NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Retroville shopping center before and after the MLRS batteries were covered there
Kuna kitu bado huelewi ila, with time, utakuja kuelewa kwani kwa sasa ushabik unakufumba sana macho.
Halafu humo inaweza kuwa pia kuna RAIA wanakaa wakishambuliwa hao wanajeshi kelele wanaua raiaView attachment 2160003
Nalog off
Halafu hilo kombora halijafika popote limeangushwa humo humo UkraineMbona huko donbass wanafyatua makombora mda mrefu tu sio kitu kipya
Russian authorities are considering the possibility of banning uranium exports to the United States as a response to anti-Russian sanctions, Russian Deputy Prime Minister Alexander Novak said at a meeting with the LDPR faction on March 21.
Mamlaka ya Urusi inaangazia uwezekano wa kupiga marufuku "exports" yaa uranium kwenda Marekani kama jibu la vikwazo dhidi ya Urusi, Naibu Waziri Mkuu wa Urusi Alexander Novak alisema katika mkutano na "LDPR faction" mnamo Machi 21.
View attachment 2160028
“This issue is also on the agenda, it is being considered,” Novak said, responding to a question about Russian retaliatory measures against the United States.
"Suala hili pia liko kwenye ajenda, linazingatiwa," Novak alisema, akijibu swali kuhusu hatua za kulipiza kisasi za Kirusi dhidi ya Marekani.
Russia’s market share is 7%, Russia also owns nearly half of the world’s uranium separation capacity.
Russia's market share ya Uranium ni 7%, lakini rusi pia inamiliki karibu nusu ya uwezo wa ulimwengu wa kutenganisha uranium.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Kama ni neo Naz wapigwe tuu hata wew ungekuwepo huko ningekuchomea mpka ulipo utandikwe haswa wakionekana na bunduki mnawaimbia mapambio ooh wanalinda nchi yao Sasa huyo unajua kafanya au ni udandiaji achana na show za kirussi leta tu zile zako za CNN na BBCWamevamia nchi ya watu na kupiga raia hovyo warusi [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] kabisa
Kherson: Russian punishers threw grenades and fired at civilians, at least one person (pensioner) was badly injured.
Ni mambo ya aibu nchi ambayo ilikuwa na pisi 250 za S-300 ambazo kimsingi hurusha makombora (SAM) ya masafa marefu ya kulilinda anga, eti sehemu zake nyeti za kijeshi zinakuwa zashambuliwa kiholela kwenye mikoa yoote na miji yoote ikiwemo Kyiv. Kisha wanamlilia US/NATO awape pisi moja ya S-300!
Hii ni dhahiri kuwa ni kweli Russia aliziangamiza hizo pisi zoote za S-300
Taiwan anachokifanya ni kuonesha uwezo wake wa kivita. Lengo la kufanya hivi ni kutoa ujumbe kwa China kuwa asifikiri Taiwan ni mteremko. Ukweli ulio wazi ni kuwa China alichelewa kwa Taiwan.
Huyu Jamaa analalamikaaaaa ila hasarendi na akipata nafasi ya kurusha ngumi anairusha halafu analalamikaaaaa. Kama kichapo kimekolea kweli si angenyoosha mikono na kuamuru wanajeshi washushe silaha?Zelensky awavulia kofia marubani wa ndege za kivita za jeshi la Urusi. Anasema kwa jinsi wanavyoshusha mzigo wa maana Ukraine, marubani hao hawajaumbwa na kitu kiitwacho 'mutima' a.k.a. moyo, wala 'roho'. Hawana kitu chochote kile kinachomfanya kiumbe kuwa mtu.
Mwambieni Zelensky aache kulialia, kwani kapeleka wapi zile pisi zake 250 za S-300, pisi 72 za Buk-M1 systems na pisi kadhaa za S-125 Pechora systems ambazo kimsingi zingemkinga na hayo mashambulizi ya hizo ndege?
Mbona kila kukicha zalipuliwa ngome zake za kijeshi, kambi, majengo ktk mikoa yote ikiwemo Kyiv?
Aseme tu ukweli kuwa mifumo yote ilidunguliwa na Russia ndio maana alilia pisi moja ya S-300 toka NATO.
====
View attachment 2159987
View attachment 2160012
Ni mambo ya fedheha nchi ambayo kabla ya kuanza vita, ilikuwa na ndege 125 zenye uwezo wa kupigana, ambazo ni pamoja na:Hivi mbona mpaka leo ni haya makelele yenu, Urusi bado hajaichukua Kiev.