Super Msouth
Senior Member
- Dec 28, 2014
- 145
- 128
Mimi humu msomaji zaidi ila napoona upotoshaji naupingaNaona pro PUT IN ....TUPO KAMA WOTE...[emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi humu msomaji zaidi ila napoona upotoshaji naupingaNaona pro PUT IN ....TUPO KAMA WOTE...[emoji3][emoji3][emoji3]
Na ungejiuliza kama mpaka sasa NATO haijaingia battlefield Russia anateseka, je ikiingia itakuwaje. Kuna silaha gani imebaki kwenye army, literally nothing. Vifaru vyote hata modifications zote tiyari zishaonekana weak mbele ya anti tank missiles za NATO. Ndege za Russia hata hazina amani angani, hapo bado Ukraine air defence system hawajaongeza na hawakupewa fighters kutoka PolandUngejiuliza kwanza kwanini kuna NATO
Mkuu nakuheshimu sana kwahiyo sihitaji nianze kutilia mashaka heshima ninayo kupa.Kwani gari umeliona lote. Yani umeona bonnet unataka useme umeona gari zima. Hizo V wanaweka sana pembeni mwa gari, kama hujaridhika na picha niambie nikutafutie video clip ipo ili ujanja wa kusema ni propaganda ukose nguvu.
Unaijua kampuni inaitwa Kamaz? Ndio hilo gari na ni la kijeshi kutoka Urusi ambalo Ukraine hana kwenye inventory yake. Linawekwa bendera mbele kutofatishwa litambuliwe limetekwa na Ukrainians ili kuondoa friendly fire kutoka kwa Ukrainians wanaofanya ambush. Na hizo V zinaondolewa baadae.
Yaani Warussia ndio wamebaki kuteka vijiji na nimesikia eti wamebakiwa na resources za kutumia kwa siku tatu tu hadi wamepunguza mashambulizi.Russian MoD briefing:
▪️ Air defence systems shot down six Ukrainian unmanned aerial vehicles, including one Bayraktar TB2;
▪️ Units of the Russian Armed Forces have advanced another 4km in a day and approached the settlement of Novomikhailovka;
▪️ DPR forces have taken control of the village of Verkhnetoretskoye;
▪️ Air and sea-based high-precision long-range weapons have hit Ukrainian military facilities;
▪️ Large warehouses of Ukrainian troops in Lisichansk and Kramatorsk, a warehouse of rocket and artillery weapons in Druzhkovka, and ammunition warehouse in Nadezhdinka and Novoaleksandrivka have been destroyed;
▪️ Since the beginning of the special military operation, 236 unmanned aerial vehicles, 185 anti-aircraft missile systems, 1,547 tanks and other armoured combat vehicles, 154 multiple rocket launchers have been destroyed
Basi jifunze kwanza hata kuandika kabla hujaanza kuhoroja hapa ovyo ovyo,kama huwezi tu hata kuandika neno Urusi huu mpambano nyuma ya key board utatuweza kweli.Afu ni kweli mi nimejoin jana hapa ...kwa ajili yenu nyie mazumbukuku mnao hate super power rusia koment zenu za kuichafua ruusia zimenkera .....yaani tutapambana humu nyuma ya keyboard mpaka kieleweke [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Mimi nilishampuuza kitambo.APUUUZWEEEEEE
Sijamsikia yeyote "equate large families with same-sex partnerships" ???? Kuhusu Christian values najua "Usiue" kuwa muhimu.“We see many of the Euro-Atlantic countries are actually rejecting their roots, including the Christian values that constitute the basis of Western civilisation. They are denying moral principles and all traditional identities: national, cultural, religious and even sexual. They are implementing policies that equate large families with same-sex partnerships, belief in God with the belief in Satan.” [emoji91]
— Vladimir Putin (2003)
| Mwaka | Wakazi wa Urusi | Kuongezeka au kupunguza |
|---|---|---|
| 1989 | 147,386,000 | |
| 2002 | 145,166,731 | −0.12% |
| 2010 | 142,856,836 | −0.20% |
| 2015 | 144,985,057 | +0.30% |
| 2019 | 146,764,655 | +0.31% |
| 2020 | 146,459,803 | −0.21% |
Hiyo picha sidhani kama ina uhusiano na vita ya sasa maana ni ya zamani.Utasema na hii sio ya Russia kisa haina V. Hii mojawapo ya sehemu ya Krasukha-4 electronic warfare system ni mpya hata haijawahi uzwa popote. Imekamatwa na Ukrainians.
Ni hasara sana systems zako state of the art kukamatwa. Bora wakamate vifaru uko vya miaka ya 1980s kuliko system bora iliyoanza kutumika 2014View attachment 2160773View attachment 2160775
Jamaa ujuaji mwingi sana [emoji23][emoji23][emoji23]Naona pro PUT IN ....TUPO KAMA WOTE...[emoji3][emoji3][emoji3]