Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

....Na ushangae ndio wameshindwa kuuteka, warusi sasa kuharibu majengo na kuua raia kwao ndio ushindi.
Raia gani? Hawa👇👇👇👇 mliowabebesha magobore wapambane na makombora huku wakivizia kwa kujificha kwenye makazi ya watu!

Hao wanatandikwa kama wanajeshi wengine tu

images.jpeg
3086131-1938009877.jpg
 
#Kharkov , ecopark. Alpaca doesn't understand what the *** is going on. Today we are all a little alpaca #RussianUkrainianWar
 
I hate this xenophobia

Siyo lazima utaje utaifa wake

Ujue kuna warusi wanajua kiswahili na wamo jf

Huku ni kugombanisha mataifa.

Tafadhali acha
Tulia hivo ivo unywe maji ...ukakojoe ulale ......huyo mkenya MKENYA anaacha kwao turkana wanakufa njaa ...anakuja rukia ya urusi kuipiga ukrain apambane na serikali ha kenya kumaliza nja si wanasemaga wana GDP kubwa africa mashariki......tulieni hivo hibo tuwanyoe kwa chupa ....nyie mapro western .....shabaash
 
Mkuu naona na ww umeamuwa kuchagua timu mpaka macho yako yameacha hata kuona.
Magari yote ya Urusi kwenye hii vita yana alama ya V au Z sasa mbona hili halina? na isitoshe hilo gari lina mpaka bendera ya Ukraine.
Kwani gari umeliona lote. Yani umeona bonnet unataka useme umeona gari zima. Hizo V wanaweka sana pembeni mwa gari, kama hujaridhika na picha niambie nikutafutie video clip ipo ili ujanja wa kusema ni propaganda ukose nguvu.

Unaijua kampuni inaitwa Kamaz? Ndio hilo gari na ni la kijeshi kutoka Urusi ambalo Ukraine hana kwenye inventory yake. Linawekwa bendera mbele kutofatishwa litambuliwe limetekwa na Ukrainians ili kuondoa friendly fire kutoka kwa Ukrainians wanaofanya ambush. Na hizo V zinaondolewa baadae.
 
msalaba wa nini jamani hawa ndugu zao si syria na china 😂😂😂
Deputy commander of the BMP, gunner-operator Salnikov Mikhail Nikolaevich, born in 1997 from Perm fulfilled his duty to the end and died 07/03/22
 
Mykolaiv region, #20omsbr #Vsrf . Ahmad is strength. But not always

 
kama kisukari kimepanda hivi mambo madogo ya mtandaoni unatukana mtu usiemjua
utakuwa na shida kichwani
Mi Sina Caliber hiyo ila unavyo kuja ndivyo utajibiwa ...ukiifatilia Ile hoja wote WALIKATAAA MAREKANI HAIJWAHI KUCHUKUA MAENEO YA NCHI MYIMGINE, nkasema wakichukua MEXICO ..wakakataaa nkawapa mwaka wa Mexico kukubali kuachia maeneo precisely, wakagoma nkawambia American -mexico war , ndio wakaja na marekani haikuwepo mda huo .. muda wote huo nawapa fact so kukosea tu jibu la mwisho 1746 na 1776 ndio wajibebe .. ni wehu ... Nakwambia historically na economic facts ..am far beyond... Many ambao wanakariri.... Hivyo ... Karibu... Mhuni mstaarabu ... SI mnafutaliag comments za mtu FUATILIA ZANGU TANGU JINIUNGE Humu
 
Corporal # 5th brig Nikolai Olegovich Ivanov, born in 1989 from Buryatia, 3 years after military service, I realized that you won’t be fed up with folk art and applied for a contract. On the other hand, would be alive.
 
Mkuu naona na ww umeamuwa kuchagua timu mpaka macho yako yameacha hata kuona.
Magari yote ya Urusi kwenye hii vita yana alama ya V au Z sasa mbona hili halina? na isitoshe hilo gari lina mpaka bendera ya Ukraine.
Utasema na hii sio ya Russia kisa haina V. Hii mojawapo ya sehemu ya Krasukha-4 electronic warfare system ni mpya hata haijawahi uzwa popote. Imekamatwa na Ukrainians.

Ni hasara sana systems zako state of the art kukamatwa. Bora wakamate vifaru uko vya miaka ya 1980s kuliko system bora iliyoanza kutumika 2014
20220322_201531.jpg
20220322_201809.jpg
 
Mi Sina Caliber hiyo ila unavyo kuja ndivyo utajibiwa ...ukiifatilia Ile hoja wote WALIKATAAA MAREKANI HAIJWAHI KUCHUKUA MAENEO YA NCHI MYIMGINE, nkasema wakichukua MEXICO ..wakakataaa nkawapa mwaka wa Mexico kukubali kuachia maeneo precisely, wakagoma nkawambia American -mexico war , ndio wakaja na marekani haikuwepo mda huo .. muda wote huo nawapa fact so kukosea tu jibu la mwisho 1746 na 1776 ndio wajibebe .. ni wehu ... Nakwambia historically na economic facts ..am far beyond... Many ambao wanakariri.... Hivyo ... Karibu... Mhuni mstaarabu ... SI mnafutaliag comments za mtu FUATILIA ZANGU TANGU JINIUNGE Humu
tulia mzee mambo madogo sana haya wengine tupo kupoteza muda baada ya kazi so relax mambo ya kupanic na matusi si jadi ya mtu aliestarabika ukikwazika we mute fresh
 
Russian MoD briefing:

▪️ Air defence systems shot down six Ukrainian unmanned aerial vehicles, including one Bayraktar TB2;

▪️ Units of the Russian Armed Forces have advanced another 4km in a day and approached the settlement of Novomikhailovka;

▪️ DPR forces have taken control of the village of Verkhnetoretskoye;

▪️ Air and sea-based high-precision long-range weapons have hit Ukrainian military facilities;

▪️ Large warehouses of Ukrainian troops in Lisichansk and Kramatorsk, a warehouse of rocket and artillery weapons in Druzhkovka, and ammunition warehouse in Nadezhdinka and Novoaleksandrivka have been destroyed;

▪️ Since the beginning of the special military operation, 236 unmanned aerial vehicles, 185 anti-aircraft missile systems, 1,547 tanks and other armoured combat vehicles, 154 multiple rocket launchers have been destroyed
 
kama kisukari kimepanda hivi mambo madogo ya mtandaoni unatukana mtu usiemjua
utakuwa na shida kichwani
Fuatilia vizuri... Mi SI tukani mtu kama hujanijia Kwa dhihaka na matusi halafu nikishakujibu nakucheua ... Sikujii hunijui unaniumiza Nini ... Ni sawa na KIOO CHENYE VITOBO mdogo wangu... Umevaa vizuri KIOO kinakudanganya ...ukinielewa piga kimya ... Mimi ni mtu wa tofauti sana ... Fatilia tu humu na comment zangu ..tangu miwe member ..utajitesa Bure kuhangaika na mimi
 
tulia mzee mambo madogo sana haya wengine tupo kupoteza muda baada ya kazi so relax mambo ya kupanic na matusi si jadi ya mtu aliestarabika ukikwazika we mute fresh
Nilipost hili Jana ... Na nikasema ni kijiwe Cha kahaw tu..USITENGENEZE NYONGO KIZEMBE ..NIMEKULA MICHEMBE YANGU NA MTINDI ..UKIKUMBUKA HILO BASI .. bless bro...karibu
 
The US is running ahead of the locomotive again

Washington decided today to announce its position on tomorrow's UN vote. The United States will not support the humanitarian resolution of the Russian Federation in the UN Security Council, said US Ambassador to the UN Linda Thomas-Greenfield.
 
Guards Lieutenant Yuri Inkin from the city of Kushva, Sverdlovsk region, studied so much and everything was in vain
 
Back
Top Bottom