Aisee...Huku kwetu kuna matukio tunayasoma mengi sana yanayoihusu hii operation 😃View attachment 2159812
Huko mariupol#Mariupol , bearded men dig under the house
Kwani NATO ndio wamepigwa??....
Huko mariupol#Mariupol , something has arrived and yeah (the enemy is wandering below)
Ndo hivyo.Aisee...
mbona unaficha Id hapo nimfuatilie vizuri huyoHuko mariupol View attachment 2159818
Subiri hao wiki chache zijazo watapambana na njaa ya kufa mtu hadi hizo bunduki hawatakuwa hata na nguvu za kuzibeba, watakuwa wanaziangalia tu kama mavi ndipo watakamatwa kama vichuchu.We ni mkenya Eti?
Mnapoambiwa mjielimishe kabla ya kuzoa maandishi ya mabeberu huko muwe mnaelewa.
Kwanza Chenchen sio nchi( rekebisha hili).
Chenchens ni Echelon forces, Sio kwamba wapo front kiasi cha kuweza kupata losses kiasi hicho.
Hakuna mwanajeshi hata mmoja aliyerudi Nyumbani.
Ushahidi ni post ya mwisho ya Kadyrov mwenyewe usiku huu.
View attachment 2159764
Na haya ni maandishi juu ya hiyo post, translated from russian.
Chechen fighters are successfully advancing in the Mariupol direction. After capturing and clearing the large Azovstal plant, they proceeded directly to the assault on the city, freeing quarter after quarter.
⠀
The assault operation is led by my dear BROTHER, State Duma deputy Adam Delimkhanov, who is in constant contact with me. Thanks to the competent distribution of forces and means, our fighters not only successfully eliminate firing positions, but also provide reliable cover for their comrades from the military formations of Russia.
⠀
In the near future, we will completely liberate Mariupol from Ukrainian nationalists and Bandera, restore security and public order in the city. We will not stop until we call the last Bandera and nationalist to account!
#Mariupol , enemy tank, I don’t understand when it was filmed, like I’ve already seen something like this
Ni kwamba haujui Marekani ilichukua maeneo ya Mexico !!!? Au unajizima Data tu ???Kaka labda unyoshe historia yako kidogo? Marekani ilikuwa na kipindi cha kumaliza makundi yote ya Maindio wazalendo. Unamaanisha hii? Lakini je hizo zilikuwa nchi? Baadaye walikuwa na kipindi kifupi cha ukoloni juu ya Puerto Rico na Ufilipino. Ufilipino walikuwa wabaya kama wakoloni wengine baadaye waliondoka.
Lakini kuchukua utaifa wa nchi?? Nchi gani? Walipigania vita kadhaa wakilenga kukabidhi nchi baadaye kwa watawala wa kienyeji... (Afghanistan walishindwa ..)
Kinyume Urusi iliovamia nchi nyingi na kuzifanya makoloni yake, kuanzia Poland, Ukraine, Moldova, Armenia, Georgia, Azerbaijan, Kuakhstan na ..... hadi Tajikistan.
Baada ya mwisho wa ukomunisti ulioochukua urithi wa Urusi nchi zilipata uhuru.
Sasa Putin anakaribu kusahihisha historia.
Angalia na hizi waliokimbia silaha zaoRussia came to Ukraine to donate weapons [emoji3][emoji3]View attachment 2159813View attachment 2159815View attachment 2159816
hichi ulichokiandika na ulichokiquote vinahusiana?Subiri hao wiki chache zijazo watapambana na njaa ya kufa mtu hadi hizo bunduki hawatakuwa hata na nguvu za kuzibeba, watakuwa wanaziangalia tu kama mavi ndipo watakamatwa kama vichuchu.
mbona una kata jina tusimpitie huyo mtuAngalia na hizi waliokimbia silaha zaoView attachment 2159825View attachment 2159826