Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ila we jamaa kichwa chako kimejaa umagharibi na unafiki.
Vita ya Iraq na Marekani ilichukuwa miezi miwili lakini zaidi ya watu kalibia 100, 000 walikuwa wameshauawa wengi wakiwa ni raia ,leo hii vita inaelekea kumaliza mwezi lakini bado idadi ya raia walio uawa haizidi 2,000.
Alafu kulaumu upande mmoja kwa mauaji ya raia ni ukosefu wa akili ,vifo vya raia huwa vinatokea panapo tokea majibizano ya lisasi na mizinga kati ya pande mbili sasa huwezi jua ni lisasi kutoka upande gani iliyo uwa.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Iraki idadi kubwa ya watu raia iliuawa na Daesh na wanamigambo iraki. Si mabomu mfululizo ya Marekani kwa nyumba za wakazi. Onyesha takwimu yako.
 
Morale lazima ipo chini- amri jeshi mkuu anatafutiwa hifadhi nchi rafiki-majenerali wameaasi na wamekubali kuondaa majeshi Ukraini.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] majenerali wameasi au sio??
Haya tumalize vita, tusiendelee na mjadala UKRAINE wameshinda, tusogee maeneo tukapate bia baridi.
 
Morale lazima ipo chini- amri jeshi mkuu anatafutiwa hifadhi nchi rafiki-majenerali wameaasi na wamekubali kuondaa majeshi Ukraini.
Bila hata russia, Luhansk na Donetsk wangepigana........
Mwaka 2014 walikaribia kabisa kuchukua Mauripol, Russia ndio aliowazuia.
Baadhi ya mageneral wakati ule ( wa Donbass) walichukizwa na hilo suala, asa huwezi kusema kuwa hawa watu wana morali ya chini.
 
Imegundulika kuwa kumbe UKRAINE wanatumia makazi ya Raia kuhifadhi dhana zao za kivita, kama magari, vifaru, bunduki nk. Hii inafanya URUSI ionekane wanashambulia makazi ya watu, ila kumbe kabla ya kushambulia Urusi huwa inatuma watu wake kuweka alama muhimu kwenye maeneo yote yaliyohifadhiwa silaha.
😅😂 punguzeni kutudanganya ,tuoneeni huruma japo kidogo
 
Mi huwa nacheka nikiona mtu yuko MAKONGO JUU, anachambua vita na hata GOBOLE hajui kufunga na kulifungua.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1] we jamaa umeandika mashudu
Wewe unayereport ulishawahi kupigana vita ipi? Yani wakichangia wengine unawacrash kwa lugha ya madharau wakati huo huo unatullisha kabobo zako utadhani uko Live Kyiv.Sote tulioko kwa huu uzi hakuna aliyeko Ukraine,so hakuna aliye mkweli zaidi kuliko mwingine.
 
Hii ni "Western Media propaganda" haiwezekani Reuters wakareport kitu cha ukweli,ingetokea RT ningeamini 🙂
Mwaya shosti angu, chukua hii hapa itakufaa zaidi👇👇👇

Ndegevita mbili za Russia zikiangamiza ngome ya kijeshi ya Ukraine ktk shambulio ambalo ndege hizo zilipita kweye kimo kifupi kabisa toka ardhini Ukraine pasi na kupata upinzani wowote



SmartSelect_20220321-154355_YouTube.jpg
 
Hii "operation" imewafrustrate vibaya sana Warussi wa JF.Putin unawamaliza watu huku kwa stress,maliza hii operation haraka watu wapate ahueni😀
Sasa hivi wanauluza ni lini NATO na USA walimaliza vita kwa siku 3? Wameshasahau kuwa hii ilikuwa ni operation tu.
 
Back
Top Bottom