Awee sio kwa hizi media ambazo zinageuka geuka kila kukicha...Dah! Video zinatisha Sana.
Hizi kitu mbona BBC,cnn, aljazeera wanashindwa kureport wakati zinafanyika public kabisa[emoji848]
Nifafanulie walau kwa uchache plsRT yashikwa Ugoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cormorants in their repertoire - a piece with "target defeat" was cut from an ancient video from "Stars".
Story za konyagiThe head of the Arab League at the time of the invasion, Amr Moussa on Assessment of 2003 Invasion.
On March 20, 2003, the US-led coalition invaded Iraq under the pretext of Saddam Hussein's links to terrorism and the Iraqi possession of the WMDs, the claim that was never proven.
"Mnamo Machi 20, 2003, the US-led coalition walivamia Iraq kwa kisingizio cha uhusiano wa Saddam Hussein na ugaidi na umiliki wa Iraq wa WMDs, madai ambayo hayakuthibitishwa kamwe."
During the first five years of the Iraq War, an estimated 151,000 to 1,033,000 Iraqis died.
"Wakati wa miaka mitano ya kwanza ya Vita vya Iraq, wastani wa Wairaqi 151,000 hadi 1,033,000 walikufa."
[emoji1131]Today, Iraqi leadership is strong and the country has every chance to restore its stability and security, but for this Baghdad needs the help of Arab countries and friendly states such as Russia, according to Moussa.
"[emoji1131]Leo uongozi wa Iraq uko imara na nchi hiyo ina kila nafasi ya kurejesha uthabiti na usalama wake, lakini kwa hili Baghdad inahitaji msaada wa nchi za Kiarabu na mataifa rafiki kama Russia, kwa mujibu wa Moussa."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mara paap Gulf region yote inaenda upande wa Eastern Bloc... Europe pale wanabaki wakiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mdogo mdogo wanaanza kumtenga Kiranja wao....
Bila shaka na wewe unaamini hadithi za Putin, jinsi unavyoamini hakuna binadamu aliyetua mwezini! Hongera 🤣Ndo mliaminishwa hivo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pro putin akili zao kama nyumbu, jamaa wanasema Neil Armstrong hakutua mwezini eti ni uongo😀😀Bila shaka na wewe unaamini hadirhi za Putin, jinsi unavyoamini hakuna binadamu aliyetua mwezini! Hongera 🤣
Kwa bahati mbaya siwezi kuamini....
Utaamini mambo yakifikia kwenye ww3Kwa bahati mbaya siwezi kuamini....
Putin mwenyewe na minister wa foreign affairs hajakanusha madai wewe mrussi wa gongo la mboto unajua nini.Kwa bahati mbaya siwezi kuamini....
Subiri warussi wa dongobeshi waje wakuvamie kama nzige,wamepagawa kama babu yao PutinPutin kaomba msaada wa silaha kutoka India.
Najua nachoongea mkuu sababu nimesoma astronomy kwenye chuo kikubwa tu. Amini nakwambia hamna mwanadamu ambaye kashawah tembea kwenye mwezi tunategemea mwanadamu wa kwanza labda mwaka 2027 ila sio sasa usiwekwenye gereza la fikraNarudia: Mpendwa ni dhahiri hujui kitu kuhusu usafiri wa anga.
evidence (mbali na picha na video) ni mawe 2200 hivi kutoka Mwezini. Jumla kilogramu 382. Zimesabazwa kwa vyuo vikuu duniani na kuchunguliwa.
Ilhali Warusi na Wachina walirudisha pia mawe kadhaa kutoka Mwezi, yaliweza kulinganishwa na kuthibitishwa.
Kaka unaamini hadithi hizo zinazofuata nadharia za njama ??? Basi utakuwa tayari pia kuamini hadithi za Putin.