Kumbe umechagua kuleta habari za Bwana Stone; ambaye amehukumiwa jela Marekani kama mwongo na mdanganyifu. Umemchagua mtaalamu mkuubwa!!
Alisahau kutaja
kuna biolabs zilizolipwa na Marekana hataTanzania! Na nchi sijui ngapi duniani??
Maana kusambaza biolabsa duniani ni njia mojawapo jinsi gani serikali ya Marekani iansaidia tasnia yake , makampuni yanayotengeneza biolabs na vifaa vyake. Hawaruhusiwi kuwapa pesa moja kwa moja, lakini wakitumia pesa kutoka mfuko wa "msaada" wanatoa biolabs kwa nchi zenye mahitaji ilhali ni lazima kununua kila kitu Marekani.
Soma hapa:
EXCLUSIVE: US envoy to UN speaks out on neutrality, sanctions and labs
EXCLUSIVE: US envoy to UN speaks out on neutrality, sanctions and biolabs
Dar es Salaam. US ambassador to the United Nations and former Assistant Secretary of State for African Affairs Linda Thomas-Greenfield has spoken out on the allegations that America has a host of bio-labs across the world including Tanzania.
In an exclusive virtual interview with The Citizen which comes just days after US undersecretary of state Victoria Nuland told the world that there were research facilities in Ukraine, Ms Thomas-Greenfield confirmed that there were such facilities across Africa but with a sole purpose of research and not otherwise.
“What we are supporting is research that will support countries including Tanzania...
Kwa hiyo unataka Putin atume mabomu pia Dar es Salaam kuokoa taifa??