Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
Sana sana imetuzalishia walevi wa kupindukia wa Vodka.Nataka niulize pro putin wote hapa ndani, Russia imesaidia na nini Tanzania wakati huu ukiacha mambo ya kawaida kama scholarships.
Sana sana imetuzalishia walevi wa kupindukia wa Vodka.Nataka niulize pro putin wote hapa ndani, Russia imesaidia na nini Tanzania wakati huu ukiacha mambo ya kawaida kama scholarships.
super power wa buza au? ana muda gani tangu avamie ukraine mbona hatangazi ushindi tu,
wanajeshi wake wengi wanatekwa na kuuwawa na wanajeshi wa ukraine
vifaru, na zana nyingne za mashambulizi vimeaharibiwa sana
😂😂😂
story za kwenye kahawa hizi vijiwe vya kwa mtogoreHuyu rais atawapoteza wanajeshi wake wote +raia wanaotumiwa kama ngao kwa ujinga wake....unashindana na super power! Marekani wenyewe + Nato wanamuogopa huyu mtu, na hao hao ndio wanampa kiburi. Ajisalimishe, na akabidhi nchi kwa warusi, otherwise watamuuwa soon
Lakini hakuna mtu aliyekuuliza hapa umesomea nini? Ni wewe mwenyewe ndiyo umetuambia Mkuu,kwa hiyo endelea ulipoishia,chuo gani umesomea Ndugu mtaalamu🙂Sio lazima nikwambie mkuu hizo ni taarufa binafsi
Wanaokufa na kutekwa ni wa Russia tu wale askari wa Ukraine hawafi Wala kutekwa..😂😂super power wa buza au? ana muda gani tangu avamie ukraine mbona hatangazi ushindi tu,
wanajeshi wake wengi wanatekwa na kuuwawa na wanajeshi wa ukraine
vifaru, na zana nyingne za mashambulizi vimeaharibiwa sana
😂😂😂
Source RT,basi sawa GANGA ZUMBA 🙂The Ministry of Defense showed Ukrainian military equipment captured in the Kiev region by Russian paratroopers.
The military of the National Battalions and the Armed Forces of Ukraine, retreating, abandoned tanks, armored personnel carriers, a lot of small arms, anti-tank weapons and ammunition in good condition. All this will be handed over to the servicemen of the People's Militia of the DPR and LPR
Galip SV Liwagu
View attachment 2159005
Tumefanyaje tena mpaka usirudi nyumbani? Kwani uko wapi ndugu mtaalamu au unaishi sayari ya Mars🙂Watu kama nyinyi ndio sababu Watanzania wengi hawataki kurudi nyumbani
Si lazima, maana sidhani yeyote anakuamini kutokana na yale uliyosema. Nchini Tanzania hakuna chuo kinachofundisha astronomia. Najua wanafizikia wachache wanaogusa astronomia katika kozi zao, lakini huwezi kuhitimu astronomia popote Tanzania.Sio lazima nikwambie mkuu hizo ni taarufa binafsi
Akiendelea kukubishia hapa nitamshangaa sana,kwanza umetumia lugha ya staha sana kumsitiriSi lazima, maana sidhani yeyote anakuamini kutokana na yale uliyosema. Nchini Tanzania hakuna chuo kinachofundisha astronomia. Najua wanafizikia wachache wanaogusa astronomia katika kozi zao, lakini huwezi kuhitimu astronomia popote Tanzania.
s
story za kwenye kahawa hizi vijiwe vya kwa mtogore
JF humu ni mbwembwe na janjajanja tu . Kuna mmoja naye humu alikosoa chanjo za sinovac na estrazeneca. Nikasema Tz tumejaliwa wataalam hawapewi nafasi WANGESHATENGENEZA CHANJO ZETUWasomi wa Tanzania mna mbwembwe,si mlete huu ujuzi wenu muikwamue hii nchi katika dimbwi la umaskini,kwa ujuzi wako huu hapana shaka sasa hivi ungekuwa unaongoza kituo kikubwa cha utafiti wa anga kuliko kile cha NASA 🙂