Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

IMG_20220322_081041_201.jpg

Kwanini tunaendelea kuwasikiliza hawa [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Wakiita chafu Safi na sie hao tunafata bila kuhoji.. wakiita Safi Chafu na sie hao tunafata bila kuuliza...

Why
Whyy
Whyyy
Whyyyy
Whyyyyy
Whyyyyyy
Whyyyyyyy [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Urusi ina tani kama 2,300 za dhahabu kwenye reserve ambazo zina thamani ya kama $140 billion. Ni reserve ya tano kwa ukubwa duniani na Russia ilinunua kwa wingi miaka kumi hii iliyopita ili itumike kwenye kipindi cha sanctions kama hiki. Ila sasa Uingereza ambayo ndio yenye largest gold market duniani pale London imepiga marufuku uuzwaji wa dhahabu kutoka refineries za Russia. Marekani nayo imezuia kufanya biashara yeyote na dhahabu ya Russia.

Mahitaji ya dhahabu kwa raia ni makubwa ili kujilinda dhidi ya kushuka thamani kwa Ruble. Expectations zao ni kuwa Ruble itazidi kushuka hivyo mwenye hela kiasi ananunua dhahabu au vito vya thamani anatunza atakuja aviuze baadae havitashuka thamani kwenye soko la dunia tofauti na pesa makaratasiView attachment 2160050
Propaganda zimekufisha hata ule uwezo mdoogo wa kutafakari mambo!

Wajanja duniani wanunue mafuta ya Russia ambayo kimsingi thamani ya bidhaa hiyo ipo chini ya madini ya dhahabu. Halafu wakatae kununua dhahabu eti kwa kuwa Ukraine anachezea kichapo!
 
Tunajua Ukraine yupo vizuri na hii yote ni baada ya USA kumjenga kijeshi kwa mda mwingi ila akumbuke tu Urusi sio level yake. Amuulize vaba yake USA na mama yake NATO achana na dada zake Poland na UK na Ufaransa
kiasili Ukraine ni wapiganaji Wazuri was vita,wako kwenye rank ya wa afaghnistan Yemen,Iran,, yaani hizi Namba mnaweza pigana hata miaka 100,hawakatagi tamaa
 
No Vax, no Food...



Ukraine [emoji1255] govt announce emergency payments to those impacted by war. But only if you double jabbed.. & payments have to be made through a new digital currency system... [emoji102]

Ukraine [emoji1255] Serikali yatangaza malipo ya dharura kwa wale walioathiriwa na vita. Lakini tu ikiwa umepiga chanjo mara mbili.. na malipo yanapaswa kufanywa kupitia mfumo mpya wa sarafu ya kidijitali... [emoji102]

Ukweli utadhihirika tu wakati ni mwalim mzuri siku zote. Sasa tunaweza kuona hii tunayoita migogoro lengo lake ni nini hasa.
 
Ni mambo ya fedheha nchi ambayo kabla ya kuanza vita, ilikuwa na ndege 125 zenye uwezo wa kupigana, ambazo ni pamoja na:
  1. Pisi 37 za Mikoyan MiG-29
  2. Pisi 34 za Sukhoi Su-27
  3. Pisi 14 za Sukhoi Su-24M bombers
  4. Pisi 31 za Sukhoi Su-24 close air support aircraft
Halafu leo hii yapiga magoti na kulialia ipewe msaada wa ndege chache za MiG-29 toka NATO/Poland (wakati tayari anazo ndege za aina hiyo pisi 37)!

Hii yadhihirisha kuwa ni kweli Russia aliharibu asilimia 90 ya nguvu za jeshi la anga la Ukraine.


Ha ha ha!! Mumeishia kuongea kuhusu ndege, Kiev imeshindikana ile ambayo tulitegemea inyakuliwe kwa siku tatu.
 
Kasome MEXICO CESSION 1848 na ukasome AMERICAN- MEXICO WAR .... Nakwambieni msifanye watu wajinga .... Ukitaka nikufundishe ntakudai ada .... Nenda kasome Kwa bando lako tu. Halafu Urudi hapa .... Hivi shule mnaendaga kusomea ujinga na kukariri tu. Na unauliza kabisa eti kwani Mexico ilikiwa nchi !!?? Imekuwa nchi tangu 1810 .... Ficha ujinga wako....
Mwaka 1810 tayari Marekani ilikuwa ni nchi kama ilivyo leo.
 
No Vax, no Food...

View attachment 2160054

Ukraine [emoji1255] govt announce emergency payments to those impacted by war. But only if you double jabbed.. & payments have to be made through a new digital currency system... [emoji102]

Ukraine [emoji1255] Serikali yatangaza malipo ya dharura kwa wale walioathiriwa na vita. Lakini tu ikiwa umepiga chanjo mara mbili.. na malipo yanapaswa kufanywa kupitia mfumo mpya wa sarafu ya kidijitali... [emoji102]

Ukweli utadhihirika tu wakati ni mwalim mzuri siku zote. Sasa tunaweza kuona hii tunayoita migogoro lengo lake ni nini hasa.
duh sasa kuchanja na kuathilika kwa vita kunaingilianaje au ni mimi ndio nashindwa kuelewa
 
Ha ha ha!! Mumeishia kuongea kuhusu ndege, Kiev imeshindikana ile ambayo tulitegemea inyakuliwe kwa siku tatu.
Ni fedheha nchi iliyokuwa na pisi 250 za S-300 air-defense systems, leo haina hata pisi moja (zote zimashaangamizwa na Russia), matokeo yake mji wa Kyiv washambuliwa kiholela kwa makombora na kugeuzwa magofu na vifusi


SmartSelect_20220322-085000_Chrome.jpg
SmartSelect_20220322-085037_Chrome.jpg
SmartSelect_20220322-085144_Chrome.jpg
SmartSelect_20220322-085302_Chrome.jpg
 
Urusi ina tani kama 2,300 za dhahabu kwenye reserve ambazo zina thamani ya kama $140 billion. Ni reserve ya tano kwa ukubwa duniani na Russia ilinunua kwa wingi miaka kumi hii iliyopita ili itumike kwenye kipindi cha sanctions kama hiki. Ila sasa Uingereza ambayo ndio yenye largest gold market duniani pale London imepiga marufuku uuzwaji wa dhahabu kutoka refineries za Russia. Marekani nayo imezuia kufanya biashara yeyote na dhahabu ya Russia.

Mahitaji ya dhahabu kwa raia ni makubwa ili kujilinda dhidi ya kushuka thamani kwa Ruble. Expectations zao ni kuwa Ruble itazidi kushuka hivyo mwenye hela kiasi ananunua dhahabu au vito vya thamani anatunza atakuja aviuze baadae havitashuka thamani kwenye soko la dunia tofauti na pesa makaratasiView attachment 2160050
Aiseee kazi tunayo sana duniani.... Ukikosana na Marekani imekula kwako
 
Ha ha ha!! Mumeishia kuongea kuhusu ndege, Kiev imeshindikana ile ambayo tulitegemea inyakuliwe kwa siku tatu.
mategemeo ni yenu ..........yatimizwe na wengine.....................mpango mzima ni kuimega tu hio nchi halafu uwaachie magofu yao wayafufue,.................ikishabebwa mariupol kazi kwisha
 
Vita vya Ukraine vinaisha keshokutwa...

BBC, wakiwakoti maafaisa wa Wizara ya Ulinzi ya Ukraine, wanasema kuwa Russia ina silaha na chakula cha wanajeshi vya kutosheleza siku zisizozidi tatu tu (leo, kesho na kesho kutwa)...

Mwambieni Zelensky hilo ni jambo jema, ngoja tusubiri mtondogoo tuone mambo yanakuwa shwari Ukraine. Na yeye sasa akae kimya aache kulilia mazungumzo na Putin

SmartSelect_20220322-090235_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom