Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Ukraine yasema leo Russia imedondosha mijibomu mikubwa miwili ya ajabu na yenye nguvu kubwa ktk mji wa Mauripol. Serikali yenyewe ya Ukraine imeshindwa kujua ni aina gani ya mabomu hayo kutokana na ukubwa wake na nguvu ya uharibifu
Hayo yamejiri baada ya Russia kutoa masaa kadhaa kwa wapiganaji wa Ukraine waliomo kwenye mji waweke silaha chini na wausalimishe mji wa Mariupol kwa majeshi ya Russia. Walipokaidi ndio wamedondoshewa hizo dhahama mbili.
Mwambieni Zelensky ajifunze kutii sheria kwa hiari pasi na shuruti