Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,775
- 7,497
Kwa iyo Mimi ni mukraineVipi kuhusu vita ya syria ambayo imedumu zaidi miaka 10?
Vipi kuhusu vita ya Iran na Iraq iliyo dumu miaka 8?
Vipi kuhusu vita ya Talban na Marekani iliyo dumu miaka 20?
Leo hii hata mwezi haujaisha mshaanza kutia huruma?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Hahaha hahaha haya Mrusi wa Keko
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app