#hashtag Mr putin Kenya they need your servicesUkiona mtu ameshindwa kukuheshimu hakikisha anakuogopa
Putin fanya surprise kidogo na hapa Kenya maana tunakuchukulia poa kwelkweli
#hashtag Mr putin Kenya they need your services
Mwezi unaona Mdogo.? Unaijua vita vizuri wewe apo. Wengineo wanakufa na njaaa, sio mchezo mkuuuMkuu uko siriasi kweli ?
Vita haina hata mwezi unasema ina muda mrefu?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Subiri matusi tokea kwa warusi wa mchambawima, kwa mpalange, matombo siku ya 26 leo urusi inambwelambwela tu kuishika ukraine mazima na nchi ipo mdomoni kwake pamoja na hypesonic zao, mamluki wa syria, checchen mpaka leo imekuwa kipengele halafu eti ndo urusi akipigana na NATO ashinde labda NATO ya buza kwa mama kibonge, Putin anahangaika kuuza mafuta huko ashamuuzia india kwa bei chee mana anahitaji pesa na hana namna. Huku Qatar ashapiga deal la oil na germany aisee russia nguvu nyiiiiingi akili za maisha sifuri no wonder angalia product za waliosoma urusi wengi wao hawana maisha mazuri na cheki waliosoma western wengi wao wako na good life na nchi ilipata industrialist wa maana waliosoma western kama Dr Mengi, Ali Mufuruki, sasa angalia product za rusia mia tisa itapendeza akina Dr Shika RIP au akina Dr. Kidwanga lecture wa UD-DS mtu yupo frustated wakati wote. Check Mo ni product ya georgetown university, check marketing mogul kama Twissa au Entertainment mogul kama Ruge RIP ni product za states watu wanawaza maisha sasa sa hii babu putin anahangaika kutafuta wateja wa mafuta na gesi kwa bei yenye punguzo 🤣😂😅Separatist leader says it will take more than a week to capture Mariupol: Report
A Moscow-backed separatist leader in eastern Ukraine has said it will take more than a week to take control of Mariupol, according to a report by Russian news agency Interfax.
“I am not so optimistic that two or three days or even a week will close the issue. Unfortunately, no, the city is big,” Interfax quoted Denis Pushilin, the head of the self-proclaimed Donetsk People’s Republic (DPR), as saying.
🤣🤣🤣🤣
Alafu Kuna mtu anakaa kwa mpalange anasema Russia hawafi...
Yaani huu mji Nguvu ambayo Russia, Waasi, Chechens na Mamluki wa kukodi waliyoweka ni kubwa mno, na Bado hawaoni ushindi mapema
Anashangaa kwa kuwa Putin alisema hii ni operation itachukua Masaa 72 kuishaMkuu uko siriasi kweli ?
Vita haina hata mwezi unasema ina muda mrefu?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Russia wanachoweza ni kuua innocent people tuuAaah kumbe UKRAINE wakali bhana, acha vita iendelee tuone mwisho
Aaah basi sawa, wanajeshi wa UKRAINE hawauawi, ok tuendelee kuchambua huu mzozo mkuu.
Hapo hapakuwa shopping centre tu, jeshi la Ukraine walitumia kuhifadhi silaha na magari kibao ya kivita hapo.
Hii sio war analysis, haya ni maoni ya serikali za WazayuniNafikiri kila mmoja wetu anatambua kuwa malengo na dhamira ya Mrusi ilikuwa vita iwe ni ya muda mfupi zaidi iwezekanavyo na pia kutoa fundisho kwa Zelensky na dunia nzima hasa NATO lakini imekuwa ni kinyume kutokana na yafuatayo:
Habari za kiintelejensia zinasema Mrusi alideploy yapata askari wapatao 190,000-200,000 ambao bado idadi ilikuwa ni ndogo dhidi ya askari wa hasimu wake
- Sasa anapambana na waukraine ambao wako extremely motivated kuilinda nchi yao.
- Morale ya wanajeshi wengi wa Urusi iko chini na hawataki kuendelea kuwa pale,
- Wa Ukrain walipata misaada mingi ya anti tank weapons kutoka nchi za NATO ambayo imekuwa proved kuwa effective.
- Warusi hawana full control ya airspace hadi sasa.
- Wanajeshi wa Urusi hawana supply nzuri na ya kutosha ya vitu kama mafuta, chakula na vilipuzi (ammunitions)
- Intelejensia ya Ukrain iko vizuri kwa sababu ilipokea supply of intel kutoka FSB
- Mauaji ya high ranking generals upande wa Urusi yamedidimiza morale kwa wanajeshi wake.
- Halafu pia wanajeshi wengi wa Urusi wanajua kuwa dunia yote iko against nao kwa vitendo wanavyofanya.View attachment 2159006
- Pamoja na jeshi kubwa la anga walilotumia inaonekana kuna kiwazo kikubwa kutoka kwa wingi wa wanajeshi wa ukrain ambao wana silaha za short range SAMs
- Pia inasemekana kuwa ile level ya inter-service intergration ya wanajeshi wa Urusi iko low kutokana na kwamba Mapilot wa ndege za Urusi wanafanya kushare battle space na wanajeshi walioko chini ikiwa na maana kwamba hakuna collabo na hii imepelekea kuwepo kwa blue on blue incidents imagine conscripts wanaangusha ndege zao wenyewe
- Russians pilots hawana sana ile confidence kuwa katika anga kuna usalama hasa kutokana na uwepo wa zile western stealth fighters hivyo wanachukuwa tahadhari sana na wanashindwa kutambua ndege mfano (mig-29) zinazoangushwa je ni stinger au MANPADS imetumika au ni kitu kingine kwa maana rada haijaonyesha.sasa unaweza kufikiria confidence waliyonayo, Hivyo basi kutokana na kutolimiliki anga ndege zao ziko vulnerable na kwa ufupi ni kwamba hawa western walikuwa so busy kugawa hizi handheld stingers systems ambazo zimekuwa effective kwa low level flying fighters na helcopters
- Pamoja na haya yote Mrusi hadi sasa ameweza kupiga zaidi ya hospitali 60 na technic anayotumia ni kupiga tokea kwao na ametambua waUkrain kwa sasa wanatumia uraiani kama ngome kitu ambacho Mrusi alikuwa anajitahidi kuavoid.na M-ukrain raia wachache wakiuwawa basi kwa propaganda atazidisha au atamultiply ili idadi ionekane kuubwa na dunia izidi kumuonea huruma.
- Kwa sasa magari mengi yamekwama kwa kukosa mafuta na mji wa Mariupol umebananishwa yaani kuelekea mji huu ndio kuna mapigano makubwa na kiasi upande wa kaskazini, Msukumo kuelekea Kharkiv wanajeshi wa Urusi wamerudishwa nyuma.
- Mfumo wa Encrypted communication haupo tena ambao ulitegemea 3g/4g na warusi waliuharibu baada ya kuanza uvamizi.
- Hali za off road kwa sasa ni mbaya kutokana na uwepo wa matope ya kutosha. na imepelekea mataili cheap kutoka china yashindwe kufanya kazi magari mengi yamekuwa stall
- Pia tambueni kuwa Mmarekani yuko pia vitani undergroundly kwa kusupply real time intelligence satellite data kwa M-ukraine
Mzalishaji wa silaha mkubwa Duniani anaishiwa silaha na anaomba kwa anaowauzia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaan Bongo michosho kweliSio kweli hapo mwishoni tayari wanajeshi wa urusi wameshakufa zaidi ya 7000 na urusi kaishiwa baadhi ya silaha ameomba auziwe zingine na china, na pia FBI wametanga kuwa putin vita imeshakuwa ngumu kwake ila anaendelea kukomaa kuondoa aibu kwa mataifa makubwa yasione ameshindwa vita,
Kufuatana na taarifa zote Waukraine wanaua sana. Wanajeshi Warusi lakini. Sioni taarifa kuhusu raia wa Urusi.Aaah basi sawa, wanajeshi wa UKRAINE hawauawi, ok tuendelee kuchambua huu mzozo mkuu.