Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
ladba mykolaiv ya kigamboniHivi mnajua Ukraine wamekomboa Mykolaiv...
Hivi vita Bado tunayo
ladba mykolaiv ya kigamboniHivi mnajua Ukraine wamekomboa Mykolaiv...
Hivi vita Bado tunayo
😀😀 unataka watu wapovuke hapa,hizo habari hawataki kabisa kuzisikiaHivi mnajua Ukraine wamekomboa Mykolaiv...
Hivi vita Bado tunayo
Sijui walilenga nini mi naona mall imepigwa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Mkuu unazungumzia vipi tukio la kuangamiza MALL mjini KYIV? kwa utafiti wako Urusi amekosea au amehit target??
Hiyo kwenye vita zinaitwa counter offensiveUKITEKWA LINI?? si mmesema hapa URUSI anapigwa sasa anatekaja hiyo MIJI.?
Ndio maana wazungu hawataki kuwapa Ukraine offensive weapons😀😀 unataka watu wapovuke hapa,hizo habari hawataki kabisa kuzisikia
Ndio. Kabla ya vita kuanza, alishikiwa ubongo na USA na NATOKuna sehemu Ukrain aligoma mazungumzo?
Unayumba sana... Dishi lako haliko sawaUle msafara mrefu wa km 40 umefika wapi zile mbaula za Russia Boss
Alafu Russia akibutua wanalalamika eti anautua makazi ya watu. Wanatufanya hatuna akili. PUMBAVU
Hiyo hapo MALL angalia vizuriSijui walilenga nini mi naona mall imepigwa
Ambacho nashangaaa ni kwamba ...jamaaaa wanapost Kila siku wameteka hicho, wameua wale , wamefanya hiki wamefanya lile ila wao ndio wanaolia Kila siku , mjomba Putin yeye anapiga kimyakimya anakugonga ukichoka sana anakupa muda wa kunywa maji masaaa 10 toa raia na unywe maji ... Halafu anaanza tena mbungi. Kimyakimya hiii mpaka mwizi ataanza kujiita mi mwiziiiiii mi mwiziiiiii jamaniiii ataniua huyu mshikeniiiiiThe head of the Arab League at the time of the invasion, Amr Moussa on Assessment of 2003 Invasion.
On March 20, 2003, the US-led coalition invaded Iraq under the pretext of Saddam Hussein's links to terrorism and the Iraqi possession of the WMDs, the claim that was never proven.
"Mnamo Machi 20, 2003, the US-led coalition walivamia Iraq kwa kisingizio cha uhusiano wa Saddam Hussein na ugaidi na umiliki wa Iraq wa WMDs, madai ambayo hayakuthibitishwa kamwe."
During the first five years of the Iraq War, an estimated 151,000 to 1,033,000 Iraqis died.
"Wakati wa miaka mitano ya kwanza ya Vita vya Iraq, wastani wa Wairaqi 151,000 hadi 1,033,000 walikufa."
[emoji1131]Today, Iraqi leadership is strong and the country has every chance to restore its stability and security, but for this Baghdad needs the help of Arab countries and friendly states such as Russia, according to Moussa.
"[emoji1131]Leo uongozi wa Iraq uko imara na nchi hiyo ina kila nafasi ya kurejesha uthabiti na usalama wake, lakini kwa hili Baghdad inahitaji msaada wa nchi za Kiarabu na mataifa rafiki kama Russia, kwa mujibu wa Moussa."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mara paap Gulf region yote inaenda upande wa Eastern Bloc... Europe pale wanabaki wakiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mdogo mdogo wanaanza kumtenga Kiranja wao....
Ndio nimeona ila hatuwezi sema hawakulenga kuipiga. As long as kuna target imepigwa hatuwezi sema wamekosea huenda ni kweli wameilenga yenyeweHiyo hapo MALL angalia vizuriView attachment 2159546
Mwaya shosti angu, chukua hii hapa itakufaa zaidi👇👇👇
Ndegevita mbili za Russia zikiangamiza ngome ya kijeshi ya Ukraine ktk shambulio ambalo ndege hizo zilipita kweye kimo kifupi kabisa toka ardhini Ukraine pasi na kupata upinzani wowote
View attachment 2159384
Nawe ni Mmoja wao ..... Kwenye Kila jamiiii lazima Kuna chizi Mmoja, kwenye Kila jamiiii laziiiimaaaa Kuna mwizi Mmoja , nawe ni Mmoja wao ...wimbo wa Bamboo ft Jay-Mo na Black Rhyno - Kwenye Kila jamiiii ... Ukufikie popote ulipoTanzania Ina Wapuuzi Mamilioni
Vipi na mbolea atatoa qatar?Germany kiuchumi, kiteknolojia yupo vizuri sana now anafunga deal za enerygy mapemaaa na huku akiendelea na tafiti za kuachana na nishati za mafuta wakati huo urusi anahangaika kuuza gesi yake kwa bei ya punguzo na anaishia kumpata mteja ambaye ni india dah kweli dunia ya sasa tumia akili sio nguvu
Battle kati ya makomandoo wa jeshi la Russia wakipambana na kuwafata mafichoni snipers wa jeshi la Ukraine
View attachment 2159403
😆😅🤣😂nampa makonde ya mfululizo usoni kama Putin anavyomchapa Zelensky za usoni kwa mfululizo hadi anapoteza networkJamaa wnajipigia tu