CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,867
- 16,016
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kaka mbona kama zimanza kuruka??ya nini sasa? nimejibu source yake RT sifuatilii fullstop analeta bato za kitoto
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kaka mbona kama zimanza kuruka??ya nini sasa? nimejibu source yake RT sifuatilii fullstop analeta bato za kitoto
Waingereza wanasema "if it walks like a duck and if it quakes like a duck and if it looks like a duck, it very likely is a duck, however you call it". Sasa badilisha "duck" andika "war", umeshapata jibu.Ni lini ulisikia ni VITA na alisema nani ni VITA !!! USHAMSIKI PUTIN AKISEMA NI VITA AU OPERATION!!??
Elon Musk's Starlink satellites are helping Ukraine's elite drone unit destroy Russian tanks and trucks in the night: report
HUILENG TAN
March 21, 2022 7:25 AM
Ukrainian drones modified with thermal cameras target Russian military vehicles at night.
The Starlink internet system ensures drone teams can work even amid internet or power outages.
SpaceX CEO Elon Musk sent Starlink terminals to Ukraine upon request by a government official.
Elon Musk's Starlink satellites are helping Ukraine's elite drone unit destroy Russian tanks and trucks in the night: report
[emoji23][emoji23][emoji23]yani kuna watu humu wanachukulia haya mambo personal, we upo kama Mimi tu nawajibu simple bila lugha chafu au matusi halafu tunaendelea nao maana wakat mwingine inakua ni burudani.Mi ndio maana najibugi simple ... Ikibidi kautani kavijiweni siku inaenda.... Hapa natavuta usingizi.... Nshakula zangu michembe na mtindi... Mrusi wa Ishokelo
Ndiyo. Wakati ni muhimu. Unataka kufukuza Wangoni Tanzania kwa sababu walivamia Songea katika karne ya 19? Kufukuza Waarabu katika Afrika Kaskazini kwa sababu walivamia karne ya 7 na 8?Kwa hiyo unachotofautisha wewe ni Karne sio suala la kuvamia nchi jirani SI ndio ... Hii familia inayosimamiwa nawewe Ina matatizo sana.
Ardhi ina rutuba ya mabomuTukiachana na vita nyie Ukraine wana ardhi nzuri sana. Miaka ile nasoma soil form 3 nilisoma chernozem soil iko Ukraine sasa vita hii ndio nimeiona. Ukitazama ardhi yao inaonesha ina rutuba nzuri kwa kilimoView attachment 2159544View attachment 2159545View attachment 2159547
Watu wameshaufikia city center, hapo ni kumalizia masalia tuSeparatist leader says it will take more than a week to capture Mariupol: Report
A Moscow-backed separatist leader in eastern Ukraine has said it will take more than a week to take control of Mariupol, according to a report by Russian news agency Interfax.
“I am not so optimistic that two or three days or even a week will close the issue. Unfortunately, no, the city is big,” Interfax quoted Denis Pushilin, the head of the self-proclaimed Donetsk People’s Republic (DPR), as saying.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu Kuna mtu anakaa kwa mpalange anasema Russia hawafi...
Yaani huu mji Nguvu ambayo Russia, Waasi, Chechens na Mamluki wa kukodi waliyoweka ni kubwa mno, na Bado hawaoni ushindi mapema
Sheria za Kimataifa, zingeanza na hukumu kwa raisi Bush Jr, Tony Brair au Barack Obama.Kumbe tunaye jenerali wa kitandani hapa! Kwa kidole chake kwenye kibodi ya simu anaua maelfu! Anatisha!!!
Sasawa amini tu unachotaka.
Sheria ya kimataifa iko, mahakama ziko. Bado mamlaka yao ni hafifu mno. lakini kazi zimeanza.
Ila uwaulize washujaa wa Serbia na Rwanda wanaonaje mashairi yako?
Unafahamu huyo jamaa?!Wewe unayereport ulishawahi kupigana vita ipi? Yani wakichangia wengine unawacrash kwa lugha ya madharau wakati huo huo unatullisha kabobo zako utadhani uko Live Kyiv.Sote tulioko kwa huu uzi hakuna aliyeko Ukraine,so hakuna aliye mkweli zaidi kuliko mwingine.
Bikira maria aliye mzaa yesu alikuwa huko middle east baadae akakumbilia Misri na mumewe ikawaje Tena akawa Ulaya Mashariki mkuu.Mariupol ,Ukraine ni mji mtakatifu wa wakatoliki Russia kawachokoza wakatoliki
Huo mji ni wa Mama Bikira Maria na ndie Mlinzi wa huo mji.
Putin Dini yake Orthodox anaua wakatoliki wa Mariupol watoto wa Mama Bikira Maria
Elon Musk's Starlink satellites are helping Ukraine's elite drone unit destroy Russian tanks and trucks in the night: report
HUILENG TAN
March 21, 2022 7:25 AM
Ukrainian drones modified with thermal cameras target Russian military vehicles at night.
The Starlink internet system ensures drone teams can work even amid internet or power outages.
SpaceX CEO Elon Musk sent Starlink terminals to Ukraine upon request by a government official.
Elon Musk's Starlink satellites are helping Ukraine's elite drone unit destroy Russian tanks and trucks in the night: report
Wakati ukristo ukifinyangwa na Warumi kwa kuingiza Miungu Yao na tamaduni zao hao Nato walikuwepoKumbuka NATO ndo walimtangaza yesu duniani.huwezi kupigana na kuwashinda marafiki wa mungu kamwe! huu ni ukweli usiopingika. Hivyo Mrusi kuishinda NATO ni sawa sawa na kuku kumpinga mbuni. yaliomkuta Adolf hitler 1945 ndo yana mnyemelea Putin hivi sasa. hitler alijipiga risasi huku akiacha siraha kali mitaaani!
Ana bahati na lakini habahatiki ..Misaada yote lakin bado anapigwa haha
Mykolaiv inaitwa Nikolaev kwa kirusiladba mykolaiv ya kigamboni
nakuona unamtoa nyongo GANGA ZUMBA .....yaani bampa to bampa .......usimuache piga nyudo za utosi ....mpaka atulize ..mahaba yake na ukrain na ulaya .....piga huyo....Huko mariupol View attachment 2159814
Kama sheria ni sheria, haianzi kwa hukuma, inaanza kwa uchunguzi na mashtaki. Nakubali, wawili wa kwanza wanstahili. Hawakushambulia kwa kusudi la kubadilisha mipaka, lakini walianza vita. Na sababu zao si thabiti.Sheria za Kimataifa, zingeanza na hukumu kwa raisi Bush Jr, Tony Brair au Barack Obama.
Kama hao hawajaguswa, unafikiri kwa akili zako ataguswa Putin?
Jua nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi