CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,867
- 16,016
Mi huwa nacheka nikiona mtu yuko MAKONGO JUU, anachambua vita na hata GOBOLE hajui kufunga na kulifungua.Nafikiri kila mmoja wetu anatambua kuwa malengo na dhamira ya Mrusi ilikuwa vita iwe ni ya muda mfupi zaidi iwezekanavyo na pia kutoa fundisho kwa Zelensky na dunia nzima hasa NATO lakini imekuwa ni kinyume kutokana na yafuatayo:
Habari za kiintelejensia zinasema Mrusi alideploy yapata askari wapatao 190,000-200,000 ambao bado idadi ilikuwa ni ndogo dhidi ya askari wa hasimu wake
- Sasa anapambana na waukraine ambao wako extremely motivated kuilinda nchi yao.
- Morale ya wanajeshi wengi wa Urusi iko chini na hawataki kuendelea kuwa pale,
- Wa Ukrain walipata misaada mingi ya anti tank weapons kutoka nchi za NATO ambayo imekuwa proved kuwa effective.
- Warusi hawana full control ya airspace hadi sasa.
- Wanajeshi wa Urusi hawana supply nzuri na ya kutosha ya vitu kama mafuta, chakula na vilipuzi (ammunitions)
- Intelejensia ya Ukrain iko vizuri kwa sababu ilipokea supply of intel kutoka FSB
- Mauaji ya high ranking generals upande wa Urusi yamedidimiza morale kwa wanajeshi wake.
- Halafu pia wanajeshi wengi wa Urusi wanajua kuwa dunia yote iko against nao kwa vitendo wanavyofanya.View attachment 2159006
- Pamoja na jeshi kubwa la anga walilotumia inaonekana kuna kiwazo kikubwa kutoka kwa wingi wa wanajeshi wa ukrain ambao wana silaha za short range SAMs
- Pia inasemekana kuwa ile level ya inter-service intergration ya wanajeshi wa Urusi iko low kutokana na kwamba Mapilot wa ndege za Urusi wanafanya kushare battle space na wanajeshi walioko chini ikiwa na maana kwamba hakuna collabo na hii imepelekea kuwepo kwa blue on blue incidents imagine conscripts wanaangusha ndege zao wenyewe
- Russians pilots hawana sana ile confidence kuwa katika anga kuna usalama hasa kutokana na uwepo wa zile western stealth fighters hivyo wanachukuwa tahadhari sana na wanashindwa kutambua ndege mfano (mig-29) zinazoangushwa je ni stinger au MANPADS imetumika au ni kitu kingine kwa maana rada haijaonyesha.sasa unaweza kufikiria confidence waliyonayo, Hivyo basi kutokana na kutolimiliki anga ndege zao ziko vulnerable na kwa ufupi ni kwamba hawa western walikuwa so busy kugawa hizi handheld stingers systems ambazo zimekuwa effective kwa low level flying fighters na helcopters
- Pamoja na haya yote Mrusi hadi sasa ameweza kupiga zaidi ya hospitali 60 na technic anayotumia ni kupiga tokea kwao na ametambua waUkrain kwa sasa wanatumia uraiani kama ngome kitu ambacho Mrusi alikuwa anajitahidi kuavoid.na M-ukrain raia wachache wakiuwawa basi kwa propaganda atazidisha au atamultiply ili idadi ionekane kuubwa na dunia izidi kumuonea huruma.
- Kwa sasa magari mengi yamekwama kwa kukosa mafuta na mji wa Mariupol umebananishwa yaani kuelekea mji huu ndio kuna mapigano makubwa na kiasi upande wa kaskazini, Msukumo kuelekea Kharkiv wanajeshi wa Urusi wamerudishwa nyuma.
- Mfumo wa Encrypted communication haupo tena ambao ulitegemea 3g/4g na warusi waliuharibu baada ya kuanza uvamizi.
- Hali za off road kwa sasa ni mbaya kutokana na uwepo wa matope ya kutosha. na imepelekea mataili cheap kutoka china yashindwe kufanya kazi magari mengi yamekuwa stall
- Pia tambueni kuwa Mmarekani yuko pia vitani undergroundly kwa kusupply real time intelligence satellite data kwa M-ukraine
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1] we jamaa umeandika mashudu