Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

img_1_1647783442965.jpg
img_4_1647783465931.jpg
ukraine wameona drone za uturuki haziwasaidii kitu wameanza kutumi hiv vidagaa hata hivyo vidagaa havijafua dafu
 
GANGA ZUMBA Clip iliyotolewa na wizara ya ulinzi ya urusi siku cheche nyuma ni hii👇👇👇

Clip unayodai kuwa imekupiwa kipande (original) ni 👇👇👇

Angalia clip zote mbili unijuze ni sekunde ya ngapi hadi ya ngapi hiyo clip ya pili imekopiwa kutenfeneza ya mwanzo (iliyotelewa na wizara ya Ulinzi ya Russia)

GANGA ZUMBA, njoo hapa👆👆👆 tuna jambo letu mimi na wewe. Thibitisha wapi clip ya Russia imekopiwa...si ulidai imekopiwa? Nimekuwekea zote mbili utueleze zafanana sehemu gani.

Usikimbie kwa kujifanya wasoma kimya kimya
 
Kuna mambo kadhaa nimeyaelewa hapa na nikiweka ushabiki pembeni nimekubaliana nayo.

1. Morale ya jeshi la Urusi iko chini, sio rahisi kupambana huku kila mmoja unamuonea huyo unayepambana nae.

2. Kuna msaada ambao Ukraine anaupokea chini kwa chini, kwa mbavu za Russia, ni kweli angeibeba Ukraine ndani ya wiki au siku tatu kama inavyosadikika. Hizi anti tanks za UK na German sio za kitoto kitoto.

3. Naamini kabisa mpaka sasa Ukraine ameshapigika mno, amepigika pakubwa. Hatamani kuendelea na vita ila ndo hivyo hamna namna. Hauwezi kuvamiwa nyumbani kwako kisha ukakubali tu huo uvamizi. Ni bora walau amejitahidi kupambana.
Yeah. Uko Neutral.clear and short analysis
 
⚡️Commissioner for Human Rights in Russia Tatyana Moskalkova, in an interview with journalist Anton Krasovsky in the Antonymy program, announced the first exchange of prisoners between Ukraine and Russia.

“The first exchange took place ... Nine of our people (exchanged). Some of them are from the list that is formed by me through appeals, ”said Moskalkova.

She also confirmed that nine Russians were exchanged for the mayor of Melitopol.
 
We are fighting against one of the largest armies in the world for our salvation. Against missiles, bombs and jet artillery. Against the occupiers who shoot refugees on the roads. Who kill ordinary civilians, create artificial hunger for entire cities, burn neighborhoods. This is the worst war in Europe since World War II.View attachment 2159786
Siku hizi hana video au wamempokonya simu .....
 
source RT mbona walishavuliwa ugoni hao
sihangaiki nao 🚮🚮🚮 kabisa
Umeshindwa kuonesha...siku nyingine usiwe wakurupuka kusoma kiingereza na kubeba yanayoongelewa kabla hujathibitisha kama ni kweli.

Jasho limekutoka hadi kwapa limekuwa chepe chepe kwa kutakiwa tu kuonesha mfanano wa clip mbili unazodai moja imekopiwa toka kwa nyingine na jeshi la ulinzi la Russia.

Mie ndio kiboko ya wazushi wa Team Ukraine
 
basi wewe ni kichaa ukiboko wako kwenye keyboard? hebu jionee huruma basi
 
basi wewe ni kichaa ukiboko wako kwenye keyboard? hebu jionee huruma basi
Ushapaniki na kutoa matusi...hiyo nguvu si ungeitumia kuthibitisha madai yako kama kweli waweza....( NA HUWEZI NG'OO 👌👌👌👌 HATA JAMAA ZAKO WAKITAKA KUKUSAIDIA)

Nina imani leo umeisoma namba vyema...siku nyingine hutokurupuka tena. Hapa ukija lazima uwe umejipanga...wenzako walishanisoma...wananigwaya kwa hoja
 
Kwani kuna ugomvi humu???
 
Back
Top Bottom