Kuna kitu bado huelewi ila, with time, utakuja kuelewa kwani kwa sasa ushabik unakufumba sana macho.Pro Nato bhana toka vita inaanza ndo wimbo wenu huohuo. Mnafikiri Russia ni zimbabwe ausioo.
Nchi inalisha ulaya yote ije kufa kwa njaaa? Acha uzwazwa sometimes kama huna hoja bora uendelee kula madesa.
Hamjafungua vyuo?