Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Nchi za dunia ya 3 zimekuwa na unafiki sana, haziwezi kusimama zenyewe bila huyo ndugu yao uchwara (US) ila wamefumbwa macho kuwa bila uwepo wa mataifa mengine yenye nguvu basi leo hii hao US wangekuwa wanakunya milango kwa mataifa mbalimbali.
Hii vita iwe isiwe lazima Putin ashinde ni suala la muda tu ila Ukraine kadri anavyozidi kuwa na kiburi basi anaongezewa mapigo (MAPIGO 10 YA FARAO) na sasa tupo kwenye pigo la 2 hadi yafike kumi lazima watakuwa wamechoka na hawatambuani kwa vumbi la makombora ya Urusi.