Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,287
- 12,856
wameteka kijiji na sio jiji/mji huoni aibu kuleta habari kama hiyo humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usuper power uko wapo kwi kwi kwi
wameteka kijiji na sio jiji/mji huoni aibu kuleta habari kama hiyo humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usuper power uko wapo kwi kwi kwi
wameteka kijiji na sio jiji/mji huoni aibu kuleta habari kama hiyo humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usuper power uko wapo kwi kwi kwi
Angaliawameteka kijiji na sio jiji/mji huoni aibu kuleta habari kama hiyo humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usuper power uko wapo kwi kwi kwi
Jamaa zenu wanaweka silaha shuleni alafu badae wanalalamika shule imeshambuliwawameteka kijiji na sio jiji/mji huoni aibu kuleta habari kama hiyo humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usuper power uko wapo kwi kwi kwi
Kwenye ground jamaa wanakula kazi sana, Ukraine vita ya mtandaoni ndio wanaimuduwameteka kijiji na sio jiji/mji huoni aibu kuleta habari kama hiyo humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usuper power uko wapo kwi kwi kwi
wameteka kijiji na sio jiji/mji huoni aibu kuleta habari kama hiyo humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usuper power uko wapo kwi kwi kwi
Tena hawa Pro Russia wanatangauliza watoto wao wadogo chini ya miaka mitano kuwapeleka kwa chanjo Clinic bure au wanadhani hiyo huduma inatoka Russia.Huku kwenye nyanja ya misaada wangekaa kimya kabisa,hakuna cha maana Russia anachoweza kutuambia zaidi ya kutuzalishia walevi wa kupindukia wa Vodka.Ungewakumbusha kuwa huyo Russia hata kwenye nchi zinazotoa misaada hajulikani. Wako humu wanatusumbua kisa kapeleka tulori tungapi sijui twa vyakula, wanaona kama msaada kutoka mbinguni wakati kina Sweden wanatoa mabilioni.
Ni ushamba kupeleka tugari tuchache twa vyakula unapiga kelele mashabiki wako wanatangaza wakati kuna wenzako wanatoa chanjo, huduma ya mama kwa mtoto, vituo vya afya, elimu, scholarships nyingi na misaada lukuki isiyohesabika miaka nenda rudi.
@GANGA ZUMBA Angalia watu wako hawawameteka kijiji na sio jiji/mji huoni aibu kuleta habari kama hiyo humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usuper power uko wapo kwi kwi kwi
Hivyo ni visiwa alivyonyang'anywa Japan kama adhabu baada WW2Hata China na Japan wana mzozo wa visiwa.
Korea Kusini na Japan pia wana mzozo huo huo wa kisiwa.
Kwanini Japan ana mizozo mingi ya visiwa na nchi za hilo eneo?
Ni kweli kabisa,hapa wanajifuta machozi ya kushindwa kwa hiyo anafanya damage ya makusudi kabisa.Urusi imeshindwa kutimiza malengo yake huko Ukraine, hili lipo wazi kabisa.
Wanachofanya Sasa ni kuharibu miundombinu ya Ukraine ili kuwatia hasara ila kuangusha utawala wa Ukraine imekuwa ngumu.
Siku tatu ina maana leo, kesho na keshokutwa sio? Basi tusubiri tuone kama kuanzia ijumaa Russia itakua imeishiwa silaha kabisa haitaweza kushambulia popote.Yaani Warussia ndio wamebaki kuteka vijiji na nimesikia eti wamebakiwa na resources za kutumia kwa siku tatu tu hadi wamepunguza mashambulizi.
Poor racist Russians.
Naona wanawadanganya wanajeshi wao ili morali ipandeParticipants of the special operation in Ukraine will be considered combat veterans
Such a bill was submitted today to the State Duma by the United Russia faction and United Russia senators. It is also known that the project provides access to the social security system - monthly payments and various benefits. Earlier, the document was supported by the Russian government.