Person to walk/land on Moon" ndio huyo Mmarekan Neil Armstrong 1969... Ingawa kuna fununu chini kwa chini ikisemekana kua ni "Uongo" ila historia ndivo inavosema...

Screenshot_20220322-122955.jpg
 
They say they caught a solid lieutenant colonel of the IPSO #58oa group , a certain Koshel Alexander Olegovich, born in 1982.
 
Kwani walienda kuchukua kiev? Unachukuaje jiji,? Utaliweka wapi? Mifukoni? Au ulikua unamaamisha nini?

Special operation ilikua ina malengo matatu, moja denezafication, demilitarization na kuondoa possibility ya Ukraine kuingia NATO.

Wanazi wanapigwa sana so the deal is done, vituo na kambi za kijeshi Ukraine vimepigwa mno, tena na silaha nzito mfano kambi iliyopo mpakani na poland, so also the deal is done.

Cha mwisho ni serikali ya Ukraine kukiri na kuweka kwenye katiba kua kamwe hawatajiunga Nato, pia watambue Donbase na Luhansk na crimea kua ni majimbo huru. Hili ndio linalowapa pressure but hakuna shaka watakaa na kukubali tu. Tusubiri muda.

The irreplaceable
mim sijui ni kitu gan reshia anawaz ila naamin naamin alishafanya analisis na alikua ana plybook yao.kgb playbook sidhan kama alikurupuka
 
Kwa sasa Italy Gas and Diesel imefika 2.2€ kwa Litre sawa na around 5600Tsh hivi kwa litre...

IMG_20220322_123512_198.jpg


Hii chini tweet ya Rais wa El'Salvador akiwa'qoute Bloomberg wakielekeza raia namna ya kuishi ndani ya mfumuko wa bei [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

-5895533691634038616_120.jpg


Anasema "the most powerful country" dunian linaporomoka kiasi cha kukufanya uwaze tena sababu zinazopelekea... Mwisho akatoa hint kua taifa kubwa hivo haliwezi dondoka hivi hivi unless enemy comes from within...

Wastafte mchawi nje ya mipaka yao na maamuzi ya kukurupuka.. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom