Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
WatabishaUwanja wa ndege wa mariupol umeshabebwa na wanajesh wa urusi-chechanyaView attachment 2160169View attachment 2160171View attachment 2160168
WatabishaUwanja wa ndege wa mariupol umeshabebwa na wanajesh wa urusi-chechanyaView attachment 2160169View attachment 2160171View attachment 2160168
Zelensky yuko tayari kuondoa mpango wake wa kujiunga NATO ili Urusi watoe majeshi naona taratibu dawa inaanza kufanya kaziWatabisha
Nilikuwa nasikiliza asubui hii yule comedian anataka mazungumzo na Putin kwa namna yeyote iwe kuonana au online, ofa yake anajitoa kwenye mpango wake wa kujiunga NATO, kwa hakika Putin ni mtu wa vitendoChina urges U.S. to put aside arrogance, face up to its human rights problems
China urges the United States to put aside its arrogance and prejudice, face up to its human rights problems and make concrete efforts to improve the human rights situation within the country, foreign ministry spokesperson Wang Wenbin said on Monday, International Day for the Elimination of Racial Discrimination.
Jomba hii rate ipo sawa kweli?Rates at the start of today's trading:
[emoji3503] 1 dollar - 3.2711 rubles
[emoji3503] 1 euro - 3.5983 rubles
[emoji3503] 100 Russian - 3.1348 rubles
[emoji3503] 10 Chinese yuan - 5.1459 rubles
Right on the moneyHazisomi, sidhani kama anajua hata kiswahili. Humu ni analysis uchwara tu na ubishi wa wenyewe kwa wenyewe usio na msaada kwa Urusi au Ukrain. Kuhusu kuhimili, amehimili kwa siku zaidi ya 20 sasa, jambo ambalo linawaudhi warusi humu nadhani kuliko linavyomuudhi Puttin. Kuhusu kushindwa mnyonge anajulikana tangu day 1.
hiyo unamuitaje "mkuu" aseeMkuu sio kwamba wewe ndo mjinga?
View attachment 2160121
Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Operationa imeota matende,inajikongoja kuliko walivyotarajia humu🙂Sio vita. Ni operation ya kawaida ya kijeshi.
Kwani walienda kuchukua kiev? Unachukuaje jiji,? Utaliweka wapi? Mifukoni? Au ulikua unamaamisha nini?Hivi mbona mpaka leo ni haya makelele yenu, Urusi bado hajaichukua Kiev.
Marekani na Uingereza zimesema hazinunui dhahabu ya Urusi. Propaganda unazisema wewe hapo wao wamesema hawanunui wewe na Tekno yako unaita propaganda. Hizi akili hazifai hata kutumia kuvukia barabara.Propaganda zimekufisha hata ule uwezo mdoogo wa kutafakari mambo!
Wajanja duniani wanunue mafuta ya Russia ambayo kimsingi thamani ya bidhaa hiyo ipo chini ya madini ya dhahabu. Halafu wakatae kununua dhahabu eti kwa kuwa Ukraine anachezea kichapo!
Sasa hivi inapiganwa hapa kwa utitiri wa comment,hawana namna zaidi ya kupigana nyuma ya keyboard maana Putin ni kama hawamwelewi tena 🙂Imegeuzwa tena ?!!
Toa hoja kuhusu dhahabu ya Urusi kutouzwa Russia na Marekani au funga mdomo. Hoja ya dhahabu unaikimbia ya nini, kama vipi usiquoteHuku kwenye uchumi huna unalojua kaka, turudi kwenye Vita kwanza, vp Urusi bado anatumia zana za zamani au ameanza kutumia za kisasa??
😂😂😂😂😂😂😂😂Huku kwetu kuna matukio tunayasoma mengi sana yanayoihusu hii operation 😂😃View attachment 2159812
Unajua we jamaa ni ngumbaru. Yani hapo hujaona kama nimesema UK na US? Kwani hiyo ndio dunia nzima, hiyo dhahabu wauzieni South Africa na Brazil si wako BRICSPropaganda zimekufisha hata ule uwezo mdoogo wa kutafakari mambo!
Wajanja duniani wanunue mafuta ya Russia ambayo kimsingi thamani ya bidhaa hiyo ipo chini ya madini ya dhahabu. Halafu wakatae kununua dhahabu eti kwa kuwa Ukraine anachezea kichapo!