Mwazoni wa tarehe 24/2/2020 operation ya Urusi ulivyo anza raia wa Ukuraini wa liombwa kupewa human corridor wa ondokane na hatari wapate hifadhi sehemu salama. wengi wa lipuuza kama kawaida ya wazungu, wengine hawakuamini kama vita inaweza kutokea na maafa kwenye bara la ulaya, reporters wa BBC na CNN wengi walikua wanalizia report zao kwa kusema:
" this is a civilised Europe not Africa".... walijua vita ni kwa ajili ya Africa na Arabs, wengi walio kua wana ondaka walikua wana ona mzaha, with their white arrogancy wakiwa wanabeba kibegi kdog mbwa 'petty dog' na midoli kwa ajili ya watoto wao walikua wana sikika wengi with white arrogancy "Ukraine is a sovereign country Russian shdnt dictate to us whom to join" we shall stay back to defend out territories we ur ready to die for democracy.
Vita isikie tu kwa jilani isikufikie, ndani ya wiki Tatu wa Ukraine hawabebi tena mbwa zao na midoli wengi wemeonekana wemebaba vyakula magodoro na nguo za kuva, wakina mama na watoto wanalia kabisa njaa majeruhi, wame shuhudia mji wa Mariupo wenye wakazi 2m kubaki na watu 350k, na ni kama kifusi au magofu
kwasasa wengi wanaomba kuondoka kwa hiari popote hata kama kuenda Russia, wale ma nationalist wana wakataza wasiondoke watu wana ogopa kufa.
Wale walio jidai nationalists wa Ukraine wame anza kujificha hawasemi tena Ukurain is a sovereign nation. Zelesky Raisi wa Ukraine anaomba kuongea na Putin anaomba kama kuna mtu yoyote wa kumuunganisha na Putin asichelewe hata kwa lisaa kasha sema wazi, kwamba in "future Ukraine may not join Nato"
Sasa kwanini kachelewa kufanya maamuzi kama hayo ange nusuru raho za watu wengi.