NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Siunajua Ukrain ni nimtoto so taratibuNdo muda wote huu jamani?
Mabomu ya kuangamiza 'thermobaric bombs' au 'vacuum bomb' ya Russia yameishambulia MauripolNilijua huna jibu,haya pumzika sasa
Hii hawawezi kuisemaThe Russian military delivered more than 75 tons of humanitarian aid to the residents of Kherson.
Those in need were given food packages, including cereals, pasta, sugar, canned food, potatoes and fruits.
The Ministry of Defense added that they had created a coordinating headquarters for humanitarian response. Its main tasks are: humanitarian aid to the population, evacuation of civilians in Ukraine and foreign citizens.
Video of the Russian Ministry of Defense.
Galip SV Liwagu View attachment 2157444
BBC hakuna kitu kabisa
Sasa kama vitabu vya magharibi vina danganya hicho Cha Urussi ndiyo kina Ukwel?Nimekwambia read between the lines acha kukariri jambo lingine unalotakiwa kujua kama unataka the real history of the world changanya maarifa na wachambuzi mbalimbali mwisho unachanganya na zako sasa kama ulisoma vitabu vya NATO pekee vilivyoandikwa USAID, UKAID etc nikuhakikishie umepotea lakini hakika nakwambia kama utaamua kuwa huru na kufanya upekuzi wa kina na wa kitafiti ( siyo kujibia mitihani wala kufundishia darasani) utafaidi sana kufahamu yanayojiri hata kupredict the aftermath of it.
Mariupol si mji wa Wakatoliki. Sijui kama kati ya wakazi 400,000 Wakatoliki wanazidi 10,000? . Mji ulianzishwa kwa Wagiriki kutoka Krimea, walioleta pia jina la Mario-polis, makanisa mengi ni ya orthodoksiMariupol ,Ukraine ni mji mtakatifu wa wakatoliki Russia kawachokoza wakatoliki
Huo mji ni wa Mama Bikira Maria na ndie Mlinzi wa huo mji.
Putin Dini yake Orthodox anaua wakatoliki wa Mariupol watoto wa Mama Bikira Maria
Kuna sehemu Ukrain aligoma mazungumzo?Hizo nchi za ulaya na NATO ndizo zinazosababisha maumivu makubwa kwa Ukraine. Wanajua Ukraine hawezi shinda hii vita kwanini wanachochea kuni. Wangewashauli tu wa Ukraine waingie kwenye negotiations ili vita iishe mapema na kupunguza maumivu
Usituchukulie poa....Tanzania pia nayo inajeshi🙄
Kumbe ile Mall iliyofumuliwa jana, ilikuwa inatumika kujifadhia magari ya jeshi la UKRAINE. Jamaa wa Intelejensia wa Urusi wako makini mno. Unaweza kuona kama wanatania ila hawalengi sehemu ambayo hakuna vifaa vya jeshi.View attachment 2159184