Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

A native of Staropoltava district 31-year-old paratrooper Maxim Aliyev climbed to fight in Ukraine by order of Putin, but for some reason dills are to blame for his death.
 
Dnepropetrovsk region, a predatory Ukrainian tractor lay in wait for a defenseless Russian KAMAZ and dragged it to its lair to butcher the booty
 
Urusi hawezi goma kuwauzia gesi, atakula wapi wakati sekta nyingi ana vikwazo? Na Ulaya hawawezi acha kutumia gesi ya Urusi watafeli uchumi. Urusi akilogwa akagoma uza gesi watafeli uchumi kwa muda watafuta sources nyingine na zikikamilika asahau hiyo biashara, hayo mabomba Nord Stream yatakosa kazi.
Mara chache sana mzalishaji anamdindia mteja ambaye anaweza kutumia options nyingine hata kama ni za gharama kubwa na akamuacha mzalishaji hana pa kufidia hayo mauzo.

Najua pro-Putin mtakuja na hoja kwamba gesi wataiuzia China. Kwani miaka yote mlikuwa mnauza Ulaya China haikuwepo. Huwezi ipatia China gesi kuzidi kiasi inachohitaji
Wewe jamaa bana
Kwan hao wanaochukua gesi RUSSIA kabla yahili sakata hawakupaona huko kwengine mbna hawajaenda?
Ukiona hao wameenda nje ya RUSSIA jua tayar kutakua na upungufu wa hio bidhaa maana soko mbadala wa RUSSIA litaelemewa
Unadhani kina borris walipenda kwenda ME kulia lia ika wanajua hawana jinsi ya hio
RUSSIA alipiga hizo hesabu kabla yako leo wakienda nje ya RUSSIA lazma wanaowakimbilia wawatwange bei maana wanajua hawana OPTION kwahio jamaa watarejelea RUSSIA
Mwisho RUSSIA sio ZIMBABWE alijua kama kuna OMBWE litakuja baada ya huu mgogoro nanamna yakukabiliana nao
Kama point yako nikwamba tutasema why asiuze gesi UCHINA nasisi tunakuuliza why hao wanunuzi wa gesi ya RUSSIA kama france Germ nk wasinunue gesi huko ulipopaona wewe kabla yahuu mgogoro kuanza
Natamani niungane na hao jamaa juu ila naamini unamambo mengi yamaana ukirudia yule wakabla ya hii vita
 
Labda watabadilika na kujirekebisha...

Kinachonishagaza hapa ni hiki... Real American tena wazawa.... Walio na National ID ya US... Wanao hodhi US passport mkononi... Wanaoishi kwenye taifa lao wenyewe so mwenendo wa taifa hawasimuliwi na mtu zaidi ya kujionea wanazungumza haya...

View attachment 2160739

Na haya

View attachment 2160741

Na hivi

View attachment 2160742

Na vile

View attachment 2160743

Kisha Mmarekan wa buza baada ya kuangalia picha zake za Hollywood anakuja kukwambia USA hatetereki na haya mashudu anayoyafanya kwa sasa [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Kweli Mswahili ni mswahili tu...
Waswahili munataabu sanaaa
 
Wewe mkenya unashupaza shingo na "Kiev mmechukua" huko wenzio wanaendelea kupokea kipigo [emoji1787]
I hate this xenophobia

Siyo lazima utaje utaifa wake

Ujue kuna warusi wanajua kiswahili na wamo jf

Huku ni kugombanisha mataifa.

Tafadhali acha
 
34-year-old Zarechensky Aftaev Alexander Viktorovich went to protect the civilian population of Ordilo from the bloody regime, but the bloody regime on 10/03/22 turned out to be stronger
 
Huu ni ujuaji uliopindukia

Kombora linafukua andaki na kuwazika wanajeshi wa ukraine zaidi 300 hapo hapo
Kwahiyo kombora linapimwa nguvu kwa idadi ya watu lililoua?

Soviet Union ilifanya majaribio ya nyuklia zaidi ya 700 ambayo hayakuua kwa vile yalikuwa controllable. Unataka kusema zile nuclear warheads hazikuwa na nguvu kuliko huu mlipuko wa last week kisa hazikuua?
Akili zako wewe ukipewa 1kg of TNT ukalipua kambini wakafa watu 10, kisha 1kg nyingine ya TNT ukalipua shambani akafa mkulima mmoja utasema ile TNT ya kambini ndio ina nguvu.

Kinzhal yenyewe inabebwa na fighter jet, ni conventional warhead sio nuclear ila bado tuakili tudogo twa kujua desctuctive power yake ni ndogo huna. Sasa zikija MOAB au FOAB si utasema Mungu kaangamiza dunia
 
[emoji779]️EU Split over Russia Energy Sanctions - ideology or necessity?

Hungary has pushed against a Brussels-wide plan saying energy is not an “ideological question” - after it declined to back potential embargoes on Russian oil.

Hungary’s top diplomat has indicated that his country will not support new economic sanctions on Russian energy firms, arguing the move could backfire.

FM Peter Szijjarto told the reporters on Monday that Budapest would not back penalties liable to harm its own interests.

"An agreement on possible EU sanctions against Russian energy supplies or their interruption will most likely not be reached,” he said, adding that “We will not support any sanctions that could pose a risk to energy supplies to Hungary.”

Germany and the Netherlands have also pushed back, Berlin adding that the EU simply can't "stop oil imports from one day to the next."

IMG_5636.jpg
 
Pale unapowafokea watu kwa kujiamini kabisa,kumbe ndiyo kwanza umepuyanga 😂
Unapukuwa makumaku unakuwa tu mwehu ... Hata nimesema miaka hiyo huyo mwehu wenu si alikataa hakukuwa na Taifa la marekani ... Miaka hiyo ... Ukiwa unaamka Kwa shemeji yako ni heshimu ...nikimuacha dada yako unakosa na wewe unaachika na unakosa makazi..niheshimu nnapoMBATO dadaako sawa.... Ntawaaacha
 
The occupiers urgently take out all the finished products of the Makeevka and Gorlovka coke plants. For those who are in the tank: the assault on Avdiivka will take place at any cost. Wagner's mercenaries are already in the area.
 
Unapukuwa makumaku unakuwa tu mwehu ... Hata nimesema miaka hiyo huyo mwehu wenu si alikataa hakukuwa na Taifa la marekani ... Miaka hiyo ... Ukiwa unaamka Kwa shemeji yako ni heshimu ...nikimuacha dada yako unakosa na wewe unaachika na unakosa makazi..niheshimu nnapoMBATO dadaako sawa.... Ntawaaacha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]punguza jazba mkuu .....utafanya azimie bure...
 
Unapukuwa makumaku unakuwa tu mwehu ... Hata nimesema miaka hiyo huyo mwehu wenu si alikataa hakukuwa na Taifa la marekani ... Miaka hiyo ... Ukiwa unaamka Kwa shemeji yako ni heshimu ...nikimuacha dada yako unakosa na wewe unaachika na unakosa makazi..niheshimu nnapoMBATO dadaako sawa.... Ntawaaacha
kama kisukari kimepanda hivi mambo madogo ya mtandaoni unatukana mtu usiemjua
utakuwa na shida kichwani
 
Back
Top Bottom