The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Maskini supapawa wa mchongo Russia 👇
Hypersonic supersonic gademu bomb HSGBWapiganaji wa kigeni waendelea kuandamwa....
Russia imetumia makombora ya kruizi yenye shabaha kali kukitwanga na kukiangamiza kituo cha kijeshi cha kufundishia wapiganaji wa kigeni kilichopo mkoa wa Rivne.
View attachment 2159074
Germany kiuchumi, kiteknolojia yupo vizuri sana now anafunga deal za enerygy mapemaaa na huku akiendelea na tafiti za kuachana na nishati za mafuta wakati huo urusi anahangaika kuuza gesi yake kwa bei ya punguzo na anaishia kumpata mteja ambaye ni india dah kweli dunia ya sasa tumia akili sio nguvu
Acha upotoshaji ni sehemu ipi ya urusi imeshambuliwa?Kwenye vita hii Urusi ilishawahi kushambuliwa ..kama utabisha nitakuletea links zaidi ya moja !
warusi wa kwa mpalange hapo itakuwa wamekunwa mpakaaaaaaaa kunako na watakwambia hiyo ni kweli kabisaaa wala siyo propagandaBBC kwa propaganda hawajambo, huu ni uongo. Au mnasemaje warusi wa kwa mpalange?![emoji38][emoji38]View attachment 2159171
WA Ukraine chukua hao zidisha mara 3
Aaah kumbe UKRAINE wakali bhana, acha vita iendelee tuone mwisho
Unaweza kujitoa ufahamu lkn ukweli UKRAINE hali ni mbaya sana.warusi wa kwa mpalange hapo itakuwa wamekunwa mpakaaaaaaaa kunako na watakwambia hiyo ni kweli kabisaaa wala siyo propaganda
Nataka niulize pro putin wote hapa ndani, Russia imesaidia na nini Tanzania wakati huu ukiacha mambo ya kawaida kama scholarships.
Bila shaka a free world will triumph over authoritarianism.SLAVA UKRAINE✊