Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Rates at the start of today's trading:

▫️ 1 dollar - 3.2711 rubles
▫️ 1 euro - 3.5983 rubles
▫️ 100 Russian - 3.1348 rubles
▫️ 10 Chinese yuan - 5.1459 rubles
What kind of nonsense is this👆👆👆 Niliwaambia huyu jamaa ni mtu useless sasa jioneeni wenyewe.
1$ = 104.12 ruble
1ruble= 1.1 kenya shilling 💪
 
soma comments humo jamaa kumbe ni fisadi sana anaiba mali za wananchi bata lake anaenda kulilia west
kwanini asibakie huko urusi hakuna maisha? 😂 😂
 
Nilikuwa nasikiliza asubui hii yule comedian anataka mazungumzo na Putin kwa namna yeyote iwe kuonana au online, ofa yake anajitoa kwenye mpango wake wa kujiunga NATO, kwa hakika Putin ni mtu wa vitendo
PUTIN anatakiwa akatae kwanza aendeleze dozi
 
Kwani walienda kuchukua kiev? Unachukuaje jiji,? Utaliweka wapi? Mifukoni? Au ulikua unamaamisha nini?

Special operation ilikua ina malengo matatu, moja denezafication, demilitarization na kuondoa possibility ya Ukraine kuingia NATO.

Wanazi wanapigwa sana so the deal is done, vituo na kambi za kijeshi Ukraine vimepigwa mno, tena na silaha nzito mfano kambi iliyopo mpakani na poland, so also the deal is done.

Cha mwisho ni serikali ya Ukraine kukiri na kuweka kwenye katiba kua kamwe hawatajiunga Nato, pia watambue Donbase na Luhansk na crimea kua ni majimbo huru. Hili ndio linalowapa pressure but hakuna shaka watakaa na kukubali tu. Tusubiri muda.

The irreplaceable

Mumebaki kuandika hizi insha, halafu kuna taarifa chakula na supplies za Warusi zmesalia za siku tatu tu, kuanzia hapo itakua mwendo wa njaa na kuliwa shaba.
 
mzalishaji ngano namba moja duniani kwa mujibu wa kremlin ya mchamba wimba 😂😂😂
Lazima awe na njaa, food trucks zimekamatwa
IMG_20220321_214811.jpg
 
Kwani walienda kuchukua kiev? Unachukuaje jiji,? Utaliweka wapi? Mifukoni? Au ulikua unamaamisha nini?

Special operation ilikua ina malengo matatu, moja denezafication, demilitarization na kuondoa possibility ya Ukraine kuingia NATO.

Wanazi wanapigwa sana so the deal is done, vituo na kambi za kijeshi Ukraine vimepigwa mno, tena na silaha nzito mfano kambi iliyopo mpakani na poland, so also the deal is done.

Cha mwisho ni serikali ya Ukraine kukiri na kuweka kwenye katiba kua kamwe hawatajiunga Nato, pia watambue Donbase na Luhansk na crimea kua ni majimbo huru. Hili ndio linalowapa pressure but hakuna shaka watakaa na kukubali tu. Tusubiri muda.

The irreplaceable

Piga makima mpaka tuweke na rais wetu
 
Back
Top Bottom