Urusi ina tani kama 2,300 za dhahabu kwenye reserve ambazo zina thamani ya kama $140 billion. Ni reserve ya tano kwa ukubwa duniani na Russia ilinunua kwa wingi miaka kumi hii iliyopita ili itumike kwenye kipindi cha sanctions kama hiki. Ila sasa Uingereza ambayo ndio yenye largest gold market duniani pale London imepiga marufuku uuzwaji wa dhahabu kutoka refineries za Russia. Marekani nayo imezuia kufanya biashara yeyote na dhahabu ya Russia.
Mahitaji ya dhahabu kwa raia ni makubwa ili kujilinda dhidi ya kushuka thamani kwa Ruble. Expectations zao ni kuwa Ruble itazidi kushuka hivyo mwenye hela kiasi ananunua dhahabu au vito vya thamani anatunza atakuja aviuze baadae havitashuka thamani kwenye soko la dunia tofauti na pesa makaratasi
View attachment 2160050