Russia ilikuwa ndogo sana kama Poland ya sasa kwa madirio... Baada ya kuvamiwa na Mongolia ndipo wanapata akili ya Kutafuta Natural boundaries kama mito na milima wakaanza expedition kueleka Mashariki Hadi wakafikia mwisho wa Dunia, hapo ndio waliponogewa...Urusi ni moja ya nchi zenye "Expansionist Ambitions", itakumbukwa kwamba mwaka 1939 waliivamia Finland kwa nia ya kuitwaa kama wanavyofanya sasa kwa Ukraine.
Lakini vilevile kinyume na matarajio ya wengi Finland iliibuka mshindi mwaka 1940 baada ya warusi kuzidiwa kwenye vita na hivyo Finland kufaulu kulinda utaifa wake japo kuna sehemu fulani ya ardhi yao walipoteza kwa warusi.
Hivyo kama njama ya Russia kuitwaa Ukraine itagonga mwamba basi hii haitakuwa mara ya kwanza kuzidiwa na taifa dogo.
Urusi tena baada ya vita vya pili vya dunia kumalizika ilichukua mataifa mengi tu (14) na kuzifanya zisalimishe utaifa wao kwa kuingizwa mkenge na kuunda USSR ambayo tena kwa njama za nchi za magharibi waliiua hiyo USSR kwenye mwaka 1990 na hayo mataifa 14 (Ukraine ikiwemo) kurejea na kuanzisha dola zao huru.
Hivyo inachokifanya Russia leo sio kitu kigeni kwa wanaofahamu historia ya hiyo nchi.
We ni mkenya Eti?Putin humiliated as hardman Chechen special forces go home after losing hundreds of men
Express UKMar 21, 2022 3:09 PM
HARDMAN military units of Chechen soldiers have suffered huge losses in a major blow to Vladimir Putin's war, the Ukrainian Security Service claims.
Russia's invasion of Ukraine is being assisted by the Chechnyan military as it enters its fourth week. President Ramzan Kadyrov - a long-time ally of Putin's - offered his support at the conflict's outset. But despite facing violent incursions from the two nations, Ukraine appears to have humiliated the invaders several times and are said to be shattering the myth of the hardman Chechen dictator famed for persecuting homosexuals.
Putin humiliated as hardman Chechen special forces go home after losing hundreds of men
Kaka bado hujajifunza kunukuu. Sikusema najua wafizikia kibao, wala wengi. Nilisema "wachache" kwa sababu nimesikia kipindi cha redio ambako mwanafizikia wa Dodoma alieleza hali ya astronomia Tanzania akataja majina matano nisipokosei ambao ni wanafizikia ambao kazi yao inagusanana na astronomia. Nimesikiliza na kujifunza. Lakini fani hii haifundishwi Tanzania.Ndio usingetaja Tanzania sasa .... Yeye alisema Amesomea Chuo kikubwa ... Ungeishia Hapo ... Kuanza na wewe kuleta mbwembwe oooh nawajua wanafizikia kibao ni kujimwambafy kama vile ulichokuwa hutaki afanye mwenzako ...Kwa hiyo wote mmekutana NI PIPA NA MFUNIKO mnatoshana .... Na ukamalizia kama tungekuwa na wataaalam wangetutoa duniani ... Nimekupostia huyo mama ulikuwa unamjua !!!?? SI unawajua wafizikia wengi.., acha kujimwambafy .... Piga porojo humu kale kande za choroko usiku ujambe asubuhi uendelee maisha mengine .... Uwe mrussi wa itigi uwe MyUkraine wa hombolo hatuna lolote la kuamua humu zaidi ya porojo na kuvuta siku
Hazisomi, sidhani kama anajua hata kiswahili. Humu ni analysis uchwara tu na ubishi wa wenyewe kwa wenyewe usio na msaada kwa Urusi au Ukrain. Kuhusu kuhimili, amehimili kwa siku zaidi ya 20 sasa, jambo ambalo linawaudhi warusi humu nadhani kuliko linavyomuudhi Puttin. Kuhusu kushindwa mnyonge anajulikana tangu day 1.Hivi kweli kuna watu mnafikiria Ukraine atahimili na kushinda hii operation? Nyie ndio mnaomdanganya Zelensky anapoona comments kama hizi
Weka hapa hiyo original clip ya mwaka 2014, unashindwa nini? Mbona mie huwa naleta uthibitisho wa wazi kama video au taarifa fulani ni fake? Ilete hiyo iliyokatwaiyo clip ina majibu yake humu ni ya mwaka 2014, RT Walishashikwa Ugoni 😂😂😂w
nimekutag vizuri fuatiliaWeka hapa hiyo original clip ya mwaka 2014, unashindwa nini? Mbona mie huwa naleta uthibitisho wa wazi kama video au taarifa fulani ni fake? Ilete hiyo iliyokatwa
Kamanda wenu mwingne chalii
The commander (xs, what level) of the GRU special forces Krenik Alexey Alexandrovich, born in 1988 from the Trans - Baikal Territory died tragically on 03/11/22 during the defense of the peaceful sky over Russia in Ukraine
Masyakin Mikhail Sergeevich courageously fulfilled his military duty, killing civilians. Finished
😁😁 Hivi Yesu ana wadogo zake kumbeMariupol ,Ukraine ni mji mtakatifu wa wakatoliki Russia kawachokoza wakatoliki
Huo mji ni wa Mama Bikira Maria na ndie Mlinzi wa huo mji.
Putin Dini yake Orthodox anaua wakatoliki wa Mariupol watoto wa Mama Bikira Maria