Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

....... Mwaka gani huo na je Mexico ilikuwa ni nchi?
Kasome MEXICO CESSION 1848 na ukasome AMERICAN- MEXICO WAR .... Nakwambieni msifanye watu wajinga .... Ukitaka nikufundishe ntakudai ada .... Nenda kasome Kwa bando lako tu. Halafu Urudi hapa .... Hivi shule mnaendaga kusomea ujinga na kukariri tu. Na unauliza kabisa eti kwani Mexico ilikiwa nchi !!?? Imekuwa nchi tangu 1810 .... Ficha ujinga wako....
 
Russia's economy will shrink a huge 10% this year, Goldman Sachs says — its worst contraction since the dark days of the 1990s

Russia's economy will shrink 10% this year as Western sanctions hit its exports and imports, Goldman Sachs said.
Inflation in Russia will soar to 20% by year's end, far above the central bank's 4% target, it said.
The US and its allies have hamstrung Russia's economy with sanctions since its invasion of Ukraine.

Russia's economy will shrink a huge 10% this year, Goldman Sachs says — its worst contraction since the dark days of the 1990s
 
Zinalipuaje wakati ni vidogo sana
Explosives ziko za aina nyingi tofauti. Hizo sijui zina TNT au kitu gani. Kinachofanya shell iwe kubwa ni kutokuwa na shabaha sahihi sana kwahiyo inapewa explosive kubwa angalau hata ikikosea target kidogo ilete madhara. Hizi Switchblade ziko very accurate unaweza ziongoza sehemu husika zikatumia camera kuonesha kilichopo kisha ukazielekeza ziharibu wapi. Ni single use yenyewe inajilipua kwenye target. Zilizopelekwa Ukraine ni ndogo haziwezi kuharibu vifaru ila Marekani za kuharibu vifaru anazo.

Zinahitaji mwongozo wa drone nyingine ambayo zinawasiliana nayo ikiona kitu mbali inazielekeza, zikifika zikasoma zinaitumia alafu operator aliyeko ground anaeleza kati ya zile target zidondokee nini. Magari yote zinayaweza kasoro tank, IFV na APC
 
Kwani kuna ugomvi humu???
Muulize jamaa yako...kaleta madai kashindwa kuyathibitisha, sasa arusha matusi kwa udhaifu wake. Kama vipi msaidie kuthibitisha madai yake.

Clip hii 👇👇👇 imetolewa na wizara ya ulinzi ya urusi namna wakishambulia Ukraine



Jamaa yako GANGA ZUMBA, anadai kuwa hiyo Clip imekopiwa kutoka humu 👇👇👇



Swali ni kwamba aangalie clip zote mbili, kisha anijuze ni sekunde ya ngapi hadi ya ngapi zimekopiana.

Yeye (aliyeleta madai) kashindwa🤣😂😆😄😀

Wewe kama waweza msaidie uokoe jahazi🙏🙏🙏
 
Ni kwamba haujui Marekani ilichukua maeneo ya Mexico !!!? Au unajizima Data tu ???
Tusichanganye mambo tafadhali. wewe ulidai huko juu "USA alichukua utaifa wa nchi ngapi.."
Ulimjibu mchangiaji aliyesema Urusi / USSR mwaka 1940 ilijaribu kumeza Finland, yaani kuirudisha chini ya Urusi jinsi ilivyokuwa kabla ya 1917.
Urusi / USSR ilifanya hiyohiyo tayari mwaka 1922, baada ya Ukraine kutangaza uhuru wake. Ilifanya vile kuhusu nchi nyingi zilizotangaza uhuru 1917 na kuzirudisha kama koloni (kwa jina "jamhuri") katika USSR.
Urusi ilirudia hatua hii baada ya Chechnya kutangaza uhuru wake baada ya 1991.

Sasa Putin alihutubia Warusi akaeleza "Ukraine si nchi halisi"

MArekani ilichukua maeneo makubwa kutoka Meksiko wakati wa karne ya 19 lakini haikichukua utaifa = kufuta Meksiko kama nchi huru, jinsi Urusi ilivyofanya na nchi nyingi wakati uleule. Hii ilitokea na nchi moja (ambayo labda hukumbuki), Marekani ilivamia ufalme wa Hawaii na kuimeza kwenye karne ya 19. Pia kwa sababu waliona Wahawaii si watu weupe, wanaweza kutendewa vile.
Marekani haikumeza nchi katika karne ya 20, lakini Urusi ilimeza. Hapa naona tofauti.

Nchi kubwa zote zinaelekea kufanya dhambi vile (China ilivamia Tibet huru mnamo 1950s) lakini kuna tofauti.
Tangu 1945 na kuundwa kwa Umoja wa Mataifa tumeahidiana duniani kutobadilisha tena mipaka kwa mabavu na vita. Wote wameahidi. Pia Urusi. Kwa amani kwenye bara Afrika hii kanuni ni ya kimsingi kabisa tukitaka kuishi.
Hapa ni kanuni ya kwanza ya sheria ya kimataifa.
 
Si amekuwekea clip zote mbili SI ni kusema tu angalia sekunde flani mpaka flani katika clip mpya na sekunde ngapi paka ya ngapi clip ya 2014 ...mbona ni kazi nyepesi unaifanya iwe ngumu kama kunya fenesi ndugu.
ya nini sasa? nimejibu source yake RT sifuatilii fullstop analeta bato za kitoto
 
Tusichanganye mambo tafadhali. wewe ulidai huko juu "USA alichukua utaifa wa nchi ngapi.."
Ulimjibu mchangiaji aliyesema Urusi / USSR mwaka 1940 ilijaribu kumeza Finland, yaani kuirudisha chini ya Urusi jinsi ilivyokuwa kabla ya 1917.
Urusi / USSR ilifanya hiyohiyo tayari mwaka 1922, baada ya Ukraine kutangaza uhuru wake. Ilifanya vile kuhusu nchi nyingi zilizotangaza uhuru 1917 na kuzirudisha kama koloni (kwa jina "jamhuri") katika USSR.
Urusi ilirudia hatua hii baada ya Chechnya kutangaza uhuru wake baada ya 1991.

Sasa Putin alihutubia Warusi akaeleza "Ukraine si nchi halisi"

MArekani ilichukua maeneo makubwa kutoka Meksiko wakati wa karne ya 19 lakini haikichukua utaifa = kufuta Meksiko kama nchi huru, jinsi Urusi ilivyofanya na nchi nyingi wakati uleule. Hii ilitokea na nchi moja (ambayo landa hukumbuki), Marekani ilivamia ufalme wa Hawaii na kuimeza kwenye karne ya 19. Pia kwa sababu waliona Wahawaii si watu weupe, wanaweza kutendewa vile.
Marekani haikumeza nchi katika karne ya 20, lakini Urusi ilimeza. Hapa naona tofauti.
Kwa hiyo unachotofautisha wewe ni Karne sio suala la kuvamia nchi jirani SI ndio ... Hii familia inayosimamiwa nawewe Ina matatizo sana.
 
ya nini sasa? nimejibu source yake RT sifuatilii fullstop analeta bato za kitoto
Fanya yako humu nikuvuta muda tu ... Unavyofatilia CNN, BBC, dw, unawaongeza Nini Ukraine!!?? Huu Uzi ni kama kijiwe Cha kahawa tu ... Hakuna msaaada wowote .... Labda mahistorical background na facts zingine ila kuhusu maendeleo ya vita/operation HAKUNA MWENYE MAAMUZI HUMU usitengeneze nyongo kizembe hivyo
 
Subiri hao wiki chache zijazo watapambana na njaa ya kufa mtu hadi hizo bunduki hawatakuwa hata na nguvu za kuzibeba, watakuwa wanaziangalia tu kama mavi ndipo watakamatwa kama vichuchu.

Pro Nato bhana toka vita inaanza ndo wimbo wenu huohuo. Mnafikiri Russia ni zimbabwe ausioo.

Nchi inalisha ulaya yote ije kufa kwa njaaa? Acha uzwazwa sometimes kama huna hoja bora uendelee kula madesa.

Hamjafungua vyuo?
 
Fanya yako humu nikuvuta muda tu ... Unavyofatilia CNN, BBC, dw, unawaongeza Nini Ukraine!!?? Huu Uzi ni kama kijiwe Cha kahawa tu ... Hakuna msaaada wowote .... Labda mahistorical background na facts zingine ila kuhusu maendeleo ya vita/operation HAKUNA MWENYE MAAMUZI HUMU usitengeneze nyongo kizembe hivyo
nyongo kwani nalipwa 😂😂😂 yaan nikerekwe na mtu ambae simjui? ujinga huo
 
Switchblade 600 si zina uwezo wa kuharibu mpaka vifaru. Pia range yake ni 40km na zaidi.
Hawatoi Switchblade 600 nadhani. Ila Biden kauli yake ilikuwa tata alisema "drone package" sasa kwenye hiyo package hakujulikani kuna nini na nini hasa. Maana Switchblade ili ziwe very effective zinahitaji mazingira mengi kama drones nyingine.
Tiyari kuna ant tank missiles zipo effective alafu msaada wenyewe ni $800 M na kuna silaha nyingine humo.

So far mpaka sasa foreign legion ya Ukraine haifanyi kazi. Ila wapiganaji watakaoletwa na Russia (endapo itatekeleza) kutokea Libya na Syria ndio wazoefu wa vita wasio na mafunzo. Ila inasemekana Wasyria wengi wanataka wajiandikishe waje frontline kisha wajisalimishe Ukraine waende Ulaya kama wakimbizi wale maisha
 
Umeshindwa kuonesha...siku nyingine usiwe wakurupuka kusoma kiingereza na kubeba yanayoongelewa kabla hujathibitisha kama ni kweli.

Jasho limekutoka hadi kwapa limekuwa chepe chepe kwa kutakiwa tu kuonesha mfanano wa clip mbili unazodai moja imekopiwa toka kwa nyingine na jeshi la ulinzi la Russia.

Mie ndio kiboko ya wazushi wa Team Ukraine
Nakubali,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kule putin huku wewe. Piga kina joti hao

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Elon Musk's Starlink satellites are helping Ukraine's elite drone unit destroy Russian tanks and trucks in the night: report

HUILENG TAN



March 21, 2022 7:25 AM

Ukrainian drones modified with thermal cameras target Russian military vehicles at night.

The Starlink internet system ensures drone teams can work even amid internet or power outages.

SpaceX CEO Elon Musk sent Starlink terminals to Ukraine upon request by a government official.

Elon Musk's Starlink satellites are helping Ukraine's elite drone unit destroy Russian tanks and trucks in the night: report
 
Muulize jamaa yako...kaleta madai kashindwa kuyathibitisha, sasa arusha matusi kwa udhaifu wake. Kama vipi msaidie kuthibitisha madai yake.

Clip hii 👇👇👇 imetolewa na wizara ya ulinzi ya urusi namna wakishambulia Ukraine



Jamaa yako GANGA ZUMBA, anadai kuwa hiyo Clip imekopiwa kutoka humu 👇👇👇



Swali ni kwamba aangalie clip zote mbili, kisha anijuze ni sekunde ya ngapi hadi ya ngapi zimekopiana.

Yeye (aliyeleta madai) kashindwa🤣😂😆😄😀

Wewe kama waweza msaidie uokoe jahazi🙏🙏🙏

Mkuu T14 Armata samahani, kama waweza kumsaidia GANGA ZUMBA hapo juu👆👆 naomba fanya hivyo
 
Back
Top Bottom