Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mall gani inakuwa na hizi zana jmn
20220322_010224.jpg
 
Hatimaye kuna habari kuhusu wahanga upande wa jeshi la Kirusi. Gazeti la Komsomolskaya Pravda lilichapisha namba ya vifo 9,961 na 16,153 waliojeruhiwa ; makala ilifutwa baada ya muda mfupi lakini bado inaweza kuangaliwa kupitia kumbukumbu ya archive.org: Минобороны сообщило, что российские войска завершают разгром националистического батальона «Донбасс»
Hi si tofauti sana na namba za Ukraine, hasa ukizingatia kwamba mara nyingi si rahisi kutofautisha wajeruhiwa na waliofariki (na kila upande unaelekea kutaja hasara kubwa upande wa adui pamoja na hasara ndogo upande wa wenyewe)

Минобороны РФ опровергает информацию украинского Генштаба о якобы маштабных потерях ВС РФ на Украине. По данным Минобороны РФ, в ходе спецоперации на Украине ВС РФ потеряли убитыми 9861 человека, ранения получили 16153 человека.
Читайте на WWW.KP.RU: https://www.kp.ru/online/news/4672522/

Kiingereza: The Ministry of Defense of the Russian Federation refutes the information of the Ukrainian General Staff about the alleged large-scale losses of the RF Armed Forces in Ukraine. According to the Ministry of Defense of the Russian Federation, during the special operation in Ukraine, the Russian Armed Forces lost 9861 people killed, 16153 people were injured. Read on WWW.KP.RU: https://www.kp.ru/online/news/4672522/
 
Zelensky said that he understood everything: "We are not accepted into NATO because they are afraid of Russia. That's all"

"And we need to calm down, say, 'OK, other security guarantees,'" he said.
Anakumbuka shuka kumekucha?[emoji3]
 
Ukraine inaendelea kupokea kila aina ya misaada.....
Dunia imechukizwa na Putin, hivyo mataifa mengi yanatoa misaada ya kila aina. Na jinsi Urusi inazidi kutengwa na dunia, ndivyo itaporomoka hadi kuwa taifa la ulimwengu wa tatu ila lenye manyuklia ambayo hata kuyatunza itakua mtihani.

Hatimaye kuna habari kuhusu wahanga upande wa jeshi la Kirusi. Gazeti la Komsomolskaya Pravda lilichapisha namba ya vifo 9,961 na 16,153 waliojeruhiwa ; makala ilifutwa baada ya muda mfupi lakini bado inaweza kuangaliwa kupitia kumbukumbu ya archive.org: Минобороны сообщило, что российские войска завершают разгром националистического батальона «Донбасс»
Hi si tofauti sana na namba za Ukraine, hasa ukizingatia kwamba mara nyingi si rahisi kutofautisha wajeruhiwa na waliofariki (na kila upande unaelekea kutaja hasara kubwa upande wa adui pamoja na hasara ndogo upande wa wenyewe)

Минобороны РФ опровергает информацию украинского Генштаба о якобы маштабных потерях ВС РФ на Украине. По данным Минобороны РФ, в ходе спецоперации на Украине ВС РФ потеряли убитыми 9861 человека, ранения получили 16153 человека.
Читайте на WWW.KP.RU: https://www.kp.ru/online/news/4672522/

Kiingereza: The Ministry of Defense of the Russian Federation refutes the information of the Ukrainian General Staff about the alleged large-scale losses of the RF Armed Forces in Ukraine. According to the Ministry of Defense of the Russian Federation, during the special operation in Ukraine, the Russian Armed Forces lost 9861 people killed, 16153 people were injured. Read on WWW.KP.RU: https://www.kp.ru/online/news/4672522/
Fake news
 
This grew to serve as an arms warehouse of Ukraine.

Check out these pre-blown images [emoji4] [emoji116] [ATTACH = full] 2159929 [/ ATTACH] [ATTACH = full] 2159930 [/ ATTACH]

This Is Why Russia Targeted The Retroville Shopping Center​

1647908132811.png

We can clearly see Military vehicles hiding under the building
1647908265919.png

1647908501385.png

Shocking footage shows Russian ballistic missile destroying shopping mall in Kyiv, Ukraine

The enormous explosion annihilated the Retroville mall in the northwest of the capital Kyiv and was so powerful it
pulverised vehicles in its car park. “The Russian army shoots accurately and correctly": Kiev residents confirm the
destruction of the Ukrainian Armed Forces technology hidden in the Retroville shopping center. Ukrainians write that

the military Ukrainian Armed Forces uses civilians as a living shield.
 
Back
Top Bottom