Nikiendelea kukuita ndezi sio kwamba nakutukana hapana... La hasha nazidi kukusifia tu... Mkiambiwa mnakariri bila kuelewa mtasema tena sie twajifanya wajuaji.
Huenda ukawa unacopy na kupaste so mbaya ila ubaya huja pale unapocopy kitu kisha ukashindwa kukielezea... Ukacopy kitu usichokijua.
Katika maelezo yako yote hujajibu niliyokuuliza. Unajua even how GDP is calculated? hiyo ambayo umekomaa nayo kila nukta? Ngoja niassume hufaham nisiendelee kukuuliza.
Kingine kwenye maelezo yako unazungumzia trade balance hali kadhalika demand and supply vinachagiza katika value ya currency husika...
Ndio n kweli but hizo ni katika factors zinazotumika kudetermine value of currency...
Nikuulize swali kama hujakariri unaeza kunielezea au kutuelezea sababu za Kuwait Dinar kua na thaman Mara 3 zaidi kuliko dollar? Kwa kutumia factor ya Demand and Supply?
Factor nyingine ya Trade balance, na nakupa tena swali utujib kama kweli hukariri mambo.
Kwa data za 2020 Tanzania alikuwa na Deficit ya around Tril 4Tsh (1.83B USD) hv kwenye Trade Balance yake ilhal nyie Kenya apo mlikuwa na trade deficit ya zaidi ya Trillion 20Tsh (9.4B USD)... Mna budget deficit ya around -8% to GDP ratio ila sie tuna deficit ya -1.8% ratio kwa pato letu la taifa... Enhe ikawaje bado ela enu ikawa kubwa kuliko ya Tz?
Na swali lingine la kizushi na la ziada ka kweli hukariri unaelewa unachokizungumza... Unaeza kutuelezea sababu za kushuka kwa kasi kwa thaman ya Ruble baada ya kutangazwa vikwazo ilifika mpk 1USD = 134Rubles mwezi March 12....
Lakin leo hii tunaandika apa 1USD = 104Rubles... Unaeza kutuelezea sababu ya kuanza kuimarika kwa hyo rubles? Is it demand and supply effect? Is it handling of Micro economy? Is it Surplus of balance of trade? Is it due lack inflation?
Kijana tuendelee tu mjadala wa vita kila mtu na team yake
HUKO ACHANA NAKO.