Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hongereni naona UKRAINE ipo huru sasa
sheikh unasemaje juu ya hii
screenshot2022-03-22--20_18_43.jpg
 
Nakupa tu taarifa Russia anatumia technologia ya zamani sana kumpiga Ukraine silaha zake latest bado hajaanza kutumia
Krasukha-4 electronic warfare system ndio mpya kuliko zote. Ya kwanza kabisa ilikuwa deployed 2014, hakuna system nyingine imetengenezwa juu ya hapo na hadi hiyo haijauzwa popote kuonesha msisitizo ni mpya na ya muhimu kiasi hawajaiuza.

Ila ipo system nyingine lakini ndio hivyo moja kati ya systems mbili mpya iko mikononi mwa adui. Hizo silaha mpya ni zipi zitaje, kwenye army wamemaliza kila kitu
 
The Americans will restore relations with Russia only if Moscow capitulates.

They will only be satisfied with a Russia in which the actual head of state will be located not in the Kremlin, but in the building of the US embassy.

Anatoly Wasserman told @SputnikLive about this.

But as long as the Russian Federation is independent, the United States will fight it to the last drop of blood of its allies.

What will Biden ask Europeans during his upcoming visit to Brussels? Can the Poles send troops to Ukraine? And what are the Americans ready to do to maintain their influence in the world?
 
Ungewakumbusha kuwa huyo Russia hata kwenye nchi zinazotoa misaada hajulikani. Wako humu wanatusumbua kisa kapeleka tulori tungapi sijui twa vyakula, wanaona kama msaada kutoka mbinguni wakati kina Sweden wanatoa mabilioni.

Ni ushamba kupeleka tugari tuchache twa vyakula unapiga kelele mashabiki wako wanatangaza wakati kuna wenzako wanatoa chanjo, huduma ya mama kwa mtoto, vituo vya afya, elimu, scholarships nyingi na misaada lukuki isiyohesabika miaka nenda rudi.

Afu mnapitisha na ushoga. Unajua misaada ya america ni ya masharti?? Nchi za kiafrica zimekua maskin kwaajili ya hio misaada mmarekani akupe cha buree?? Mmarekani anakupa akijua na wewe unacho cha kumpa.

Misaada gani hio ya mashart sasa
 
Hii vita bado ngumu kwa pande zote, ila kinachoshangaza Urusi na ukubwa wake bado hajamaliza mchezo
 
Hii vita bado ngumu kwa pande zote, ila kinachoshangaza Urusi na ukubwa wake bado hajamaliza mchezo
 
Kwahiyo kombora linapimwa nguvu kwa idadi ya watu lililoua?

Soviet Union ilifanya majaribio ya nyuklia zaidi ya 700 ambayo hayakuua kwa vile yalikuwa controllable. Unataka kusema zile nuclear warheads hazikuwa na nguvu kuliko huu mlipuko wa last week kisa hazikuua?
Akili zako wewe ukipewa 1kg of TNT ukalipua kambini wakafa watu 10, kisha 1kg nyingine ya TNT ukalipua shambani akafa mkulima mmoja utasema ile TNT ya kambini ndio ina nguvu.

Kinzhal yenyewe inabebwa na fighter jet, ni conventional warhead sio nuclear ila bado tuakili tudogo twa kujua desctuctive power yake ni ndogo huna. Sasa zikija MOAB au FOAB si utasema Mungu kaangamiza dunia
Tuakili na tudogo ndo nini? Acha kutuletea mapozi ya kike andika kiume.
 
Utasema na hii sio ya Russia kisa haina V. Hii mojawapo ya sehemu ya Krasukha-4 electronic warfare system ni mpya hata haijawahi uzwa popote. Imekamatwa na Ukrainians.

Ni hasara sana systems zako state of the art kukamatwa. Bora wakamate vifaru uko vya miaka ya 1980s kuliko system bora iliyoanza kutumika 2014View attachment 2160773View attachment 2160775
Oya we pimbi acha kuwadanganya watu humu as if watu hatujui kinachoendele. Hakuna Electronic warfare ya Mrusi iliyokamatwa huko UKRAINE. Acha hizi fix, jamaa wameenda nazo mbili tu na ziko mbali mno hizo hapo chini acha fix.
Huna unalojua kazi kushinda Wikipedia unatujazia mauongo yako hapa.
20220322_223630.jpg
 
Anti armour weapons made in Spain. Hizi zitasaidia kupambana na APC na IFV, kwa tanks sio most effective. Hizi ni nyepesi sana na nzuri kwenye hit and run za mjini mitaani.
Zimefika Poland
20220322_224102.jpg
 
Hizo Javelin zina soko muda mrefu sana. Ila Marekani hauzi silaha kwa njaa, anaringa akiwa anauza silaha mara aangalie human rights record yako. NLAW ndio sio za zamani alafu more portable, joint project ya Sweden na UK.

Kampuni inayotengeneza NLAW ndio iliyokuwa inatengeneza hizi Scania zetu ila iliuza branch ya magari ikatoka kuwa Saab Scania ikawa Saab AB. Wana 4.5 Gen. fighter jet nzuri inaitwa Saab Jas-39 Gripen
Sweden ni wazuri Sana kwenye silaha hata kwenye submarines zao Ile AIP technology inasemekana ni one of the best in the world.

Hii Saab Gripen ni very capable fighter jet pia sio ghali kuioperate.
 
Back
Top Bottom