Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🇷🇺🇯🇵 Russia is refusing to continue the negotiation process on peace treaty with Japan, that has been going on since the middle of the 20th century, over Tokyo’s sanctions against Moscow, the Russian Foreign Ministry says.

▪️The ministry is also blocking extension of Japan’s status as a sectoral dialogue partner in the Organization of the Black Sea Economic Cooperation.

▪️The Kremlin is withdrawing from the dialogue with Japan on establishing joint economic activities in the southern Kuril islands

▪️Russia is banning visa-free trips of Japanese citizens to the southern Kuril islands.
 
Duh hizi si ndo zile za Ujerumani,kumbe zimeishaingia Ukraine
Hizo ziliingia mapema zina wiki kadhaa kwenye matumizi.
Zinazosubiliwa ni Switchblade kamikaze drones kutoka Marekani ziongeze nguvu kwenye kuharibu soft targets. Wiki hii muda wowote utasikia zishafika
Switchblade300_01.jpg
 
Kama china mwamba kweli amsaidie mrusi sasa military support na adindishe misuli kwa western na ionekane waziwazi ka wachina hawajakula jeuri yao usicheze na vikwazo vya uchumi putin analialia huko. Ndiyo maana china alipoambiwa anasaidia russia faster kakana futi mia maana anajua huawei ilivyopigwa dafrau hana hamu na mabeberu na soko la bidhaa zake kwa maana ya watu wenye hela wapo western. Aisee mabeberu huwezi shnidana nayo ukayashinda 100% lazima yakupige tu
Unawasifia kabisa watesi wa dunia too sad
 
Ndiyo maana nimesema ww ni peupe pamoja na kujifanya mjuaji.
Hapa tunaongele vita kati ya Marekani na Iraq na sio vita kati Marekani na ISS.

Tunaongelea vita ya Iraq na Marekani mwaka 2022 ndani ya mwezi mmoja tu zaidi ya watu 70,000 waliokuwa wamesha uawa na mashambulizi ya ndege na makombora ya Marekani.

Hii ni kati ya vita inayo husisha mataifa mawili iliyo na vifo vichache sana.

Na haya yana changiwa na wanajeshi wa Ukraine kujificha kwenye majengo ya kiraia jambo ambalo limeirazimu Urusi kupigana jengo moja hadi jingine.


Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Nilikuuliza kuonyesha chanzo chako. Hujaonyesha.
 
Hajasema. Na mimi sijasema! Ni kweli si muhimu ni nchi gani ambko hakusoma astronomia. Maana somo hili hakusoma, hakika.
Sasa ulipata wapi akili ya kusema hakuna chuo Cha astronomy Tanzania !!? Au umerudi kuedit ..SI nimekuquote .. SI umesema "unawafahamu waliosoma fizikia na hakuna yeyote aliyemaliza astronomy Tanzania " au ulichokuwa unaandika kilikuwa hakuna ushirikiano na ubongo. ...
 
Subiri matusi tokea kwa warusi wa mchambawima, kwa mpalange, matombo siku ya 26 leo urusi inambwelambwela tu kuishika ukraine mazima na nchi ipo mdomoni kwake pamoja na hypesonic zao, mamluki wa syria, checchen mpaka leo imekuwa kipengele halafu eti ndo urusi akipigana na NATO ashinde labda NATO ya buza kwa mama kibonge, Putin anahangaika kuuza mafuta huko ashamuuzia india kwa bei chee mana anahitaji pesa na hana namna. Huku Qatar ashapiga deal la oil na germany aisee russia nguvu nyiiiiingi akili za maisha sifuri no wonder angalia product za waliosoma urusi wengi wao hawana maisha mazuri na cheki waliosoma western wengi wao wako na good life na nchi ilipata industrialist wa maana waliosoma western kama Dr Mengi, Ali Mufuruki, sasa angalia product za rusia mia tisa itapendeza akina Dr Shika RIP au akina Dr. Kidwanga lecture wa UD-DS mtu yupo frustated wakati wote. Check Mo ni product ya georgetown university, check marketing mogul kama Twissa au Entertainment mogul kama Ruge RIP ni product za states watu wanawaza maisha sasa sa hii babu putin anahangaika kutafuta wateja wa mafuta na gesi kwa bei yenye punguzo 🤣😂😅
Khaaaa jamani make kwanza ncheke umewaweza hawa Waruasi wa Matombo ahahhahahahahhaha..Ni haters tu wakiambiwa wakaende kuishi Western wa kwanzaa kupanga foleni😃😃😃🤣🤣🤣
 
Sasa ulipata wapi akili ya kusema hakuna chuo Cha astronomy Tanzania !!? Au umerudi kuedit ..SI nimekuquote .. SI umesema "unawafahamu waliosoma fizikia na hakuna yeyote aliyemaliza astronomy Tanzania " au ulichokuwa unaandika kilikuwa hakuna ushirikiano na ubongo. ...
??? Hakuna chuo Tanzania kinachofundisha astronomia kama somo. Ukikijua, niambie.
Menginevyo hujaninukuu. Niliandika "Nchini Tanzania hakuna chuo kinachofundisha astronomia. Najua wanafizikia wachache wanaogusa astronomia katika kozi zao, lakini huwezi kuhitimu astronomia popote Tanzania."
Ukiweka maneno kwa alama za ""..."" angalau fanya hii sahihi.
 
Urusi ni moja ya nchi zenye "Expansionist Ambitions", itakumbukwa kwamba mwaka 1939 waliivamia Finland kwa nia ya kuitwaa kama wanavyofanya sasa kwa Ukraine.

Lakini vilevile kinyume na matarajio ya wengi Finland iliibuka mshindi mwaka 1940 baada ya warusi kuzidiwa kwenye vita na hivyo Finland kufaulu kulinda utaifa wake japo kuna sehemu fulani ya ardhi yao walipoteza kwa warusi.

Hivyo kama njama ya Russia kuitwaa Ukraine itagonga mwamba basi hii haitakuwa mara ya kwanza kuzidiwa na taifa dogo.

Urusi tena baada ya vita vya pili vya dunia kumalizika ilichukua mataifa mengi tu (14) na kuzifanya zisalimishe utaifa wao kwa kuingizwa mkenge na kuunda USSR ambayo tena kwa njama za nchi za magharibi waliiua hiyo USSR kwenye mwaka 1990 na hayo mataifa 14 (Ukraine ikiwemo) kurejea na kuanzisha dola zao huru.

Hivyo inachokifanya Russia leo sio kitu kigeni kwa wanaofahamu historia ya hiyo nchi.
USA alichukua utaifa wa Nchi ngapi,unadhani utakiwa super power Duniani una kaeneo kama Nchi ya Tanzania.
 
Hizo ziliingia mapema zina wiki kadhaa kwenye matumizi.
Zinazosubiliwa ni Switchblade kamikaze drones kutoka Marekani ziongeze nguvu kwenye kuharibu soft targets. Wiki hii muda wowote utasikia zishafikaView attachment 2159666
Kama mambo yenyewe ndiyo haya basi na tuseme kuna mtu mzima anakwenda kudharirika zaidi na safari hii atakimbilia kwenye nuke code moja kwa moja Frustration Tsh
 
Sio kweli hapo mwishoni tayari wanajeshi wa urusi wameshakufa zaidi ya 7000 na urusi kaishiwa baadhi ya silaha ameomba auziwe zingine na china, na pia FBI wametanga kuwa putin vita imeshakuwa ngumu kwake ila anaendelea kukomaa kuondoa aibu kwa mataifa makubwa yasione ameshindwa vita,
Yaan kaishiwa siraha na ana manyuklia, kwann asiyatumie? Russia hajaomba msaada wa kijeshi wala silaha bali kwa nchi washirika km china, iran anajaribu kulinda mahusiano yao tu
 
kuna inchi inaitwa iran ni ya pili kwa vikwazo baada ya urusi wamewekewa vikawazo tangu 2018 mpaka leo but hawajawai ketetelekwa ndo wanazidi kuwa imara
Vikwazo Kwa Nchi inayozalisha mafuta na nishati ni kujisumbua.Vikwazo vina Fanya kazi Kwa Nchi ndogo kama Tanzania ambazo inategemea export ya mazao ya kilimo ambayo kila Nchi anaweza kuzalisha.
 
Back
Top Bottom